Tuliooa

Habari wana JF

Mimi ni kijana mwenzenu

Kwa wale ndugu zangu vijana wenzangu tuliooa miaka ya karibuni kama mimi nawaomba tuwe wavumilivu tukaze tu hivyo hivyo ili hizi ndoa zidumu maana mitihani mingi sana na huko duniani nje yaani ni balaa kila vishawishi.

Nina mwaka mmoja kwenye hiki chama lakini naomba niwavulie kofia ndugu zangu mlio kaa humu ndani miaka 5 na kuendelea.

Tukaze washikaji tusije tukaishia njiani
Tukaze nini sasa?
  1. Wake zetu?
  2. Msuli kutokana na vishawishi?
  3. Majibu yote ni sahihi.
 
.........................................:spy:.......................................​
 
Utakatifu ndani ya ndoa mtafute Bishanga

Asante sana kwa haya
Ukitaka namna ya kuonekana mbabe ndani ya nyumba kama kidume mtafute Asprin
Ukitaka njia nzuri za kutoka nje ya ndoa muone The Boss
 
Back
Top Bottom