Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 134
hata hivyo nyimbo nyingi nzuri zinawaimba wa-kike!...
haswaa...........!
hata hivyo nyimbo nyingi nzuri zinawaimba wa-kike!...
i ain't get it somtmz kwanin WE ARE PAYING THJE BRIDE PRICE....!na kwanin wahindi IT IS A WOMAN WHO IS PAYING THE GROOM PRICE!lol...haswaa...........!
Niko hapa nasikiliza "Christina Moshi" Rudia posti ya mwanzo nitawapatia nilizonazo hapa na kama kuna mtu anazo angependa kushare nitumie kwenye email yenye jina la "mwanakijiji" kwenye anuani hii ya jamiiforums.
"tulipokubaliana kwa hiari, tulikuwa wawili, watatu mungu wetu!!" .. kibwagizo mwah.. silali leo; mtakoma!
dude unazitoa wapi hizi?....nakutumia muda mfupi ujao
Tuzikumbuke pia nyimbo hizi:
Konjesta-Sikinde
Edita-SikindeMama Chichi-Selemani Mbwembwe & Vijana Jazz
Theresa-Vijana Jazz
Hii thread imetulia sana, nakumbuka nyimbo za Bimalee enzi za akina Roy, Beresa, Jumbe, Marijani nk. Kuna wimbo una-verse zifuatazo nadhani unaitwa margaret
shangazi yako nae akakusihi sanaa
uje kumuona mama Margaret ukapuuza
kukaa kwako mjini faida zake umeziona
wazazi wako wawili sasa wameshakutola
Halafu kali ni ule wa mwishomwisho wa maisha ya Dudumizi unaitwa Theresa by Vijana Jazz enzi za 80s (RIP Jerry)
Najiuliza kila mara na kujuta moyoni
ni penzi gani analokupa huyoo
ukachanganyikiwa na kuisahau sura yangu
siku ya harusi
Theresa, penzi gani analokupa wewe theresa
sema nitakupatia mpezi theresa
kama gari na mi ninalo mpenzi theresa
.........................................
karibu sana!Naipenda JF, mfano hakuna.Hata nichukie namna gani nikija JF, najikuta narudi panapostahili na kuendelea na shughuli ipasavyo.
Thank you all.
Bibii,hoteli gani hujalala maama,kinywaji gani hujakunywa mama,chakula gani hujakula maama,basi sema raha ipi unataka ili nielewe niiponye Roho yangu,Theresa
Najiuliza kila mara na kujuta moyoni
ni penzi gani analokupa huyoo
Ni dawa gani aliyokunywesha
Ukachanganyikiwa na kuisahau sura yangu siku ya harusi
Theresa, penzi gani analokupa huyo kijana
sema nitakupatia mpezi theresa
kama gari na mi ninalo mpenzi theresa,mamiii
Najiuliza kila mara na kujuta moyoni
ni penzi gani analokupa huyoo
Ni dawa gani aliyokunywesha
Ukachanganyikiwa na kuisahau sura yangu siku ya harusi
Mkulu De Novo,respect yaani Dudumizi alikuwa ni Hazina kwa kweli
..Kipenzi changu Edita sikia nikupe ukweli niliokuwa naoooo kusema kweli nimechoshwa natabia zakoooo x2
Nikuulizapo ulikuwa wapiii, ulikuwa kwa shangazi kariakoo......
beti nyingine sikumbuki