Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 523
- 1,919
Huwa siwaelewi watu wanaowapinga team kataa ndoa na Atheist sababu kufanya hivyo ni kama kupangiana jinsi ya kuishi hapa duniani na hiyo sio sawa kwani kila mtu ana haki ya kuishi na kuamini anachoamini ilimradi havunji sheria wala kubughudhi wengine.
Kataa ndoa sio kitu kipya na ukweli hawa kataa ndoa kuna saa wana hoja japo kuna wale fuata mkumbo hawaeleweki.
Sasa,zawadi ninayotaka kuwapa kaka zangu wa kataa ndoa ni "PICHA" inayoonyesha namna kataa ndoa wenzao wa Scandnavia wanavyoishi labda wanaweza kuboresha ukataa ndoa wao.
Nchini Sweden kuna aina za marital status zifuatazo zinazotambulika Kisheria;
1)Ndoa.Hii ni ile ya kidini tunayoijua ²wote ile yakuishi pamoja.
2)SAMBO: Hii hata bongo ipo ila haiheshimiki kama inavyoheshimika na kutambulika kisheria huko Scandnavia.Kwa Sweden hii ni pale wawili wamependana then wanaamua kuishi pamoja ila hamna ndoa na popote ukiulizwa marital status yako unajaza SAMBO.Kwa bongo hii ndo inaitwa sogea tukae na haiheshimiki kila siku mtashauriwa kubariki ndoa muache kuzini.
3)SAR BOR: Hii ni watu wawili wanapendana na wanataka kuspend the rest of their life together ila kila mtu anaishi nyumbani kwake kwa sheria zake kwa style yake ila wanapanga tu ratiba zao za siku za kukutana.Hapa kila mtu anaishi kwa kipato chake hakuna kuumizana,hakuna yeyote atakayemkausha mwenzie damu.Na ukifa ukiamua mali zako arithi paka wako hakuna wa kukuuliza.Kwa mwenza wako utapata zawadi tu.
Vile vile naona kataa ndoa wengi wanataka kuzaa then walee watoto wao wenyewe.Ni sawa ila mnajua kama ambavyo kuoa sio lazima hata kukataa kuzaa watoto pia sio lazima.Binafsi naamini malezi bora yanapatikana kwa baba na mama wanaoishi pamoja.Sio sawa mzae then mkatupe watoto boarding au kwa bibi.Unaweza tu kusema nina uwezo wa kuzalisha ila watoto is not my thing na jamii inapaswa kuheshimu hilo.
Halafu mnajua kwanini wazungu wanaishi miaka mingi kuliko sisi?Jibu ni wanajali furaha na amani ya moyo bila kujali wengine watamuonaje.
Ndugu mwenyekiti,utakapochoka nyeto naona kama SAR BOR inaweza kukufaa na pia watumishi wenzangu wa biblia inasema hivi au quran inasema hivi tambueni kuna watu hawaamini katika hivi vitabu vyetu vitakatifu.
#MIMI NAAMINI KATIKA NDOA