Tuliooa

waambie bana....watu tuna ndoa zetu mwaka wa kumi na saba huu....ndo kwanza kama tukio ni la jana....

duh,shikamoo!!naona unakimbizana na mama yangu,uhhhh!!hiyo avatar yako yadanganya macho yangu,nakuona kigoriiii...lol
 
sawa mama ushauri...mi napenda vya bure lakini! ujiandae kutoa ushauri wa bure kama unaoutoa hapa jamvini!!!
Hahaha, wewe na mimi tena.... Niliahidi kukulinda kwa hali na mali hapa jf au umesahau? Lol
 
Neither finest,rocky nor predeta is maried.u ar ol cheaters.and no sooner iwl insult you 4joking wth mariage!
 
Alaaaaaaaaa...kumbee sasa Mama Tuli naye anahitaji kuniona kwa ajili ya kupata ushauri maana naona umeishaanza kumendea hadi wateja wangu


Umekosea sana hapa nilikuwa napita tuu wala sio mimi
Na halafu sijajitaja kuwa ni mimi hapo
 
Neither finest,rocky nor predeta is maried.u ar ol cheaters.and no sooner iwl insult you 4joking wth mariage!

mkuu nitake radhi hapo
nina ndoa na familia nzuri sana na naipenda sana familia yangu
Ndoa yangu pia naiheshimu sana mkuu
may be hao akina TF na Preta
 
Yashakukuta tayari mara hii mwaka tuuu??/

Sijakumbana na matatizo sema hii miezi 12 nimepata challenges nyingi sana!

Stimes tunakuwa na cold wars inapita wiki under the same roof kila mtu anaenda job anarudi hatuzungumzi ila baadae tunakaa sawa

Nachoshukuru nikirudi nakuta msosi upo tayari huwa napiga nalala

Its very challenging kwa kweli !
 
Sijakumbana na matatizo sema hii miezi 12 nimepata challenges nyingi sana!

Stimes tunakuwa na cold wars inapita wiki under the same roof kila mtu anaenda job anarudi hatuzungumzi ila baadae tunakaa sawa

Nachoshukuru nikirudi nakuta msosi upo tayari huwa napiga nalala

Its very challenging kwa kweli !

Mkuu mwaka tuu yameshaanza hayo
Duh kuna vitu unavimiss na kuna kitu hata wewe kama mwanaume unavikosea
Ndoa yako bado changa ilihitaji kusiwe na kununiana kabisa
Mwaka tuu mkuu ni mdogo sana kufikia kununiana
 
WANANDOA LAZIMA KUFANYA KAZI YA ZIADA KUITUNZA NDOA ILI IDUMU -maana si watu wazima2 kukaa pamoja si mchezo!!
Ila sasa inabidi tukubali kuwa sisi si malaika kukosea kupo ila kuna makosa mengine duh hata huwezi kusema tukae tuyamalize!!
Mimi kwa uzoefu wangu wa miaka 7 ya ndoa nimegundua kuwa mkweli hata kwa jambo ambalo ni la msingi japo unajua wazi litamuumiza mwenzio ni kitu cha muhimu sana!!!
Tujitahidi kutokuwachoka wenzi wetu jamani hata pale unapohisi jaribu kutafuta sababu na uifanyie kazi na si kutafuta wengine.....chako hicho kipende
Mawasiliano ni kitu kingine cha muhimu ukiamua kunununu ndio unabomoa kabsaa.........
 
Back
Top Bottom