The boss, nimekudondokea!

Status
Not open for further replies.
Kwa wadada, kama kuna niliyemkwaza pole, mlikuwa naye humu humu siku zote, mie nimeshindwa kabisa kujizuia. Kama kuna aliyekuwa anampimia teh teh teh, ajifunze kusema mapema.

Ha ha huyo wako bibie nani anataka kukunyang'anya nimchape?
 
Nashangaa mpaka sasa wakodombwe hawajadai The Boss ndo Kongosho na kaanzaisha uzi kujipaisha!

KANUSHO: Sisemi kwamba The Boss ndo Kongosho.

ha haaaaaa wakodombwe sio....
kwani mi nilifikiri 'kudondekewa' huwa inamkuta kila mwanaume....au sio common....????

nimemkumbuka Queen Kami aisee....
 
ha haaaaaa wakodombwe sio....
kwani mi nilifikiri 'kudondekewa' huwa inamkuta kila mwanaume....au sio common....????

nimemkumbuka Queen Kami aisee....

Wee umesahau jinsi baadhi ya waja walivyodai? Maskini mdada wa watu...sijui kapotelea wapi tu!
 
Wee umesahau jinsi baadhi ya waja walivyodai? Maskini mdada wa watu...sijui kapotelea wapi tu!

wakodombwe sio?
but hii 'mentality' ya kutoamini mdada anaweza mdondokea mkaka
sijui inatoka wapi? au kutosafiri safiri???
mfano Kenya ni kawaida mno mdada kutongoza mkaka...na Zambia pia nimeona hiyo
unafuatwa na kupewa bussiness card na kusisitizwa 'call me later'..
sijui sisi wabongo 'tunajibanabana ili iweje????
 
WeWe Kongosho, mbona una jina la kiume.., au ndio utekelezaji wa sera za donald cameron umeanza.

hata Avatar ni ya kiume, ila matendo ni ya kike, which justifies...! oooops! sorry kumbe hana Avatar?!!!!:A S embarassed:
 
Na kamba umeikaza, pumzi zimenipaa
Macho yanaona kiza, na sasa nishapumbaa
Imebaki kujikaza, na ngoja dakika na saa

.....
Nakuja chukua twisheni, wakati namloweka kwenye maji mizenazena, mdalasini na uturi niwe namwimbia haya mashairi
 
hata Avatar ni ya kiume, ila matendo ni ya kike, which justifies...! oooops! sorry kumbe hana Avatar?!!!!:A S embarassed:

Avatar inakuja saa hii hii. Mambo ya jina la kiume mara la kike, jamani mbona mmaniundia zengwe? Mmetumwa na nani? Mko kambi ya nani? Mshanunuliwa mara hii? Time frame yetu ni 2015 au hadi TB atakapo-isainisha mkataba wa maridhiano kambi moja? Definitely yangu inaongoza hadi saa hii.
Mtaninyang'anya kadi bure, jamani magamba wabaya hadi kwenye Makopa
 
Nashangaa mpaka sasa wakodombwe hawajadai The Boss ndo Kongosho na kaanzaisha uzi kujipaisha!

KANUSHO: Sisemi kwamba The Boss ndo Kongosho.
Afu weye..., what are you trying to insinuate? I am SHE
 
Nakuja chukua twisheni, wakati namloweka kwenye maji mizenazena, mdalasini na uturi niwe namwimbia haya mashairi

Usiisahau na hii

Nampenda kwa yoyote sitobadili
Na dalili nyote mwaziona usoni
Pendo huba metosheka sitamani
Na moyo wangu nimeutia kufuli

Siwezi na kujaribu siwezi
Natamani na kujaribu siwezi

Usisahau na mkate wa mchele kwa chai ya tangawizi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom