Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

wengi ni hivyo sielewi why? labda kuna jambo hakushirikishi? jaribu kuchunguza sim yake kwa upole saana. bila yeye kushtukia
 
Kama huyo mkeo hana tabia ya kupigwa mpini nje ya ndoa usimpige chini coz hizo tabia nyingine zinavumilika na kurekebishika.
 
Nimesoma ulivyoandika hii thread na jinsi unavyorespond kwenye comments za watu wanakushauri nikagundua kwamba seriously unahitaji ushauri wa kujenga ndoa yako. Mi nasikitika tu kwamba kuna watu wengine wanachukulia mzaha, we unahitaji kujenga ila memba mwingine anakushauri eti kama vp chukua wa pembeni! Jamani! Kuchukua wa pembeni ni ni sawa na kuchukuwa baruti au bomu na kuliweka mfukoni na kuingia nalo uwanjani kucheza mpira, ukigongana na mwenzio au ukianguka si litakulipukia?

Nirudi kwy issue yako, mi naamini karika dunia hii hamna binadamu mwenye akili timamu ambae haelewi akielekezwa kitu. Ila inategeme unamwelekeza vipi na katika mazingira gani. Kama wife anakukosea kosea mara kwa mara mi nakushauri tafuta mda utoke nae siku makakae sehemu iliyotulia mkiwa wawili tu na umweleze unavojisikia kwa mambo ambayo anafanya, na inabidi utumia lugha ya upole na uwe unamwangalia usoni. Mweleze kila kitu. Baada ya kumweleza mwulize kama ingekuwa ni wewe unamfanyia hivyo angejisikiaje. (Lengo la kutoka nje ya nyimbani ni kuifanya hiyo siku iwe ya kipekee na uzito Fulani)
Pia mweleze madhara ambayo yanaweza kutokea endapo ataendelea kufanya hayo makosa au kuleta hizo kero (ikiwezekana tumia hata mifano ya ndoa za watu wengine). Kwa mfano, maudhi ya mara kwa mara kwenye ndoa yanasababisha mtu kukosa hamu ya ndoa yenyewe na ukishakosa hamu ya ndoa hutokuwa na raha ya kukaa hapo nyumbani na itasababisha hata ukitoka kazini uchelewe kurudi home bze hamna amani.

Kama ilivyo safari moja huanzisha nyingine utakuwa unapitia sehemu upate moja mbili tatu n.k. Ndoa inabomolewa na vikero vidogo vidogo sana ambavyo wakati mwingine ni vigumu hata kuweleza mtu. Ndoa huwa inahitaji semina elekezi za mara kwa mara ambazo zitamfanya kila mtu ajue wajibu wake kwenye hiyo ndoa. Zikikosekana hizi huwa ndoa inachakaa kwa maneno mengine ni kama nyumba ambayo haifanyiwi ukarabati. Nyumba ikikaa sana bila hata kupakwa rangi upya inakosa mvuto. Na ndoa vivyo hivyo.
Hitimishio, jaribu kufanya niliyokueleza hapo juu na ikiwezekana muwe mnahudhuria semina au mafundisho ya ndoa. YANASAIDIA SANA! Amen.
 
Simu sipotezi muda nayo kwani anafanya kazi she can do any how wala sina muda wa ku dig down. Ila mkuu mfano mmepeana majukumu very serious then unasafiri kikazi na ukirudi unakuta hakuna kitu chochote kilichofanyika na inakubidi wewe uanze kufanya kana kwamba hukuacha mtu home.ukimuuliza anaruka kimanga na yeye anakuwa mkali kuliko wewe. akikueleza kitu cha uwongo anataka uamini bila kuuliza uliza maswali na ukikosea ukamwambia hii sii kweli basi ni machafuko. hii ni hostile behaviour kwangu sana

Duuh huyu mbishi kaa JK
 
Dah, mimi sijaoa ila mkuu mleta mada wewe ni too much. Wewe unafaa kuwa NYAPARA gerezani.


Yani nimepitia post zote hapa na kila unachoeleza kinazidi kukuonyesha wewe ndio mwenye makosa.

Yani unamfukuza mkeo na hapo hapo dakika chache anakupasia nguo na kukupikia chai! Unamtimua anakimbilia kwa mama yako. Hivi kwa hayo huoni tu kwamba mkeo anakupenda?!


Mbona huridhiki mkuu?wenzio wengine hatujaoa mpaka sasa na tunasali angalau tujaliwe mke mwenye kufanana na wako, leo wewe unamuona mkeo hana thamani!

Yani unafikia mpaka kuandikishiana majukumu unayompa?! Hivi kweli huyo mwanamke unam treat kama mkeo au mfanyakazi!


Nakuonea huruma sana mkuu kwani siku mkeo atakapokuja kuondoka na ukapata hawa tunaowaona na kuwasikia mtaani ndio utakapojua thamani yake.


Hv kwa akili yako umefikia kusema ndoa iamuliwe kwa kura! Aiseee nimewaza sana mpaka nafsi ikaniambia hii mada umebuni tu au upo hapa kuringishia watu. Hata hivyo siwezi kuusemea moyo wako ninachokushauri tu kama usemayo ni kweli basi tulia na mkeo na umuheshimu USITHUBUTU kumuacha.

Halafu punguza dharau kusema kwamba hata ukimuacha u can survive without her unajidanganya sana sana unaweza kujifia kwa mawazo tu mana utakua umeharibu maisha 'kumbuka maisha si kuwa na nyumba au kazi' life is more than that.

Tulia na mkeo,mpende,mjali na umthamini hayo majukumu asiyotimiza basi yatimize wewe. Period
 
mshirikishe Mungu katika hili...ww mwnyw huwez kwa akili zako...muweke mkeo kwny maombi Mungu atashughulika naye cos ndo aliyemuumba na yy ndo kawafanya mke na mume..
 
Demu anaonesha ni much know sana! ndo shida ya hawa wadudu elimu kidogo anakua top!
 
Wanawake wote wapo hivyo bro bora ukomae maana na mwengine ukimchukue tabia hizo hizo baba mmoja mama mmoja tumbo mbali mbali
 
mimi nahisi huyu mwanamke hakupendi'inawezekana unam bore somehow na anaona potelea kule ikiwa vipi naweza kuishi peke yangu,halafu mkuu kwa jinsi nilivyokusoma ni kama unammiliki huyu mwanamke'inawezekana humpi freedom

H
 
Simu sipotezi muda nayo kwani anafanya kazi she can do any how wala sina muda wa ku dig down. Ila mkuu mfano mmepeana majukumu very serious then unasafiri kikazi na ukirudi unakuta hakuna kitu chochote kilichofanyika na inakubidi wewe uanze kufanya kana kwamba hukuacha mtu home.ukimuuliza anaruka kimanga na yeye anakuwa mkali kuliko wewe. akikueleza kitu cha uwongo anataka uamini bila kuuliza uliza maswali na ukikosea ukamwambia hii sii kweli basi ni machafuko. hii ni hostile behaviour kwangu sana

Kwa majukumu very serious kama ya ujenzi, kwa mfano, wanawake wengi wanashindwa na kuyaogopa majukumu kama hayo bila uwepo wa mwanaume na pia ni rahisi sana kudanganywa na mafundi. Hilo la kutaka uamini uwongo, hapo ni tatizo anahitaji maombi. Nachokushauri ni kwamba pepo wachafu wapo zaidi kwa ajili ya kuharibu ndoa za watu na maisha ya watu kwa ujumla, tembeleeni kanisa lolote la Kiroho kwa msaada zaidi. Kuwa na Masters, au PHD sio kipimo cha mtu kuyashinda matatizo ya ndoa au kuwa na amani katika familia. Mnamuhitaji Yesu katika maisha yenu na ugomvi wenu wote utakuwa ni history.
 
"Nanyi wanaume ishini na wake zenu kwa akili mkijua kwamba wao ni viumbe dhaifu". Biblia

- Si kiila tatizo linaisha kwa mazungumzo
- Unaitaji kumpenda...hiyo ni dalili kwamba upendo kwenye ndoa yenu imepungua. Si kila akikuudhi unatakiwa kuanzisha ugomvi...hiyo ni dalili kwamba hata wewe umepungukiwa busara....
- Mpende mkeo....atakuheshimu! Atatamani asikuudhi!

The bottom line is....use your brain..
 
Pole sana, mi nakushauri tafuta mfanyakazi wa ndani awe anafanya hayo majukumu ambayo mkeo anashindwa kuyafanya, lakini hapa sina maana kwamba umfanye huyo mfanyakazi awe mke wa pili la! majukumu ya kwenye sitakwasita ni ya mkeo tu na si vinginevyo.
 
Pole bro, najua utakuwa unapata shida kweli ndo maana umeamua kutushirikisha. Ushauri wangu ni kwamba never giv up, usimwone mke wako educated ukadhani atamaster kila kitu mambo ya ndoa ni commitments zisizohitaji cheti except adherence. Kamwe usikubali kufanya anayotaka at the same time usiwe mkali sana pale anapokiuka, be neutral, wanawake wengi wanafanya vitu kwa kujaribu hatimaye wanaadapt situation. For the case of ur wife hafanyi makusudi ila she does not care, na hili ni tatizo kubwa kwani wanawake ndio wenye nyumba na ni watu wa kupenda maendeleo ya nyumbani na kama yuko hivyo nakili kuwa ni tatizo. Cha msingi mwachie uwanja pale nyumbani na wala usiwe wa kwanza kuintroduce topic/order ila mweke kwenye mazingira fulani ya kuanzisha topic unayotaka (facilitate her wishes in what you want be) then, mara nyingi tunaoa wanawake from unknown grounds yaani familia wanakotoka, mi pia nimeoa mwanamke kwa kukutana naye shuleni she is hard worker in the office but zero at home affairs, alikuwa apendi kupika, kufua, kusafisha nyumba. Hii si kuwa hakutaka bali alikuwa hajui, kazi nyingi kwao zilifanywa na mahousegirl/boys, lakini mara nyingi nilijitahidi kutoajili wafanyakazi na nilikuwa nikifanya kazi mwenyewe tena kwa furaha mpaka alikuwa akiona aibu, hivi leo kazi anafanya mwenyewe. (May be they have the same feather)
 
Simu sipotezi muda nayo kwani anafanya kazi she can do any how wala sina muda wa ku dig down. Ila mkuu mfano mmepeana majukumu very serious then unasafiri kikazi na ukirudi unakuta hakuna kitu chochote kilichofanyika na inakubidi wewe uanze kufanya kana kwamba hukuacha mtu home.ukimuuliza anaruka kimanga na yeye anakuwa mkali kuliko wewe. akikueleza kitu cha uwongo anataka uamini bila kuuliza uliza maswali na ukikosea ukamwambia hii sii kweli basi ni machafuko. hii ni hostile behaviour kwangu sana

Na hilli ndio tatizo la w/ke waliosoma na wasiosoma pia. wanajifanya much knw kwa kila kitu na kwa vile naturaly wanadharau, wakipata na hizo elimu za kuunnga ndo inakuwa tabu zaidi.

Tatizo hilo lipo kwa w/ke wengi, nina maraiki zangu wengi wanalalamika khs tabia za wake zao kuwa na dharau na kurudia vtu ambavyo tayari ushamweka sawa. ila kaka vumilia tu, kwani hata ktk vitabu vya dini imeandikwa kuwa , hkk ya hao w/ke vitimbi vyao ni vikubwa.


cha kufanya mvumilie na endelea kumueka sawa. Elewa kuwa hata kama m/ke akiwa na elimu kama mlima wa kilimanjaro, lkn bado atahitaji msaada wa kimawazo na mambo menine toka kwa mwanamme, psychologically wako hivo.

Jikaze ndo changamoto za ndoa hizo.
 
Wanawake woote ndio walivyo. Wewe ukishaoa tu jua umefungua darasa. Siku moja moja mtie vibao, huwa hawana amani kama huwatii vibao completely kwani hujiona kama hawaishi na mwanaume. Mimi nilistaajabia hayo nikaomba ushauri na tangu nimtie makofi mke wangu, ananipenda maradufu na kila wakati ananisifia kuwa mimi ni kidume. Najihadhari tu nisije pigwa mbele yake siku moja mambo yakabadilika.
 
Bro kama unakubali yupo safi in some aspects inabidi ukubali on the other side kuwa she must have weaknesses as well, kama weaknessess are outweighing strengths hilo laweza kuwa tatizo. Lakini kwa the way yu put it she is above an average woman....na kama ataweza ku-comply na matakwa yako on top of her strengths then utakuwa a first man to have an angel at home as a wyfe

Otherwise a great job has been done already 12 yrs c mchezo. Keep going son
 
Inaelekea wewe ni first born, strict and logical thinker, a good leader. Na mkeo ni kama second born au wanaofuatia hapo ila si wa mwisho maana wa mwisho na first borns wana match. NADHANI hilo ndio chanzo, muelewe na umchukulie hivyo, hatakaa afanane na wewe. Yeye kwake mambo ni shwari tu either way tena atakuwa anakushangaa sana unapokasirika.
 
Back
Top Bottom