Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,796
- 12,239
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Ungeelewaje wakati hata wewe mwenyewe hueleweki!
Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
anadai kamati ya vazi la taifa ni makini , hawezi kufanya uteuzi kwa kuangalia nani haelewani na waziri kivuli , kusaga na wengine ni makini viongozi wajenge tabia ya kusamehe
Ni kweli kabisa, hata kwenye hospitali za vichaa huwa wagonjwa wanaona madaktari wanapiga kelele tu.Huyo jamaa nilimsikiliza kama dakika moja hivi nikaona anapiga kelele tu, hata kuongea hajui.
Pia amesema Nchimbi kaweka " washkaji" zake kwenye kamati ya vazi la taifa,hawana utaalam wowote
Aisee, FaizaFoxy alianza lini kuwa kijana? Zee lililochoka kabisa.Kijana usiyekuwa na huruma kwa vijana wenzako,huyu Mh(MB) Mwanaharakati Mtetezi wa wanyonge a.k.a Sugu anawatetea wanyonge wewe unaona ka vile anapiga kelele,kuna siku utakuja kumkubali kwa haya mazuri anayoyafanya
Umetoka nje ya mada tafadhali sio mada yetu hapanchimbi hatakaa atawale nchi hii kamwe hatuwezi kurudia kosa kama 2005
Ha ha ha! Masa, nilimaanisha "Uchungaji" na si mavazi. Pia nilisema kuwa kuna wakati name yako ilikuwa Masanilo without "Rev" and "Fr"pia hapo kwenye kufanya kazi serikalini ni kutokana na hii statement...Umesoma btn the line and grasp my wrtings? Nani kakudanganya wachungaji hatuna mavazi Mengine? Wapi nimeandika nafanya kazi serikalini kwa hawa lege lege?
Sasa kwanini useme hutolivaa kama hufanyi kazi serikali endapo watalazimishwa kama unavyo project kuwa mtapewa amri?Rev Fr Masanilo said:Halafu itatolewa amri Kila siku ofisi za serikali kuvaa vazi la taifa. Ni ufisadi tu sintovaaa Hilo vazi
"Kila jambo na wakati wake"Aliomjibu na kumuelewa ni huyo aliyekuwa anapigana nae vijembe, mwanamme mzima anakwenda kulalama kuhusu ujinga wa nguo. Nguo? Kuna nguo za taifa? Labda magome ya mpapai.
"Were" sounds more proper than "was", but ni kiingereza broken tu hata hippies wanabreak the same way, seuse miye mbongo?Poor Tanzanians, Kiingereza hatujui, kiswahili hatukitaki, lol!
Bei ya umeme KENYA,UGANDA,RWANDA,BURUNDI zipoje? Then tulinganishe kwa HAKI!!!!
mbunge wa mbeya mjini mhe. Joseph mbilinyi a.k.a sugu, leo amemwaga cheche bungeni kwa kuiwakia serikali kuhusu vurugu za wamachinga mbeya hivyo kutaka tume huru iundwe ili kuchunguza kadhia hiyo.
Mhe. Mbilinyi ametoa cheche hizo bungeni mjini dodoma wakati wa kujadili tanzania kuridhia mkataba wa kimataifa wa haki za vijana wa afrika.
Kufuatia vurugu hizo, sugu amesema mgambo walishindwa, polisi walishindwa, ffu walishindwa na jeshi pia lilishindwa, lakini wakazi wa mbeya ndio wanaomjua ni nani alituliza vurugu zile!.
Sugu alisema kwa hasira kuwa kijana msukuma guta john bosco aliuwawa kwa risasi huku diwani wa ccm akidai yeye ni nesi na siku hiyo alijuwa zamu, hakuna mtu yoyote aliyeumia wala kufariki!. Ametoa rip kwa kijana huyo na kuomba matokeo ya tume tume yasisitize fidia kwa wahanga wa vurugu hizo!.
Sugu ameitaka serikali kutowanyanyasa tena machinga bali waachiwe kufanya shughuli zao kwa uhuru kama alivyofanya satta wa zambia mpaka hapo serikali itakapo wapatia utaratibu maalum.
+ Hadi Shibuda?
Nchimbi anautaka urais! je akiupata huo urais Sugu atakimbilia wapi?
Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu, leo amemwaga cheche bungeni kwa kuiwakia serikali kuhusu vurugu za wamachinga Mbeya hivyo kutaka tume huru iundwe ili kuchunguza kadhia hiyo.
Mhe. Mbilinyi ametoa cheche hizo bungeni mjini Dodoma wakati wa kujadili Tanzania kuridhia mkataba wa kimataifa wa haki za vijana wa Afrika.
kufuatia vurugu hizo, Sugu amesema mgambo walishindwa, polisi walishindwa, FFU walishindwa na jeshi pia lilishindwa, lakini wakazi wa Mbeya ndio wanaomjua ni nani alituliza vurugu zile!.
Sugu alisema kwa hasira kuwa kijana msukuma guta John Bosco aliuwawa kwa risasi huku diwani wa CCM akidai yeye ni nesi na siku hiyo alijuwa zamu, hakuna mtu yoyote aliyeumia wala kufariki!. Ametoa RIP kwa kijana huyo na kuomba matokeo ya tume tume yasisitize fidia kwa wahanga wa vurugu hizo!.
Sugu ameitaka serikali kutowanyanyasa tena machinga bali waachiwe kufanya shughuli zao kwa uhuru kama alivyofanya Satta wa Zambia mpaka hapo serikali itakapo wapatia utaratibu maalum.
Vipi hapa?.Mayalla yeye tujiulize yeye kayajuaje Mambo ya Chadema wakati sio mwana Chadema kumbuka anayoyajua ndani ya Chadema hua ni Yale mabaya tuu hajawahi ona mazuri hata siku Moja
Yote haya hayakuondolei unafiki uliokua nao Kwa ChademaVipi hapa?.
P