zumbemkuu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 10,832
- 8,623
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
na nyie tajeni ya CDM km yapo.
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
Bado una gamba wewe
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.
Mbandue.....
sio tusi hili jamani?
Sio tusi bwana angalia kamusi ya kiswahili sanifu na sio ya mtaani.sio tusi hili jamani?
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!
Una sema kweli?Sitashangaa kusikia Bashe, Martina (jina la kike kwa mwanamme) Nape na Makamba pamoja na JK(kwa mara ya pili) nimefurahi kusikia CCM wakisema, watuhumiwa wa ufisadi, kwa kweli neno hilo au watuhumiwa hao wametuhumiwa na CDM so CCM wanatekeleza sera za CDM! nimeipenda sanaaaa! Big Up cdm
Neno 'mbandue' siyo tusi ila wewe ndiye unawaza kimatusitusi.sio tusi hili jamani?
Siyo kazi yangu hiyo ni kazi ya Nec CCM kutoana magamba.Mbandue.....