Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

kipi nilichoandika kibaya? Utaje huo ubaya na unihukumu kama upo,ila ukwel siku zote haaumi kuliko uongo?kama umeandaa matus sina la kukurudishia.ila taja kosa katika hiyo reply yangu

Kosa lako ni kuacha kujadili MADA KUU na kuanza kuget personal na kunijadili mimi mtoa comment!!! Mind you you DONT KNOW ME!!! Why the perceptions!!!!
 
FYI hata usilamu unakataza talaka ndo mana ukifata sheria za Quran zinasema ukitaka kumpa mwanamke talaka ngojea kwanza apate siku zake, mana ukifata sheria umgojea mwanamke apate siku zake mpaa akoshe ndo umuwache ni vigumu sana mana lazima utakumbuka utamu wake :biggrin:

Divorce is allowed but there are Quranic verses which says that divorce is not advisable.

This divorce [in which the husband can revoke his decision in the Iddat period] is permitted twice only. (2:229)

Kwa hiyo ni probability, usipokumbuka utamu imekula kwake?

Hizi sheria zenu kwa kweli kama watu wangekuwa wanajichagulia gender wakati wa kuzaliwa, hakuna mtu angekubali kuzaliwa mwanamke. Yaani suala ni kusubiri apate siku zake na wewe kwa akili yako unaona hiyo ndio sababu na sio ni kuhakikisha hana mimba? Hata logic huna, eti ili ukumbuke utamu.

Kwa hiyo ukiwa mwanaume basi wewe una haki ya kuacha, ukitaka kurudi unaamrisha tena anakuletea, leo unalala huku unakula paja yeye anaumia kwa hisia mlango wa tatu, mweh!
 
Kuoa wanawake wengi si hoja hapa,hoja ni kuridhika na kile ulichonacho maana hata kama utaoa hao wanawake wanne ulioruhusiwa na kama hujaridhika bado utaendelea kumezea wengine.

Wanaume wengi siku hizi huingia katika ndoa bila kuwa na mapenzi ya dhati na wengi hujikuta wanalazimika kuoa tu kwa kuwa umri unakuwa umeenda au wanataka kuweka heshima katika jamii ndio maana ndoanyingi siku hizi zinasambaratika baada ya muda mfupi.

...more than true:poa
 
[/LEFT]

Kwa hiyo ni probability, usipokumbuka utamu imekula kwake?

Hizi sheria zenu kwa kweli kama watu wangekuwa wanajichagulia gender wakati wa kuzaliwa, hakuna mtu angekubali kuzaliwa mwanamke. Yaani suala ni kusubiri apate siku zake na wewe kwa akili yako unaona hiyo ndio sababu na sio ni kuhakikisha hana mimba? Hata logic huna, eti ili ukumbuke utamu.

Kwa hiyo ukiwa mwanaume basi wewe una haki ya kuacha, ukitaka kurudi unaamrisha tena anakuletea, leo unalala huku unakula paja yeye anaumia kwa hisia mlango wa tatu, mweh!
Tatizo we unajibu kama mlevi hutaki kufahamu point zangu.

Nimesema talaka kwenye uislam ukifata sheria ni vigumu sana kutokea talaka, we unadhani hawa walio wacha wake zao ambao wanasema wa islam walifata sheria ya uislamu unasema nini.

Sababu ya uislamu kukataza kuwacha mke wako kabla hajaenda kwenye period yake ina mana yake, na sio akimaliza tu period basi unamwacha, unatakiwa umkimbie kitandani kwanza , mkiona bado tu kuna chokochoko za talaka mnaita wazazi kupatanisha ni process kubwa sana dogo, ndo mana ukija kusoma uislam vizuri utajua ni dini ya haki na inampa haki mwanamke wala haimdhulumu hata kidogo.

Sasa nakuliza kipi bora kuoa mke wa pili, watatu au wanne na kwenda nje na kuzini na zaidi ya wanawake 100.
 
Hata mi sikuachi...
Mwanamke upo bar mwenyewe unapiga beer.. Uso wako waonekana umejaa stress na frustrtns... Macho juujuu kwa kila me au couple wanaongia.

Lazma...
 
Kosa lako ni kuacha kujadili MADA KUU na kuanza kuget personal na kunijadili mimi mtoa comment!!! Mind you you DONT KNOW ME!!! Why the perceptions!!!!

Ni kweli sikufaham ila maandish yako yanakutambulisha.umeweka mada katika kuchangia mdau akasema"wanawake waache kuvaavipedo na vimini ndo maana wanaume wanatoka nja ya ndoa",kwa mikono yako mwenyewe bila kushawishiwa na mtu ukajibu "Mnawavalia ma-bachela"nikakujibu"hauoni kama kuwavalia hao ma bachela vinguo vifup ni kujitongozesha?kwani ukivaa kieshima hautatongozwa?"ukasema"utanichamba" nikakujibu"nitajie kosa" ukanijibu"naacha kujadili mada na nafuatilia maisha yako na si kufaham".mpaka hapa nani mwenye kosa?
 
Oh please..take a chill pill...you are taking panicking to a whole new level...khaaa!!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

You Heaaaaarrrddddd? Idadi mwisho wanne. Hapo safi. sio unasema mmoja tu halafu unawasumbua kina lara 1.
 
Kama wife, ishu ikibumbuluka nikajua hubby alikwambia live mazima kuwa kuna wife, one and only...anataka mapozeo..nitakuwa na second thought; kuliko atakaye nikana kuwa si exist, kuwa yuko single wakati anatongoza.
 
Sisi wanaume 99.5% ni waruka fensi, kwahiyo wanawake mtuzoee tu, hata iweje tatizo hili haliishi, ndiyo asili yetu.
 
Hahahaaaaaa! Hiyo inaitwa killing you with honour!!!!! Nimekubali!!!!
 
Sisi wanaume 99.5% ni waruka fensi, kwahiyo wanawake mtuzoee tu, hata iweje tatizo hili haliishi, ndiyo asili yetu.

Kujiendekeza tuuuu! Mkijikaza mbona manweza kutulia na mmoja!!!! Afu asili yenu huwa inazidi pale MKIPATA MIPESA MINGI!!!! Wale wasio na pesa wanajitahidi sana kwa uaminifu!!!
 
Hata mi sikuachi...
Mwanamke upo bar mwenyewe unapiga beer.. Uso wako waonekana umejaa stress na frustrtns... Macho juujuu kwa kila me au couple wanaongia.

Lazma...

Hahahaaaaa! Hizo ndo type zako zenye stress nini????!!!! Poyeee!!!! FYI, mimi pale nimeenda kwa jeuri ya pesa yangu, na sikuwa nakunywa kwa mawazo, ndo maana lawyer akamind mzigo, coz anajua bila hata yeye kununua ningekunywa tuuu! UPO HAPO???? Sheria ya ofa unachokunywa ndo unachopewa ofa!!!!!! We endele kujisevia STRESSFULL ndo saizi yako!!! LOL!
 
the type of U..!!!
I have ur name.

hahahahaaaaa !!
Im outer here....
 
the type of U..!!!
I have ur name.

hahahahaaaaa !!
Im outer here....

Hahahaaaaa! Nice try. Even if y know my face, be my guest, I got nothing to hide!!!!!LOLEST!
 
Back
Top Bottom