Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

waache wana-ccm waingoje ahadi ya ccm; sisi wengine tunajua maigizo ya ccm kabla hata hayajafanyika.

endelea kusubiri ahadi mkuu...........
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

robot Invisible naomba GrrrrrOOOOOOOOOOOOOaaaaaaaaaaaaaaaaNNNNNNNNNNNNNN
 
Pumba hii!
Habari za siku mkuu, hawa watu kama kina Kibunango naona bado wanatembea na gamba nasikia wewe si dakitari huwezi kumfanyia huduma ya operation huyu jamaa naona kasahaulika kutolewa gamba wakati walipokuwa wanatoana huko Dodoma.
 
hekima ni kitu muhimu

Unaonekana kusisitiza kuwa hekima ni kitu muhimu. Mtu hafanyiki kuwa mwenye hekima kwa sababu anasisitiza kuwepo kwa hekima. Wewe utuambie hoja ya maana na watu watakuona una hekima. Hata mpumbavu anaweza kusisitiza kuwa na uvumilivu, hekima, busara ni kitu muhimu lakini mwenye hekima na lini na wakati gani kuwa na uvumilivu. Mfano, kwako wewe uvumilivu na hekima ni kuwapa muda wezi warudishe mali ya wizi likini katika uhalisia huo ndiyo upumbavu
 
Jamani let us be honest, Mzee wa Hoja better ask MODS to change your ID.........

Kwa nini udhani ana papara?...angekuwa na papara angemuacha Kikwete akae kwa raha pamoja na wizi aliofanya October? Je asingekuwa na busara tungekuwa hapa leo? au unadhani tumesahau yaliyofanyiak October? Tusingefika kwa Outtara na Gbagbo kama hangekuwa na hekima?

By the way, kama unadhani kakurupuka you are deadly wrong, Slaa anachofanya ni kuwasaidia kama alivyowasaidia Mwembeyanga kuwatajia majmbazi ambao nyie na mwenyekiti wenu mnajidai hamuwajui wakati mmewaficha ndani ya chama.....kwa kuwa mmeamua kujivua gamba na gamba lenyewe hamjalivua mwili mzima bali kiunoni tu, Slaa anataka kuwasaida kuona mengine mliyoyaacha kwenye mwili ili myavue na yenyewe mapema na muwe mmevua mwili mzima.

Au ndio kusema mmekusudia kuvua magamba sehemu ndogo ya mwili? Au mnataka ajitokeze baada ya siku 90 za hawa majambazi wachache mnaowafahamu kisha mseme alikuwa wapi? Think twice broda na jijengee tabia ya kujiuliza maswali kabla ya kuongea
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.
Bado una gamba wewe
 
MzeeWaHoja, sioni mantiki ya hoja yako. Ukweli uko palepale Dr.Slaa is the Greatest man kama utamlinganisha na Kikwete.
 
TUJIKUMBUSHE ORODHA YA 2007
1. Dr. Daudi T.S. Balali
2. Andrew J. Chenge
3. Basil Pesambili Mramba
4. Gray S. Mgonja
5. Patrick P.R Rutabanzibwa
6. Nazir Karamagi
7. Nimrod Mkono
8. Rostam Aziz
9. Edward Lowassa
10. Benjamin W. Mkapa
11. Jakaya Mrisho Kikwete

Sasa hawa wamejivuaje magamba yao? Mbona wabunge wa CC wamemrudisha Nimrod Mkono kwenye NEC?
 
Nape wamempa chaka hili wakifikiri kwa vile ni kijana basi kasi yake itakwenda sambamba na ya vijana wa CHADEMA - wanajidanganya! Vijana wa CHADEMA wanakwenda kufuatana na itikadi, mfumo na utendaji kazi wa chama chao. Nape, umetoswa na hasa kwa vile wewe na Lowassa hamuwivi. Si unakumbukaaaa? Au umesahau??? Pole!!!!! Watatumia vidole vyako kuchukua kitu kwenye kaa la moto! TAFAKARI!
 
Siondoki mtandaoni leo hadi niyasome hapa. Ninaomba mwanajamii atakayeipata orodha aiweke fasta jamani!
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

wewe ur simply another idioooot. kifupi no mess to fisadi. unataka hata baada ya kuwagundua tuendelee kuwachekea.? ndo busara zako. we ni mjingas mwingine 2.
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

Kapate kikombe cha Babu.
 
MzeeWaHoja mbona umepotea?Umeshindwa kutetea hoja zako? Kama uligushi hoja za CCM utuombe radhi
 
Huyo slaa angeanza kutaja mafisadi waliyomo ndani ya chama chake! Hii kukimbilia kujitia anajua sana mambo ya CCM ni kutafuta ujiko usio na mshiko!

Mtani umevuliwa Gamba bila kupenda sasa mbona umebaki vile vile mm nilifikiri utageuka kuwa mjusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom