Tukumbushane: Wimbo bora wenye jina la kike...

....kila palipo na safari baharini kuna nahodha,nahodha wangu ni wewe mawimbi kuyakata .
Chombo chetu kiendeshe kipate fika salama
....cheusi mangala usibadili mwendo huio mamngala eee mangalee binti africa....
 
Bongolendi -penzi haligawanyiki
bht naomba lyrics za huu muziki;)

yemungu sasa unataka nikimbie jukwaa wewe!!! mimi mbona siujui huo mpendwa???

Labda Balatanda anaweza kunisaidia......eti mpendwa B!!
 
Jamani nyimbo bora.. labda tuseme zilizovuma!

Mzee....kwa mtazamo wangu hizo wanazotaja wadau, zilivuma sana enzi zile ss tunaanza kupata akili mkubwa.....vibao vya zamani sidhani kama kilikuwepo kibovu......wanamuziki walikuwa hawagangi njaa.....ni hobby tu ziliwafanya waimbe sio kama siku hizi.......!
 
Jamani nyimbo bora.. labda tuseme zilizovuma!

Kuna tatizo nina liona hapa,sawa category ya "MAJINA YA KIKE" sawa ila swala ni,kunabaadhi ya nyimbo zilivuma sana 70's na nyingine 80's let 80's some early 90's na napenda ufahamu kwamba sisi pia ni vijana kwenye malika yetu kwa wakati wetu.

Sasa tuambie lika lipi haswa........?
 
Balanta....! unaweza shusha mistari hapa as well + ile kibao cha Monica........kukimbilia Zambia etc etc....?

Mkuu lyrics hizi hapa

1.Sauda

Sauda,Sauda oooh,Sauda dada…
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni,
Mioyo tusibadili wangu kipenzi dada tuepuke ushauri
Kwa mahasidi wa penzi ooh Sauda kwa mahasidi wa penzi mama ooh Sauda

Sauda ooooh mama,Sauda ooooh mamaaa

Mv Mapenzi meli ya wapendwa nao,moyo kama bahari manahodha mimi na wewe

(Gurumo) Duniani kuna mengi sawasawa na bahari,kuna papa na nyangumi tena wale wa hatri,hawapendi kuiona meli yetu baharini watafanya kila njia waifupishe safari

(Gurumo) Duniani kuna mengi sawasawa na bahari,kuna papa na nyangumi tena wale wa hatri,hawapendi kuiona meli yetu baharini watafanya kila njia waifupishe safari Sauda eeh

2.Kesi ya Khanga(Monica)-ZAITA Musica

Mama nipe nauli nikamfuate Monika ee,amekimbilia Zambia na treni ya mizigo ee,kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti kumi za khanga alizokopa hajalipa ee,anatafutwa na Polisi popote hapatikani,na mimi rafiki yake nipo nje kwa mdhamana ee,nililala rumande siku mbili kituoni,usumbufu nilioupata kwa kweli sina raha ee

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Mahakamani wameshapanga siku ya kusikiliza kesi,asipokuja nitapelekwa jela kutumikia kifungo,ee Monika eeeh uko wapi ee,Monika eeh

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi eeeeh

Gloria

Najifuta machozi siyaamini macho yangu, maamaaa aaaaa gloria eeeeeee
Hivi unayosema ni kweli,hivi unayosema ni kweli mamaaax2
Niliuza nyumba gloriax2
Sababu yako wewe Gloria
Hivi unayosema ni kweli mamax2
Unadai talaka hata kesi haijakwisha,mamaa aaaah Gloria eeeex2
Penzi lisilo na fadhira mamaaa tele vioja vimejaa,mimi na ndugu zangu sasa tuko kizimbani

Chorus
Wanipa uchungu oooh mama,yooo gloria mama hiyooooox2

Hakimu aliponihukumu nipelekwe gerezani kwa utapeli wangu-(aaaa mamaa) ulitoa kauli nikitoka gerezani hunitaki tena tusijuane tena

Hakimu aliponihukumu nipelekwe gerezani kwa ukataji wangu -(aaaa mamaa) ulitoa kauli unitaki tena tusijuane tena

Rudia chorus

Nimenunua penzi pasipo mapenzi,nimekuwa kama chizi simulizi mjinix2

Rudia chorus

Niliwahi kumsikiliza Moshi mwenyewe kabla hajatoa ule wimbo wake wa ajali,akasema hii ndio ngoma yake bora zaidi akidahi kila sauti na kila chombo kilikuwa kiko sawa sawia.
 
Mkuu lyrics hizi hapa

1.Sauda

Sauda,Sauda oooh,Sauda dada…
Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni,
Mioyo tusibadili wangu kipenzi dada tuepuke ushauri
Kwa mahasidi wa penzi ooh Sauda kwa mahasidi wa penzi mama ooh Sauda

Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni,
Mioyo tusibadili wangu kipenzi dada tuepuke ushauri
Kwa mahasidi wa penzi ooh Sauda kwa mahasidi wa penzi mama ooh Sauda

Sauda ooooh mama,Sauda ooooh mamaaa

Mv Mapenzi meli ya wapendwa nao,moyo kama bahari manahodha mimi na wewe

Mv Mapenzi meli ya wapendwa nao,moyo kama bahari manahodha mimi na wewe

(Gurumo) Duniani kuna mengi sawasawa na bahari,kuna papa na nyangumi tena wale wa hatri,hawapendi kuiona meli yetu baharini watafanya kila njia waifupishe safari

Mv Mapenzi meli ya wapendwa nao,moyo kama bahari manahodha mimi na wewe

Mv Mapenzi meli ya wapendwa nao,moyo kama bahari manahodha mimi na wewe

(Gurumo) Duniani kuna mengi sawasawa na bahari,kuna papa na nyangumi tena wale wa hatri,hawapendi kuiona meli yetu baharini watafanya kila njia waifupishe safari Sauda eeh

2.Kesi ya Khanga(Monica)-ZAITA Musica

Mama nipe nauli nikamfuate Monika ee,amekimbilia Zambia na treni ya mizigo ee,kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti kumi za khanga alizokopa hajalipa ee,anatafutwa na Polisi popote hapatikani,na mimi rafiki yake nipo nje kwa mdhamana ee,nililala rumande siku mbili kituoni,usumbufu nilioupata kwa kweli sina raha ee

Mama nipe nauli nikamfuate Monika ee,amekimbilia Zambia na treni ya mizigo ee,kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti kumi za khanga alizokopa hajalipa ee,anatafutwa na Polisi popote hapatikani,na mimi rafiki yake nipo nje kwa mdhamana ee,nililala rumande siku mbili kituoni,usumbufu nilioupata kwa kweli sina raha ee

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Mahakamani wameshapanga siku ya kusikiliza kesi,asipokuja nitapelekwa jela kutumikia kifungo,ee Monika eeeh uko wapi ee,Monika eeh

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi eeeeh

Mahakamani wameshapanga siku ya kusikiliza kesi,asipokuja nitapelekwa jela kutumikia kifungo,ee Monika eeeh uko wapi ee,Monika eeh

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi

Naona bora niende Zambia nikamtafute Monika,nimlete Daresalama apambane na kesi yake,e Monika eeh uko wapi eeeeh

Kaka unatisha si kidogo,nimekuvulia kofia,au mwenzetu unakachip kwenye head,ha ha ha ha.
 
Kuna tatizo nina liona hapa,sawa category ya "MAJINA YA KIKE" sawa ila swala ni,kunabaadhi ya nyimbo zilivuma sana 70's na nyingine 80's let 80's some early 90's na napenda ufahamu kwamba sisi pia ni vijana kwenye malika yetu kwa wakati wetu.

Sasa tuambie lika lipi haswa........?

hata kama zilivuma miaka ya 50 lakini ni za Kiswahili.. labda tutatafuta santuri.. tayari ninazo kadhaa hapa.. tutafikia tupate 10 bora..
 
Balatanda naomba mistari kidogo kwenye huu muziki..

Asha mwanaSeif niambie mpenzi wangu,imekuwaje leo mama uko kimya hivyo,ni lipi jambo limekuudhi nieleze leo,sema Asha seema mpenzi wangu kama mimi nimekuudhi unieleze

Nashukuru mume wangu kwa kuniuliza ooh,unakunywa pombe huonekani mpaka siku tatu,nachekwa na wenzangu,watoto wanateseka,hata huruma huna kwa hawa malaika, nachekwa na wenzangu,watoto wanateseka,hata huruma huna kwa hawa malaika

Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto(mama Maika), Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto

(TX) Aa mama,nimekubali maneno yako mama(ooh mama) wakale walisema mjinga kwa kwenda kwa kurudi anajuaa,pabaya na pazuri lelele

Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto(mama Maika), Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto

(Mbwembwe) Natubu mbele yako hata kwa hawa malaika,unisamehe Duniani hata mbinguni,nasema…

Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto(mama Maika), Ulevi ulio nao bwana unanitia aibu,huna mapenzi oo kwangu mimi na watoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom