Sugu Awaka, Amwaga Cheche Bungeni!

Mazingaombwe haya! Vazi la taifa kwa wavaa mitumba wapi na wapi?
Vazi la taifa tenda ya kushona atapewa fisadi Fulani na tenda ya kusambaza fisadi mwingine, Halafu itatolewa amri Kila siku ofisi za serikali kuvaa vazi la taifa. Ni ufisadi tu sintovaaa Hilo vazi
Itabidi kwanza uache kazi ya serikali.BTW nilidhani wewe mchungaji!lol

Hii status ya Rev nakumbuka ulipoanza kuitumia, i remember you was once upon a time just "Masanilo".
 
Itabidi kwanza uache kazi ya serikali.BTW nilidhani wewe mchungaji!lol

Hii status ya Rev nakumbuka ulipoanza kuitumia, i remember you was once upon a time just "Masanilo".

Umesoma btn the line and grasp my wrtings? Nani kakudanganya wachungaji hatuna mavazi Mengine? Wapi nimeandika nafanya kazi serikalini kwa hawa lege lege?
 
Sikuwahi kumuona Sugu akitema cheche kiasi kile, na kwa Cheche zile ameonesha wazi kwamba ana uchungu na wakazi wa mbeya wenye vipato vidogo hasa wafanyabiashara ndogondogo. Ningekuwa mkazi wa Mbeya.....ni kuendelea kumpa kura tu kila anapozihitaji.
 
Itabidi kwanza uache kazi ya serikali.BTW nilidhani wewe mchungaji!lol

Hii status ya Rev nakumbuka ulipoanza kuitumia, i remember you was once upon a time just "Masanilo".

Poor Tanzanians, Kiingereza hatujui, kiswahili hatukitaki, lol!
 
Sikuwahi kumuona Sugu akitema cheche kiasi kile, na kwa Cheche zile ameonesha wazi kwamba ana uchungu na wakazi wa mbeya wenye vipato vidogo hasa wafanyabiashara ndogondogo. Ningekuwa mkazi wa Mbeya.....ni kuendelea kumpa kura tu kila anapozihitaji.
Sheria anazozipigania zipo chini ya halmashauri ya manispaa/jiji la mbeya...
Kama alikuwa anahudhuria vikao, kwanini asingepinga hizo sheria?
Mambo mengine huwa hayaamuliwi na bunge, bali Local Government Authorities.
In short, that was Dung!
 
Jamaa bonge la mshamba anavisasi vya kizamani sana. Anmchukia ruge kama alikuwa muumbaji wake. ataacha lini kuwaiga wamerekani kuongea? Utanzania kauwacha mbali sana Je kama angezaliwa marekani si angetembelea kichwa huyo? SUGU UNAKERA BADILIKA visasi si hulka njema.
 
Sheria anazozipigania zipo chini ya halmashauri ya manispaa/jiji la mbeya...
Kama alikuwa anahudhuria vikao, kwanini asingepinga hizo sheria?
Mambo mengine huwa hayaamuliwi na bunge, bali Local Government Authorities.
In short, that was Dung!
mkuu kama unakumbuka kuwa kuna kipindi madiwani wa chadema walitoka kweye ukumbi wa mikutono yao kikao kilipo kuwa kinaendelea issue ilikuwa ni hii hii

N sasa hivi nasikia kuna bifu kubwa sana la chini chini kati ya madiwani wote (CCM & CHADEMA) dhidi ya meyor hapakaliki
 
Nchimbi anautaka urais! je akiupata huo urais Sugu atakimbilia wapi?

Sugu hatokimbia, haikimbii vita yule kamanda. Tafuta kitabu chake"From The Streets To The Parliament".
Nchimbi ndio atakaesepa
 
Jama SUGU NI MSHAMBAAAA. Hasira gani zisizokwisha? Mimi naona uongozi hapo umepotea njia
 
Back
Top Bottom