Ifike sehemu jamii Itafute mbinu mbadala ya Kuwafunda dada zetu

Surya

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
8,379
12,574
Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee

Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja.

Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya pande zote mbili kwa pamoja.

Nieleze tu kwa uwazi tu, sisi wanaume swala la kutafuta mpenz huwa ni jambo la kila siku..
Tunahisia sana tuonapo mwanamke mzuri na mwenye maneno mazuri mdomoni,

Wengine wetu wanaume sex hututoa mawazo na kutupa furaha.
Nieleze kwa kifupi nipendavyo mimi..

1. Imani.
Kwanza nataka mwanamke anae jiamini na kuniamin, kukosekana kwa imani kumekua mwiba sana katika mahusiano yangu.
nasema hivi kwa sababu mwanamke usipo jiamin na siku ukimuona bwana ako anaongea na binti mrembo mwingine lazina itakuumiza na mwisho kuleta magomvi.

2. Hisia.
hisia zangu kwa mwanamke niliye mchagua niya kiwango cha kutosha, mwanzo lazima sex iwe kila siku, show show hadi basiii
then tukizoeana sasa.. tutakua tuna skip some days lakin romance ni daily, kiufupi mimi siwezi kumaliza siku sijamla denda demu wangu.

3. Upambanaji kiuchumi.
binafsi siwezi kukaa na mwanamke mvivu, kila unachomwambia kufanya kabla hajajaribu utashangaa anakwambia siwezi.

Ni hayo tu wana Jukwaa nimeeleza hivi kwa kifupi kwa kitaja mazuri yanayotakiwa kufanywa na nisiongelee sana udhaifu uko vipi,
mwisho wa siku nikaonekana nimekuja hapa kutoa machambo.

Shetani kawaalibu sana dada zetu kupitia makanisa ya uwongo, mafuta na lotion za Kuzimu hawana tena usichana wao,
unakuta mwanamke niwa baridi hata uchape fimbo vip, sasa nani ataowa wa hivo?

mwanamke unasex dakika 10 unamwambia mumeo umechoka, sasa unataka yeye akamalizie wapi hisia zake.

Mwanamke unamtongoza, anakubali na unaanza kumhudumia kifedha nawe ukitaka mapenz kwake, lakini utachezewa akili bila kuambulia hata busu hadi ukome, sometimes hadi nakua na jazba kila mwanamke ninae mtongoza nakua nawaza labda ndo wale wale, unakua unajiuliza hata nikitoa pesa yangu, huyu kiumbe anahisia na mimi kweli.

Ila yote tisa, kumi wenye haki hupatana mala moja one day Yes.
 
Kwa nini unalaumu wanawake tu?

Na nyinyi akina baba hapa kila leo ni kujisifu wanawake wangapi mtu ametembea nao, unaddhani unaonyesha nini kwa familia yako?
 
Last time hapa nilikuja na kuandika uzi mfupi tu, sikupata muda wa kusema yoteee
Kuhusiana na hili janga la dada zetu wengi kushindwa kusimama kama Mke wa mume fulani na kukaa na familia wa kwanza Mume na watoto kwa pamoja.
Taraka za midomo zimekua nyingi sana, watoto wanzidi kukosa malezi ya pande zote mbili kwa pamoja.

Nieleze tu kwa uwazi tu, sisi wanaume swala la kutafuta mpenz huwa ni jambo la kila siku..
Tunahisia sana tuonapo mwanamke mzuri na mwenye maneno mazuri mdomoni,

Wengine wetu wanaume sex hututoa mawazo na kutupa furaha.
Nieleze kwa kifupi nipendavyo mimi..

1. Imani.
Kwanza nataka mwanamke anae jiamini na kuniamin, kukosekana kwa imani kumekua mwiba sana katika mahusiano yangu.
nasema hivi kwa sababu mwanamke usipo jiamin na siku ukimuona bwana ako anaongea na binti mrembo mwingine lazina itakuumiza na mwisho kuleta magomvi.

2. Hisia.
hisia zangu kwa mwanamke niliye mchagua niya kiwango cha kutosha, mwanzo lazima sex iwe kila siku, show show hadi basiii
then tukizoeana sasa.. tutakua tuna skip some days lakin romance ni daily, kiufupi mimi siwezi kumaliza siku sijamla denda demu wangu.

3. Upambanaji kiuchumi.
binafsi siwezi kukaa na mwanamke mvivu, kila unachomwambia kufanya kabla hajajaribu utashangaa anakwambia siwezi.

Ni hayo tu wana Jukwaa nimeeleza hivi kwa kifupi kwa kitaja mazuri yanayotakiwa kufanywa na nisiongelee sana udhaifu uko vipi,
mwisho wa siku nikaonekana nimekuja hapa kutoa machambo.

Shetani kawaalibu sana dada zetu kupitia makanisa ya uwongo, mafuta na lotion za Kuzimu hawana tena usichana wao,
unakuta mwanamke niwa baridi hata uchape fimbo vip, sasa nani ataowa wa hivo?
mwanamke unasex dakika 10 unamwambia mumeo umechoka, sasa unataka yeye akamalizie wapi hisia zake.

Mwanamke unamtongoza, anakubali na unaanza kumhudumia kifedha nawe ukitaka mapenz kwake, lakini utachezewa akili bila kuambulia hata busu hadi ukome,
sometimes hadi nakua na jazba kila mwanamke ninae mtongoza nakua nawaza labda ndo wale wale, unakua unajiuliza hata nikitoa pesa yangu, huyu kiumbe anahisia na mimi kweli.

Ila yote tisa, kumi wenye haki hupatana mala moja one day Yes.
Hivi mbona ni wanawake tu...... Kesho uje na ya wanaume pia
 
Tatizo Mr. Right na Miss. Right wanaishi Mabara tofauti, tutalaumiana bure tu...
 
Sijui niseme nini?
Vijana tujue kabisa kuwa mambo tunayoyafanya huwa lazima yana gharama zake. Siku zote mkumbuke regret is a bicth at the end. Mda mwingi jambo linaweza kuwa la starehe ila likaleta mateso makubwa sana kwako. Hata wanawake au wanaume unaokutana nao jaribu kuwajua kwanza kabla hujaingia kwenye sex. .
 
Hata ukimjua hitadaidia nini kama hana hisia ni hana tu
 
Kama ww ni kaka na una wadogo wako ambao wanategemea ushauri wa kimaisha kutoka kwako basi wataambulia patupu

Umeongea vitu vya kijinga sana vya kuifurahisha nafsi yako kwa mambo ya kidunia, umemsahau hata muumba wako

Kwa ujasiri unahalalisha dhambi ya uzinzi hadharani, sisi kama wadogo zako tutajifunza nini?

Hakuna mkamkifu mbele ya mungu ila tusijisahau ikafikia hatua tukaanza kudharau na kupuuzia kuzishika na kuishi amri zake.

Kila siku tunalalamika kuhusu kuumizwa na mahusiano cha kusikitisha zaidi tunamlalamikia huyu huyu Mungu aliyetukataza tusizini

Tubadilikeni wakuu, ww unakomaa kuchakata mbususu afu baadae unaomba mke mwema ni unafiki wa hali ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru Mungu nina majibu ya kukupa, nadhani utanielewa dear brother.
 
Back
Top Bottom