Wananchi kutaka Mabadiliko haimaanishi CCM ni chama kibaya bali ni Suala la " Wakati", 2025 CCM itatumia njia ile ile ya 2020!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Ukweli ni Kwamba CCM ni chama Bora kabisa Tanzania na Barani Africa ila haiwezi kuwa na Maajabu yoyote kwa hawa " Wapiga kura wa Kisasa"

Wakati Kikwete anasema CCM ijivue gamba alimaanisha ijigeuze kuwa Chama Cha Vijana Kutoka Chama Cha Wazee kama kilivyo sasa, Uzee wa Fikra na Mitazamo

Wengi hawakumuelewa wakidhani anataka kuwatoa akina Mtemi Chenge

Tulipofika CCM inadhani ni Bora iwatumie Vijana Wasanii inaoamini Wana Ushawishi kwa Jamii na kwa kufanya hivyo inawaacha Vijana smart Waliosoma Vizuri ambao wanaendana na Mazingira ya sasa ya Siasa za Dunia

Nilifarijika sana Mpendwa wetu Rais Samia alivyowakana Chawa hadharani kwa sababu CCM inawahitaji zaidi Vijana smart upstairs

Jumaa Mubarak 😄🔥
 
Comrade una macho!!?

Macho ya nyama na ya kiroho!!?

Unafuatilia Kwa kina duru za kitaifa zinavoenda bila ushabiki was kuegemea upande wowote!!?

USALITI

Ndio neno ninaloliona linaloenda kutokea ndani ya CCM!

Hizo hashtags za "jeshi limetawala" na msemaji was jeshi amekaa kimya Kwa huo tuuuite labda uzushi au sio uzushi ni kichocheo Cha udadisi Kwa sisi elites was taifa hili!!

TEC ,BAKWATA wote Wana sapoti feminism iliyotangazwa na waitwao chawa wa mama!!?
Hao wanaosema eti wanawake wachague wanawake wenzao 2025!!?

Kama una access na mawasiliano na mama mwambie atangaze mchakato 2025 wenye Nia wote wachukue fomu isichapishwe fomu moja!!

Wimbo was fomu moja ni hatari sana kwa mstakabali wake,waimbao fomu Moja hawaimbi Kwa moyo wanaimba mdomoni!!

Mishale mingi itaelekezwa kwake!we huoni hata hujuma za sukari,umeme na mengineyo sio hasira ya fomu Moja 2025!!?

Yaani wanafanya kumkomoa Ili hiyo fomu Moja iwe kinyesi mikononi make!!?

Angeziweka mbio wazi mawaziri wangepiga kazi kweli waonekane ili 2025 wafikiriwe na serikali yake ingepata sifa kwa sana!!
Lakini fomu moja imezua husda kwenye saikolojia za wanaoutaka na kumkwamisha Kila sekta!!!

Comrade "Usaliti"

Mimi nadhani ningekua mshauri mzuri wa huyu mwanamke mtu mzima kuliko hao wajinga waliomzunguka!!!

Mambo mawili tu:-

1.usitangaze kugombea 2025 Wala usifanye kampeni simamia watendaji serikalini!

2.ziache mbio wazi Ili watu wajichanganye kwenye maadili hasta wafanye kosa la kuanza kampeni mapema Ili wakichukua fomu wakatwe Kwa haki!!

3.Sitisha kampeni za mapema ,waambie watendaji uchaguzi Hadi utakapotangazwa na tume ndio michakato ianze,kuanza kwake kampeni mapema ninkupoteza mvuto mapema!!!

Inatosha!
 
Katika mazingira ya sasa kuruhusu Fomu zaidi ya Moja ni kuwapa Mwanya vyama vya Upinzani

Kwa sasa hakuna Candidate wa kiume CCM anayeweza kumshinda Tundu Antipas Lisu 🐼
 
Ukweli ni Kwamba CCM ni chama Bora kabisa Tanzania na Barani Africa ila haiwezi kuwa na Maajabu yoyote kwa hawa " Wapiga kura wa Kisasa"

Wakati Kikwete anasema CCM ijivue gamba alimaanisha ijigeuze kuwa Chama Cha Vijana Kutoka Chama Cha Wazee kama kilivyo sasa, Uzee wa Fikra na Mitazamo

Wengi hawakumuelewa wakidhani anataka kuwatoa akina Mtemi Chenge

Tulipofika CCM inadhani ni Bora iwatumie Vijana Wasanii inaoamini Wana Ushawishi kwa Jamii na kwa kufanya hivyo inawaacha Vijana smart Waliosoma Vizuri ambao wanaendana na Mazingira ya sasa ya Siasa za Dunia

Nilifarijika sana Mpendwa wetu Rais Samia alivyowakana Chawa hadharani kwa sababu CCM inawahitaji zaidi Vijana smart upstairs

Jumaa Mubarak 😄🔥
Kwamba 2025 jamaa watatumia njia ile ile iliyotumika 2020. ??!!
😅😅😅
Ufafanuzi pliz !!
 
2025 utakuwa uchaguzi tofauti kabisa yale ya 2015 yatajirudia, chadema na upinzani wengine wataungana na ccm wasiomtaka P.Mpango (PhD), haya maandamano ya sasa hivi ni ya kupasha moto tu kwa kinachokuja …
 
😂😂😂

Mpango tena?!!
 
Fomu
Comrade una macho!!?

Macho ya nyama na ya kiroho!!?

Unafuatilia Kwa kina duru za kitaifa zinavoenda bila ushabiki was kuegemea upande wowote!!?

USALITI

Ndio neno ninaloliona linaloenda kutokea ndani ya CCM!

Hizo hashtags za "jeshi limetawala" na msemaji was jeshi amekaa kimya Kwa huo tuuuite labda uzushi au sio uzushi ni kichocheo Cha udadisi Kwa sisi elites was taifa hili!!

TEC ,BAKWATA wote Wana sapoti feminism iliyotangazwa na waitwao chawa wa mama!!?
Hao wanaosema eti wanawake wachague wanawake wenzao 2025!!?

Kama una access na mawasiliano na mama mwambie atangaze mchakato 2025 wenye Nia wote wachukue fomu isichapishwe fomu moja!!

Wimbo was fomu moja ni hatari sana kwa mstakabali wake,waimbao fomu Moja hawaimbi Kwa moyo wanaimba mdomoni!!

Mishale mingi itaelekezwa kwake!we huoni hata hujuma za sukari,umeme na mengineyo sio hasira ya fomu Moja 2025!!?

Yaani wanafanya kumkomoa Ili hiyo fomu Moja iwe kinyesi mikononi make!!?

Angeziweka mbio wazi mawaziri wangepiga kazi kweli waonekane ili 2025 wafikiriwe na serikali yake ingepata sifa kwa sana!!
Lakini fomu moja imezua husda kwenye saikolojia za wanaoutaka na kumkwamisha Kila sekta!!!

Comrade "Usaliti"

Mimi nadhani ningekua mshauri mzuri wa huyu mwanamke mtu mzima kuliko hao wajinga waliomzunguka!!!

Mambo mawili tu:-

1.usitangaze kugombea 2025 Wala usifanye kampeni simamia watendaji serikalini!

2.ziache mbio wazi Ili watu wajichanganye kwenye maadili hasta wafanye kosa la kuanza kampeni mapema Ili wakichukua fomu wakatwe Kwa haki!!

3.Sitisha kampeni za mapema ,waambie watendaji uchaguzi Hadi utakapotangazwa na tume ndio michakato ianze,kuanza kwake kampeni mapema ninkupoteza mvuto mapema!!!

Inatosha!
ni moja tu !
Mwenyekiti wa Chama siku zote ndio Alfa na Omega wa Chama chao !
Sioni ni nani asiyejipenda anaweza akashupaza shingo !
Au kwa sababu ni mwana mama na pia kwa sababu ni wa kutoka upande wa pili wa Muungano ndio iwe nongwa ya kumtaka asigombee ??!!
Kwani wa upande wa pili hawana haki ya kuhudumu kwa vipindi viwili kwenye ile Ofisi kuu ??!!

Hao wote wanaotaka kumhujumu wakae mkao wa kula !!
Watafikiwa tu !!
Ndani ya Ccm hakuna utamaduni wa kumpinga Mwenyekiti wa Chama labda iwe sasa kwa sababu Mwenyekiti ni mwana mama na pia ametoka upande wa pili wa Muungano !!
Ngoma inogile ngoja Tusubiri tuone !! 🙏🙏
 
Back
Top Bottom