Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu.

Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei rahisi na kuuza kwa bei kubwa. Hili suala la Sukari ni kulishinda taifa kama hili?

Halafu Mauritius wanatusambazia sukari.
 
WEWE UKITAKA KUJUA VIONGOZI WANATUONA WAJINGA NI KITENDO CHA YULE MAMA ALIYEGAWA BANDARI YETU NA AKAONA FADHIRA KWETU NI KUMTEUWA BASHITE KUWA MWENEZI WA CHAMA CHAKE. YAANI WANANCHI TUNAONEKANA WOTE WAJINGA TAIFA ZIMA
CCM wezi na mafisadi
 
Back
Top Bottom