Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

Nikimfukuza atakuwa exile tu na sina mpango wa kuona tena kwa sababu ninyi wanawake woote mna vitabia vya aina moja hata kama mmesoma mna behave kama mwanamke yeyote wa kijijini. Tena ladies wengine wa vijijini ni waelewa kuliko wa mjini. hao wanaume wanasema nimeoa lulu ni wale wanaopenda dezo za kupewa pewa na wanawake fuatilia hawana reason nyingine. Kuwa mvumilivu niko sana na ndo maana nimekaa naye kwa miaka 12. Jestina please nitendee haki

....dahhh, sasa mwana kwetu, iwapo umejithibitishia kwa msitari huo niliou highlight kwa wekundu, iweje leo hii unataka mkeo awe tofauti bana? ....

ni mambo madogo madogo tu ya kukubaliana nayo kwamba hakuna mkamilifu duniani, na mkeo is no exceptional.
pale kwenye mapungufu yake unatakiwa wewe ukamilishe huo upungufu bana. ndio maana pakasemwa ni bora kumuoa
imperfect partner ili kukamilisha a perfect couple, si ndio bana?

ni mambo madogo madogo tu ya kukumbushana na kukubaliana. hizo kero za mkeo ni mfano wa kivuli tu,...
usitishike kwa ukubwa wa kivuli nawe ukakikuzaaaa....

relax bana....hakuna mkamilifu, by the way, i admire mkeo anavyokuchangamsha akili,....
pamoja na usomi wote, unashindwa kumuelewa? imagine wale jamaa omba omba wa mitaani unawaona na wake zao
matonya.jpg
[mzee matonya],...unadhani hawana matatizo yao ya ndani?

ndoa haiamuliwi kwa kura kaka. my late mom used to say 'nobody notices what i do until i dont do it!!'. ukiongea na viongozi wa dini utagundua mkeo anafanya mambo juu ya wastani. umeambiwa tayari,kila mtu akingea weaknesess za mwenza wake hapa,hapatatosha. ww ndo unaishi nae,tumekuomba umpe uhuru na kuheshimu utu wake.pengine majukumu unayompa ni magumu kwake.kama hayuko huru kukuambia ukweli inabidi akudanganye. ukiona hakufai, mueleze na muachane kwa taratibu zilizopo. utapata mwenza ambae pengine utam-appreciate naye huenda akakutana na mwingine ambaye atatambua thamani yake.
Itafika mahali huu mjadala tutaamua kwa kura kwa sababu nataka kuwa very democratic kwani nimepost hii mada kuomba ushauri na kuna ushauri mwingi mzuri umetolewa na GT na wengi wamekuwa neutral kutoa wazo la kusaidia. Mimi siyo control freak na wife anafanya kazi na safari ni nyingi na kuna freedom kubwa sana kwetu ila ktk ndoa inakuwa raha kila mtu anapochagua majukumu yake akayafanya na si kuachia upande mmoja. Mtu kusema hivyo haimaanishi ni control freak kwani lengo la jumla ni kuleta maendeleo ya familia . Kama upande mmoja hautawajibika sawasawa si rahisi kufikia malengo ya kifamilia.

kuna boss wangu mmoja alikufa,kila mtu akasema hatimae mkewe 'ameushusha msalaba'
duniani kuna watu....nimekumbuka hiyo aisee..

....dahhh, sasa mwana kwetu, iwapo umejithibitishia kwa msitari huo niliou highlight kwa wekundu, iweje leo hii unataka mkeo awe tofauti bana? ....

ni mambo madogo madogo tu ya kukubaliana nayo kwamba hakuna mkamilifu duniani, na mkeo is no exceptional.
pale kwenye mapungufu yake unatakiwa wewe ukamilishe huo upungufu bana. ndio maana pakasemwa ni bora kumuoa
imperfect partner ili kukamilisha a perfect couple, si ndio bana?

ni mambo madogo madogo tu ya kukumbushana na kukubaliana. hizo kero za mkeo ni mfano wa kivuli tu,...
usitishike kwa ukubwa wa kivuli nawe ukakikuzaaaa....

relax bana....hakuna mkamilifu, by the way, i admire mkeo anavyokuchangamsha akili,....
pamoja na usomi wote, unashindwa kumuelewa? imagine wale jamaa omba omba wa mitaani unawaona na wake zao
matonya.jpg
[mzee matonya],...unadhani hawana matatizo yao ya ndani?

mbu.... this thread has lots of hidden info IMO

hawezekani mtu kusema yote aliyosema kuhusu mkewe bila fair chance kwa mamaa

but i appreciate your way of support always

• Thanks
Reactions: Mbu

....dahhh, sasa mwana kwetu, iwapo umejithibitishia kwa msitari huo niliou highlight kwa wekundu, iweje leo hii unataka mkeo awe tofauti bana? ....

ni mambo madogo madogo tu ya kukubaliana nayo kwamba hakuna mkamilifu duniani, na mkeo is no exceptional.
pale kwenye mapungufu yake unatakiwa wewe ukamilishe huo upungufu bana. ndio maana pakasemwa ni bora kumuoa
imperfect partner ili kukamilisha a perfect couple, si ndio bana?

ni mambo madogo madogo tu ya kukumbushana na kukubaliana. hizo kero za mkeo ni mfano wa kivuli tu,...
usitishike kwa ukubwa wa kivuli nawe ukakikuzaaaa....

relax bana....hakuna mkamilifu, by the way, i admire mkeo anavyokuchangamsha akili,....
pamoja na usomi wote, unashindwa kumuelewa? imagine wale jamaa omba omba wa mitaani unawaona na wake zao
matonya.jpg
[mzee matonya],...unadhani hawana matatizo yao ya ndani?

Ahsante sana Mbu...hapo kwenye bold nimependa sana.

• Thanks
Reactions: Mbu
mtm,thanks for respecting me,i am so humbled! huyu bwana ham-treat mkewe kama mke. mke ni msaidizi na mfariji,where she is weak u ar supposed to be strong. same as where a man is weak a wife gotta be strong ili jahazi liende. ukiwa na mke akakeep record of ur agreement kua urudi home saa nne na mnasainishana,kuna ndoa hapo? ama it is a business agreement? sasa anasema tuamue kwa kura.can u make a vote over ur marriage? ningekua mkewe ningejiskia commodity kweli! sorry mtm,much rezpect right back to u.
king'asti una mawe makali sana

but anyway, i once said... i respect you lot

Huwa siyo hivyo tu wakati akisha chemsha na ugomvi kutokea mkubwa ukianza kumwambia sikutaki tena yeye kuliko aondoke kuna wakati unamkuta sebuleni anaendelea kupasi nguo zako na baada ya hapo anakutengenezea chai ingawaje inakuwaga vigumu kunywa kutokana na hasira.

a wife of noble character who can find? She is worth far more than rubies
proverb 31; 10-31

...dahhh, e bana wee...umebahatika mke mzuri kuliko wanawake asilimia 99% wa kisasa.
hutajua thamani ya mtu uliyenaye mpaka siku utapomkosa.

usituringishie bana, dahhh...mpaka macozi yananitoka ulivyobahatika kupata mke wa aina hiyo bana,
hongera sana...mbu naadhirika hapa kwa uchungu wa haya niyasomayo..

Nina imani japokuwa mtoa mada kuna kipindi anajibu kama amekasirika bado comments zitamsaidia.

Unajua hapa watu wanasema chochote japo yaweza fanya mtu awe na hasira lakini ni bahati saaana kupata wa kukwambia ukweli.

Hasira zikiisha, ukikaa, ukatafakari unaweza kuwa na mtazamo mpya.

Una weza kuwa na makosa lakini hamna wa kukwambia ukweli si rafiki wala ndugu; wanakusema pembeni.

mtm,thanks for respecting me,i am so humbled! huyu bwana ham-treat mkewe kama mke. mke ni msaidizi na mfariji,where she is weak u ar supposed to be strong. same as where a man is weak a wife gotta be strong ili jahazi liende. ukiwa na mke akakeep record of ur agreement kua urudi home saa nne na mnasainishana,kuna ndoa hapo? ama it is a business agreement? sasa anasema tuamue kwa kura.can u make a vote over ur marriage? ningekua mkewe ningejiskia commodity kweli! sorry mtm,much rezpect right back to u.

is this your wife really??

Mbona unamdhalilisha mbele za watu?

What do you mean MTM? Hii ni sifuri nimejitahidi kuwa tu open hapa ila wengi wetu tumekuwa tukificha mambo yetu kwa kutaka heshima na ndio maana utafiti unaonyesha wanaume wengi wanapata heart attack kwa ku weka vitu moyoni haswa vile vya ndoa. Sitaki kuwa mnafiki nikaficha maradhi na ndiyo maana nimetupa hii thread hapa. Sikuzuii kuamini kuwa huu ni udhalilishaji kwani hapa tunachangia kila mtu anavyoona.

Huwa siyo hivyo tu wakati akisha chemsha na ugomvi kutokea mkubwa ukianza kumwambia sikutaki tena yeye kuliko aondoke kuna wakati unamkuta sebuleni anaendelea kupasi nguo zako na baada ya hapo anakutengenezea chai ingawaje inakuwaga vigumu kunywa kutokana na hasira.

Huyo dada ana heshima sana na anakupenda mno, hayo ni mapungufu tu madogo madogo alonayo hakuna binadamu aliye mkamilifu kwa asilimia 100 kakangu hivyo mvumilie tu.

Wenzio twatafuta mke ka huyo hatupati, we shauri yako ila ukimuacha tu niPM ili nimtafute awe wangu milele.

Mnaochangia mmeoa au mnachangia tu kwa uzoefu wa kusoma kwenye vitabu vya udaku.? Kuanzia wadhamini nimewaeleza na walishachoka kumweleza na wakasema hatuwezi kuongea na sikio la kufa. wazazi wake walishamwambia na kumwonya na kumfunda mara ya pili na wakaniomba nirudi kukaa naye akileta shida niwaambie tena . Hii ndo ni mojawapo ya sababu kuwa hathubutu kabisa kwenda kwao nikimfukuza. NINGEKUWA MI NINA MATATIZO HAWA MASHAHIDI WOTE INCLUDING WAZAZI WAKE TENA WENYE UWEZO WASINGEMWONYA NA KUMWEKA KIKAO.

Mbona ishu ndogo hiyo,wengine hawawezi kuisimamia nyumba kutokana na sabab mbalimbali.wewe wapangie ma house girl majukumu ya usafi.
unamnyanyasa kwa kumtamtangaza kwa kila mtu,ila siku akifunguka macho na kuamua kuachana na kisirani chako utalia kilio cha mbwa.Huyo mwana,ke anayekujali hata kama umetoka kugombamna nae ni nadra sana kupatikana kizazi hiki

a wife of noble character who can find? She is worth far more than rubies
proverb 31; 10-31

...dahhh, e bana wee...umebahatika mke mzuri kuliko wanawake asilimia 99% wa kisasa.
hutajua thamani ya mtu uliyenaye mpaka siku utapomkosa.

usituringishie bana, dahhh...mpaka macozi yananitoka ulivyobahatika kupata mke wa aina hiyo bana,
hongera sana...mbu naadhirika hapa kwa uchungu wa haya niyasomayo..

We acha tu Mkuu Mbu....unamtamkia maneno mkeo ambaye hayastahili kutamkwa, "mie sikutaki tena" halafu baada ya dakika chache unamkuta yuko wima anakupigia pasi nguo zako na kisha baadaye anakutayarishia chai na kukuwekea mezani, eti unajidai siwezi kunywa kwa "jinsi nilivyojawa na hasira" hasira zipi hizo ambazo zinashindwa kuona mapenzi makubwa ya mkeo kwako pamoja na ugomvi mkubwa bado akaweka pembeni hasira zake na kukutumikia. Kama alivyosema BOSS huyu jamaa hakustahili kupata mke mwema kiasi hiki ambaye inaonyesha hamthamini kabisa.

mtm,thanks for respecting me,i am so humbled! huyu bwana ham-treat mkewe kama mke. mke ni msaidizi na mfariji,where she is weak u ar supposed to be strong. same as where a man is weak a wife gotta be strong ili jahazi liende. ukiwa na mke akakeep record of ur agreement kua urudi home saa nne na mnasainishana,kuna ndoa hapo? ama it is a business agreement? sasa anasema tuamue kwa kura.can u make a vote over ur marriage? ningekua mkewe ningejiskia commodity kweli! sorry mtm,much rezpect right back to u.

ndoa ya MOU kwikwikwiiii

a wife of noble character who can find? She is worth far more than rubies
proverb 31; 10-31

...dahhh, e bana wee...umebahatika mke mzuri kuliko wanawake asilimia 99% wa kisasa.
hutajua thamani ya mtu uliyenaye mpaka siku utapomkosa.

usituringishie bana, dahhh...mpaka machozi yananitoka ulivyobahatika kupata mke wa aina hiyo bana,
hongera sana...mbu naadhirika hapa kwa uchungu wa haya niyasomayo..

We acha tu Mkuu Mbu....unamtamkia maneno mkeo ambaye hayastahili kutamkwa, "mie sikutaki tena" halafu baada ya dakika chache unamkuta yuko wima anakupigia pasi nguo zako na kisha baadaye anakutayarishia chai na kukuwekea mezani, eti unajidai siwezi kunywa kwa "jinsi nilivyojawa na hasira" hasira zipi hizo ambazo zinashindwa kuona mapenzi makubwa ya mkeo kwako pamoja na ugomvi mkubwa bado akaweka pembeni hasira zake na kukutumikia. Kama alivyosema BOSS huyu jamaa hakustahili kupata mke mwema kiasi hiki ambaye inaonyesha hamthamini kabisa.

mtm,thanks for respecting me,i am so humbled! huyu bwana ham-treat mkewe kama mke. mke ni msaidizi na mfariji,where she is weak u ar supposed to be strong. same as where a man is weak a wife gotta be strong ili jahazi liende. ukiwa na mke akakeep record of ur agreement kua urudi home saa nne na mnasainishana,kuna ndoa hapo? ama it is a business agreement? sasa anasema tuamue kwa kura.can u make a vote over ur marriage? ningekua mkewe ningejiskia commodity kweli! sorry mtm,much rezpect right back to u.

Kama ku sign agreement ni kuharibu ndoa basi hata vyeti tunavyo sign wakati wa kuoana havina maana kwani tungeaminiana tu tukatamka maneno basi tukaenda ukumbini. tuwe realistic King'asti. Kuwekeana makubaliano ni very soft approach ambayo niliamua kuichukua kuliko kupigana etc. Unaweza ku-ni judge kwa kusoma mahandishi yangu hapa ila tungekuwa tunajadiliana physically bila shaka ungeweza kubadili upepo na kuwa na more balanced comment kuliko kuanza right away kunihukumu. Unajua sifa ya dikteta hana muda wa kujadili bali hufanya uamuzi tu ule unaokuja akili mwake bila kupima madhara ila mimi niweka ili suala kwenye mjadala na sipingani na comment yoyote bali ninazijibu.

Nina learn hapa kitu kwamba akina mama mna silika ya kutetea wenzenu.

Si kweli kabisa, wanaomtetea mkeo hapa si wanawake tu bali wapo na akina njemba pia. Badilika Banaaa!!! au ongeza jina lako liwe Mwana Kwetu Haambiliki.

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom