Totozi za kisukuma zaongoza kwa ukali Kenya,Uganda na Tanzania

Umekosea...ni dunia nzima mfano:Richa Adhia,Happines Magese,Miriam Gerald,Sylvia Bahame,ulishafika dutwa wewe au ng'alita?????kule ni balaa.................angalia hata jirani yako hapo...
sio Dutwa tu! Nenda mpaka Nkoma, Nyakabindi mpaka kule Busesele!
 
wazuri wanajifaham hawawezi kwenda kujipambanisha na wengine ndo wajijue, hawa si wabaya pia si wakali kivile.
 
3164.jpg
Big up kwa brothers Balantanda,Sikonge

Yo Yo!!

Thread zako bwana... they have something in common,, always on the same direction!
 
Jamani msijetelekeza watoto wenu bure,wanaenda photo point wanapiga picha zinaoshwa weeeeeeeeee ndo zinawekwa mtandaoni,huyo kajibinua kiuno na kavaa viatu virefu anaonekana kajazia hivyo,kama mnabisha pitieni mlimani city photo point muone wanavyochakachua picha za kuwamalizieni vijisenti vyenu.

wazuri wanajifaham hawawezi kwenda kujipambanisha na wengine ndo wajijue, hawa si wabaya pia si wakali kivile.
Nyie mtakuwa mnatoka karibu na mlima uleee!
 
Kuna binti anaitwa Lilian Kusekwa.............Alishawahi kuwa Miss Shinyanga na pia Miss Kanda ya Ziwa....

Mwenye picha yake atubandikie hapa.....Ni kifaa haswaa....
 
Bila kumsahau Basila Kalubha Mwanukuzi..............Former Miss Tanzania.....
 
Attachments

  • basilamwanukuzi-bc.jpg
    basilamwanukuzi-bc.jpg
    22.4 KB · Views: 116
Usukumani bana wao wanaangalia rangi tu mweupe bei juu mweusi bei chini

Mweupe unaweza ambiwa ng'ombe 40 lakini mweusi ng'ombe 2 tu unabeba mzigo.
 
Kama co mchina anastahili huo mzigo kuwekea comprehensive insurance huyu
SHILOLE.jpg
 
Umekosea...ni dunia nzima mfano:Richa Adhia,Happines Magese,Miriam Gerald,Sylvia Bahame,ulishafika dutwa wewe au ng'alita?????kule ni balaa.................angalia hata jirani yako hapo...

Acheni wakuu SUKUMA babies zinaongoza all the ****ing Globe men...Midume yao pia kwa mechi usiombe...nenda huko Denmack walikuwa wanakuja hapo mwanza kubeba midume ya mbegu....the Ngosha kwa mechi, za ndani, za ugenini hata za kirafiki tu ngoma juuu
 
Jamani mwenye picha za Sylvia Bahame atuwekee, katika mamiss wa TZ mpaka leo kwangu ndiye Nambari One, hajatokea mwingine
 
Kuna binti anaitwa Lilian Kusekwa.............Alishawahi kuwa Miss Shinyanga na pia Miss Kanda ya Ziwa....

Mwenye picha yake atubandikie hapa.....Ni kifaa haswaa....

ninayo moja wacha niiscani nikutumie....mika ya 2000 alitisha sana huyu sasa
 
Back
Top Bottom