Sugu Awaka, Amwaga Cheche Bungeni!

Ananesa wapi? Katika wabunge wote, huyu ndiye kilaza number moja! Hana cha kuongelea? Kila siku lazima amtaje kusaga?
Nimependa kujembe alichopigwa na wazir, aache ujinga wa kuimbana! Wanaume wanapeana live, siyo kupigana majungu kwenye nyimbo

Kwenye vilaza hapo inategemea na mtizamo wa mtu. Vipi kuhusu Tyson, au akiwa wa magamba hasemwi?? hili la wanamuziki nadhani kama style ya mauzo na matamasha ya muziki wa kitanzania huyajui, ni ngumu sana kumueewa Sugu. Wenye fani hiyo tunamuelewa sana
 
Vinega wote,hatumwogopi ruge,hatumwogopi kusaga,hatuogopi redio ya malaya!hatumwogopi nchimbi tunamwogopa Mungu tu!Sugu endelea kukata na kufunua.
 
We kilaza, sometimes shirikisha ubongo kwenye kujibu hoja ! Kuna kusoma kwa kutojua kusoma, hilo lijue kuanzia sasa![/QUO

TE]

Heee!!!! Hivi na wewe ni wa kumwita mwenzio kilaza? Hivi kuna kilaza kama wewe Rejao humu jf?
 
Word...!! Hii issue ya kila anapochangia
kuponda wakina Kusaga sidhani ka
inazidi kumjengea...

Pengine ni kweli haimjengi...lakini ni kweli pia inawabomoa kina Ruge na ndio maana sasa wanataka suluhu na Sugu
 
Kwani huyu Nchimbi ana mchango gani kwa Taifa? Hawa watu wenye visharubu. . . .. Nchimbi, Mkulo wana matatizo sana
 
Heee!!!! Hivi na wewe ni wa kumwita mwenzio kilaza? Hivi kuna kilaza kama wewe Rejao humu jf?
Hebu nenda kajifunze kwanza kuquote post za wenzako ndio uje kukoment hapa! Nyie ndio wale wale akina Sugu, no shule kabisa!!
 
Kwenye vilaza hapo inategemea na mtizamo wa mtu. Vipi kuhusu Tyson, au akiwa wa magamba hasemwi?? hili la wanamuziki nadhani kama style ya mauzo na matamasha ya muziki wa kitanzania huyajui, ni ngumu sana kumueewa Sugu. Wenye fani hiyo tunamuelewa sana
Kwahiyo Sugu siku hiz anaimba taarab? Dume zima, linamgwaya mwenzake na kumtaja taja kila saa! Au anataka mambo flan kutoka kwa Kusaga na Ruge?
 
wenye nchi wameamka..wapiganaji wameamka..mwisho wa siku kina nchimbi watakuwa wapangaji wakiwaomba hifadhi wenye nchi..
 
Watanzania wanamjua zaidi Wayne Rooney kuliko Juma Kaseja. Mpaka vijijini wanavaa jezi za Wayne Rooney. Sasa hili vazi la taifa litawabadilisha hawa kutovaa jezi za Rooney? Heshima ya taifa na utambulisho wa taifa haipo kwenye mavazi bali kwenye uchapakazi wa wananchi wake na viongozi wao. Heshima ya taifa ipo katika uungwana na uadilifu wa wananchi wake na viongozi wao na si katika vazi la taifa.

Kuna kipindi huko nyumba wakubwa walijaribu kuanzisha mchakato wa kutafuta vazi hilo, lakini hawakufika mbali. Na huu mchakato wa Nchimbi utakufa kifo cha mende, though watu watakuwa wameshachukua chao. Watu wanataka mkate mezani, watu wanataka matibabu mahospitalini, madawati kwa watoto wao shuleni na si vazi la taifa for God sake.
 
wewe faiza foxy.Sisi tunaangalia ujumbe sio amekaa vipi?????????????????????.kama wewe unatata mtu amekaa vipi.basi kawachukue mamodel waigie bungeni.Hawa ndio waliosema zamani mheshimiwa fulani ana sura nzuri ya kuwa rais.Kweli Tanzania ina ukoma wa wenye ukimwi ndani yake.Huyu mtu anayeongea nafikiri ndio wanamshauri mheshimiwa ,sasa watanzania mnategemea maendeleo??????????????.POLE MAMA TANZANIA.DAWA KUBWA INATAKIWA KUTOA UKOKO WA UKOMA
 
Hebu nenda kajifunze kwanza kuquote post za wenzako ndio uje kukoment hapa! Nyie ndio wale wale akina Sugu, no shule kabisa!!

Wewe una ilimu madrasa huna kingine Karibu supu ya kitimoto
 
Pengine ni kweli haimjengi...lakini ni kweli pia inawabomoa kina Ruge na ndio maana sasa wanataka suluhu na Sugu

Kwa kelele anazopiga kila siku ka zinawabomoa wakina Kusaga, nadhani zingekuwa zimewabomoa muda sana na tungesikia kwenye media zao kila siku wanajisafisha. Sijasikia ka jamaa wanataka suluhu na Sugu, na waombe suluhu kwa lipi hasa na Sugu kama nani hadi wamuogope?!
 
Craaaap
 
oiiii! hadi wewe usikie sio?
 
Back
Top Bottom