Mnao cheka na kutabasamu mnafanyaje fanyaje mpaka mnakua hivyo

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari ndugu zangu.

Tokea ni anze kuwa na umri wa miaka 16 mpaka sasa nimefikisha miaka 30+, sijawahi kucheka wala kutabasamu kwa namna yeyote ile, japo kipindi cha nyuma nikiwa mdogo nakumbuka nilikua ni kijana wa kufurahi, kucheka na hata mwenye tabasamu .

Nimekua nikijitahidi kufurahi, kucheka na hata kutabasamu kwa tabasamu fake ili nionekane tuu nimefurahi ila inashindikana kwani haitoki moyoni kabisa,

Nimekua nikiwaza sana wanawezaje watu kucheka na hata kutabasamu pale wanapo kutana kwa story au sherehe za hapa na pale ili hali mimi siwezi tena kuwa hivyo.

Ndugu zangu mbaya zaidi mahusiano yangu ya uhahakika zaidi ya sita na mabinti tofauti yamevunjika mpaka sasa kwa kushindwa kuonyesha ni mtu mwenye furaha , mwenye tabasamu na hata sometime mwenye kucheka kwa nia yeyote ile.

Nakumbuka nimekua nikiilaumiwa sana na mabinti ninao kuwa nao kirafiki au kimahusiano kutokana na jinsi nilivyo, hali hii inaniuma sana moyoni kwani nikijaribu kuwaeleza uhalisia wananiambia mimi siyo mtu wa kawaida, wakati mwingine ugomvi unazuka hasa pale wanapotaka nipige nao picha unakuta nimetokea serious na kuharibu picha zao, wapenzi kadha wamenifundisha hadi ku-smile kiuongo lakini nashindwa ndugu zangu.

Tunagombana na mwisho wa siku wanasema umetuharibia picha makusudi tuu , kama hutaki bora niwaambie, japo ikitokea nimekata kupiga nao picha wanasema mwanaume na ringa ili iweje. Kweli Hizi ni lawama ninazo rushiwa na wanawake ndugu zangu.

Imefikia hatua hadi kwenye mazingira ya kazini staff wenzangu wananiuliza kwanini hawajawahi kuniona hata nikitabasamu au kucheka tuu basi, nakosa cha kuwajibu nabakia kukaa kimnya tuu na mambo yangu.

Hali hii imenifanya katika kipindi hiki cha kusaka mwanamke wa kudumu naye nizidi kuonekana stranger kwa mabinti maana sionyeshi dalili yeyote ya kua mcheshi au mwenye tabasamu lolote hata nikitongoza, hata akichomekea utani katikati ya mazungumzo yetu ya kutongozana yani ni balaa tuu sicheki kabisa wala kutabasamu.

Najiuliza sana sijawahi pata shida yeyote ile ila ni kwanini basi nipo hivi, najiuliza je huu ni ugonjwa na una dawa yake au inakuaje nimekua ni mtu wa mawazo pindi napoona wenzangu , ndugu na marafiki wakifurahi na kutabasamu ilihali mimi siwezi tena kuwa hivyo na inaniuma sana nikienda kwenye sherehe za watu na kwenye clip zao na picha zao naonekana asiye na furaha yeyote ile yani naonekana kama mtu anayechukizwa tuu siku zote.

Hakuna tabasamu, hakuna kucheka wala hakuna nini. Nipo nipo tuu .

Nifanyaje wakuu.
 
Una undugu na Richarison?
 
Mkuu wewe kwenye maisha unapenda nin ...

Kama ni mpira jichanganye kwenye ubishi , Kuna watu wataongea vituko utacheka maana mpira utakuwa unaujua ...

Kama ni siasa kajichanganye na wanaoongea siasa sana ....

Kama ni mziki wa kina mond na kiba ,kajichanganye na vijana wanaoshabikia huko huko utakutana na kicheko ...

Kama ni movie au nin ...

Tafuta kitu unachopenda then jichanganye ....au kaangalie Cheka tu pale makumbusho siku moja usipocheka wewe sio binadamu
 
1000123196.png

We fake it..
 
Alishasemaga anapenda Wanawake

Em tuone hiyo sura ambay haijatabasam kwa mda wa miaka 14
 
Mkuu wewe kwenye maisha unapenda nin ...

Kama ni mpira jichanganye kwenye ubishi , Kuna watu wataongea vituko utacheka maana mpira utakuwa unaujua ...

Kama ni siasa kajichanganye na wanaoongea siasa sana ....

Kama ni mziki wa kina mond na kiba ,kajichanganye na vijana wanaoshabikia huko huko utakutana na kicheko ...

Kama ni movie au nin ...

Tafuta kitu unachopenda then jichanganye ....au kaangalie Cheka tu pale makumbusho siku moja usipocheka wewe sio binadamu
 
Attachments

  • FB_IMG_1688488086473.jpg
    FB_IMG_1688488086473.jpg
    20.8 KB · Views: 5
Mkuu wewe kwenye maisha unapenda nin ...

Kama ni mpira jichanganye kwenye ubishi , Kuna watu wataongea vituko utacheka maana mpira utakuwa unaujua ...

Kama ni siasa kajichanganye na wanaoongea siasa sana ....

Kama ni mziki wa kina mond na kiba ,kajichanganye na vijana wanaoshabikia huko huko utakutana na kicheko ...

Kama ni movie au nin ...

Tafuta kitu unachopenda then jichanganye ....au kaangalie Cheka tu pale makumbusho siku moja usipocheka wewe sio binadamu
Nimejitahidi sana kufanya haya uliyo shauri hapa lakini wapi, mbali zaidi nimeshiriki rally , nimejitahidi kufanya racing za vyombo vya moto , drifting sana lakini wapi kabisa..hakuna hata kucheka wala kufurahi..

Sasa naona kama jamii itanitenga.

NA KWA HALI HII SIJUI KAMA NITAPATA MWANAMKE ATAKAYE KUBALIANA NA MIMI
 
Back
Top Bottom