Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

Kiroboto10

Member
Nov 30, 2023
71
287
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza.

Hii tabia inanikera sana, ila yeye haoni kama ni kero. Hii hali imeanza kwa muda wa miaka mitatu sasa, kabla ya ndoa wakati wa uchumba hakua na tabia hii, labda kwa vile alikua anakuja tu sleep overs za weekend chache chache.

Imekua ni shida kubwa sana kwenye ndoa yetu, tunagombana mara nyingi sababu ya hili, ila yeye anajiona hana makosa, analalamika tu kuwa napenda sana ngono, nataka ngono kila siku kama chakula. Yaani saa zingine usiku huwa namuangalia akiwa amelala kitandani, natamani nimchape mangumi, au hata nimfunike na mto afie mbali huko!!

Kuna kipindi niliamua kama kumpa adhabu nione kama anajielewa, sikumgusa karibu mwezi mzima, naingia zangu tu kitandani nalala bila kumgusa wala kumsumbua.

Cha ajabu, hata hakushtuka na kuona hiyo ni hali ya hatari, mwezi mzima tulilala bila kufanya chochote na bila hata yeye kushtuka wala kusema chochote. Mimi sio mtu wa kuchepuka kabisa kiasili, ni mtu wa kukaa na mwanamke mmoja.

Sasa kwa hatua iliyofikia, ninachopanga kichwani kwangu atakuja kushtuka wakati ameshachelewa sana, namtafutia dawa yake, atakuja kujuta. Wanawake acheni huu ujinga, mnavunja ndoa zenu kwa mikono yenu wenyewe.
 
Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, kwa kipindi cha miaka miwili sasa amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza. Hii tabia inanikera sana, ila yeye
Polee sanaa mkuu
 
Hakuna suluhisho lingine hapo zaidi ya kumuacha na kuoa mwingine

Pia unatakiwa uchukue uamuzi mgumu, ila ukibaki kulia lia na kutafuta huruma hutakaa upate suluhisho la tatizo lako

Huyo ameshakuzoea na hawezi kubadilika kamwe

Usisubiri mjomba au shangazi aje amshauri, ni kuachana naye haraka na kuoa mwingine haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom