Totozi za kisukuma zaongoza kwa ukali Kenya,Uganda na Tanzania

oooppppppps napita tu mie mnyarukolo
2+shil.JPG


tena upite kasi ya umeme TANESCO..
DSC07870.JPG
 
lols arifu aisee....hii mashine shilole kudadadadeki aisee......mzee MEGAWATI aka Ngereja hapa si ahonga Symbion yote
SHILOLE.jpg


very sorry kwa wapanda milima AKA MANKA.....

MI hapa umenifikisha kunako pale CCM Kirumba namkumbuka sana
 
Uzuri wa kitu upo kwenye macho ya muonaji...binadamu tunatofautiana sana kwenye kupenda/kutamani!!
Mungu ameumba vitu vyote vyema..wapo wanaopenda ufundi wa mambo yetu yalee na wapo wengine wanapenda kutazama picha tu kama hapo wanakula kwa macho kwa shilole ila anaweza kuwa anakosa ya maufundi yalee ya manyakanga/makungwi!!
Yo yo endelea kuweka mambo wazee wa sambi wapunguze hasira za maisha magumu
 
Piga ua galagaza juu chini popote pale ni ukweli usiopingika totozi za kisukuma ndio bora na wakali kuliko woote katika zone ya TAKEU....najua zile totozi zenye miguu kama wapanda milima wachaga watamind.......
256775_10150220107118959_828388958_7157478_3703073_o.jpg


n647406329_2019140_2629749.jpg


Fucck you TANESCO
Proudly Kenyan

mkuu kenya upo pande ipi wewe mmeru au kilenjin? maana kilenjin kuna totoz hapana mchezo au ulitaka kuwasakama kina manka?
 
yah maaan...shem sikonge ndio kanitonya saa hii.....naweza amini si unaona toto lilivyo tepwe tepwe ila tabia kafuata za kizaramo na kizenji kupenda mishoroboko...
Haswaa yaani mitabia yake inaboa kichizi, yaani tunashindwa kum classfy
 
Umekosea...ni dunia nzima mfano:Richa Adhia,Happines Magese,Miriam Gerald,Sylvia Bahame,ulishafika dutwa wewe au ng'alita?????kule ni balaa.................angalia hata jirani yako hapo...

Mzee umenichekesha kweli kuhusu Ng'alita ungeongezea na Ikinabushu, Matongo, Masewa, Ikungulyabashashi, Nyawa, Ng'wang'wenge, Ng'wanhale.
 
Jamani msijetelekeza watoto wenu bure,wanaenda photo point wanapiga picha zinaoshwa weeeeeeeeee ndo zinawekwa mtandaoni,huyo kajibinua kiuno na kavaa viatu virefu anaonekana kajazia hivyo,kama mnabisha pitieni mlimani city photo point muone wanavyochakachua picha za kuwamalizieni vijisenti vyenu.
 
Jamani msijetelekeza watoto wenu bure,wanaenda photo point wanapiga picha zinaoshwa weeeeeeeeee ndo zinawekwa mtandaoni,huyo kajibinua kiuno na kavaa viatu virefu anaonekana kajazia hivyo,kama mnabisha pitieni mlimani city photo point muone wanavyochakachua picha za kuwamalizieni vijisenti vyenu.
arifu hizi totozi si tunazo kitaa mbona......hakuna cha photoshop wala nini......hizi bana ni supernatural aisee umeambiwa nenda Ikinabushu, Matongo, Masewa, Ikungulyabashashi, Nyawa, Ng'wang'wenge, Ng'wanhale.
 
Back
Top Bottom