Tabora: Dk Slaa ataja orodha mpya ya mafisadi!

Status
Not open for further replies.
Tutajie Bwana , tunashauku ya kuwajua mafisadi Nyangumi maana Mafisadi Papa washatangulizwa, Kinana na Liz1 na Masha mzee wavitambulisho vya Taifa hawatakosa.
 
mzee wa hoja,unatakiwa kabla ya kutoa maoni yako jichunguze hayo unawaeleza watu wa aina gani mtaji wenu wa ccm kutumia umasikini na ufahamu mdogo wa watz umetotana hauna nafasi tene kwa tanzania ya leo.be carefully on ur coments.
 
mmmmhh leo mmeanza kwa speed ya ajabu, yaani Msekwa kasema juzi lakini tangu asabuhi nimeona hii ni post karibia ya tatu....ile aliyotuma kiumbe mwingine akisema JF ina-bore....go to hell you all
 
Ikiwa tunangoja ccm watimize ahadi yao ili sisi wananchi tuone nani fisadi, tutoke kwenye kucha ya mafisadi. dk slaa huyo kutochanga.
Hana uvumilivu, subira hili linatufanya tuanze kuamini uwezo wake wa kuongozataifa kubwa tz likawa salama. kauli ya Msajili wa vyama vya siasa kuhusu dk slaa inaanza kuonekana
hekima ni kitu muhimu, subira ni muhimu pia.

Ondoa chawa kwenye koti lako.
 
Patamu hapo ndio tunapopataka CCM walicheze libeneke la peoples power likiongozwa na fullbright DR Slaa mpaka kieleweke hakuna kulala
 
Ondoa chawa kwenye koti lako.

article-0-0BA1525C00000578-822_964x559.jpg
 
Sitashangaa kusikia Bashe, Martina (jina la kike kwa mwanamme) Nape na Makamba pamoja na JK(kwa mara ya pili) nimefurahi kusikia CCM wakisema, watuhumiwa wa ufisadi, kwa kweli neno hilo au watuhumiwa hao wametuhumiwa na CDM so CCM wanatekeleza sera za CDM! nimeipenda sanaaaa! Big Up cdm
Una sema kweli?
 
Kama Dr. Slaa angekuwa mwehu kama hao CCM si Tz ingekuwa kama Ivory Coast. BTW navutiwa kujua ni kitu gani hasa unatumia (drink/inhale) kiasi cha kuwa bogus namna hii?
 
Wanaj JF ambao watakuwa eneo latukio please tuleeteni yanayojiri huko
 
nchi hii inatakiwa majeshi ya YESU yesu yaingilie kati kwakuwa yeye ndiye amirijeshi mkuu wa maamirijeshi wote. akiingilia migogolo yote na ufisadi wote hautakuwapo!
 
Status
Not open for further replies.
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom