Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Mkuu wewe bado tuuu
 
Kwani? MELONA anasemaje? DZU au DZW??

IMG_2775.jpg
 
Back
Top Bottom