Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,846
Kwanza nikueleze kwamba sijakaribia age ya mid- life crisis unayosema mi hata 45 yenyewe bado sana. Nashukuru kwa ushauri wenu ila nasikitika pia unatofautiana na ninaopata kwenye chama chetu cha wanaume tulioa yaani couple's group. Katika chama chetu ambacho wake zetu nao ni memmbers kwa kujadili mambo ya akina mama walioolewa kuna mambo ambayo wanaume wengi wana face ktk ndoa ambayo ni common. Na hapa ni ngumu sana ku share everything kwa sababu muda hautoshi na siyo rahisi kueleza kitu kwa maandishi kikaaleweka unavyotaka kieleweke kwani kila mtu anakuwa na different intepretation kama ilivyotokea kwenye hii thread.
...nakuelewa bro, nakuelewa sana ndugu yangu.
ninachojaribu ku share nawe hapa ni possibilities tu ya huo usongo wa mawazo kutokana na vijitabia na maudhi unavyojiaminisha anavyo mkeo pekee..
ninachokudhihirishia, hakuna ndoa iliyo smooth kwa asilimia 100%...
nimekupa mfano wa midlife crisis, na bahati nzuri mwenyewe wafahamu ina range kwenye 45yrs,....lakini wakati huo huo unakumbuka uliandika wanaume wengi wanakufa kwa heart attacks miaka hii? ina maana life span ya wanaume wa kibantu inashuka compared na wenzetu weupe,...kwanini? hiii ni mada nyingine itayohitaji uchambuzi family issues (incl extended & societies) zina link vipi kwenye milipuko ya magonjwa inayopelekea vifo tungali vijana...
usiishi na mkeo kama fulani anavyoishi na mumewe bana,....hiyo couples group ni kweli mnahadithiana yote yanayojiri au mnapeana hadithi za alinacha tu?...hakuna expert wa ukweli ndani ya ndoa yenu isipokuwa nyie wawili pekee, sisi wasomaji na wachangiaji hatujui kiatu kinavyokubana wala kunguni wa kitanda ulichokilalia... ulipoamua kuyaweka hadharani ulitegemea tutaku support pekee?
hapana bana, take a sip of ice cold water....relax na usiku wa leo hakikisha unaumshukuru mkeo kwa kusimama nawe muda wote huu...she needs a hug and kisses, the only reassurances kwamba mlichaguana for better and for worse...