Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:
 
Wanaume kuvumilia ni ngumu kama vp huku nje msivae mapedo pusha vijinsi vya kubana msijichubue msiongeze mahaga na mipododo.
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

Wanne wenyewe hawatoshiii! Fikiria, wakwanza umemchukua mwenye KIJUNGU KIKUBWA, Wa pili KIPETITE, Wa tatu BONGE NYANYA, Wa nne CHEUPE DAWA. Hapo bado design kibao utakuwa huna, CHEUSI MANGALA, CHOTARA, KIFUPI NYUNDO. Dawa ni kushinda majaribu tuuu!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:
Kuoa wanawake wengi si hoja hapa,hoja ni kuridhika na kile ulichonacho maana hata kama utaoa hao wanawake wanne ulioruhusiwa na kama hujaridhika bado utaendelea kumezea wengine.

Wanaume wengi siku hizi huingia katika ndoa bila kuwa na mapenzi ya dhati na wengi hujikuta wanalazimika kuoa tu kwa kuwa umri unakuwa umeenda au wanataka kuweka heshima katika jamii ndio maana ndoanyingi siku hizi zinasambaratika baada ya muda mfupi.
 
Wanne tosha kabisa kwani we unadhani kila unaye owa lazima awe kakosa hayo unayo zungumzia :biggrin:
 
Mi naona hiyo staili ni nzuri sana kwani itatusaidia wengine amabao tumekuwa wahanga wa kutongozwa na married men huku wakidanganya kwamba hawajaoa yaani wako singo..!
 
Kuoa wanawake wengi si hoja hapa,hoja ni kuridhika na kile ulichonacho maana hata kama utaoa hao wanawake wanne ulioruhusiwa na kama hujaridhika bado utaendelea kumezea wengine.

Wanaume wengi siku hizi huingia katika ndoa bila kuwa na mapenzi ya dhati na wengi hujikuta wanalazimika kuoa tu kwa kuwa umri unakuwa umeenda au wanataka kuweka heshima katika jamii ndio maana ndoanyingi siku hizi zinasambaratika baada ya muda mfupi.
Anaye owa wanne afu akatoka nje ya ndoa, lazima atakuwa ana matatizo ya kiakili hapo :biggrin:
 
Mi naona hiyo staili ni nzuri sana kwani itatusaidia wengine amabao tumekuwa wahanga wa kutongozwa na married men huku wakidanganya kwamba hawajaoa yaani wako singo..!

Hilo nalo neno mwenzangu, usije UKAPIGA SIMU ZA 8 USIKU, NIMEKUMISS SANA HONEY!! LOL! Kuna mtu simu yake ya magumashi inalala kwenye gari!!!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:
hiyo ya kuwa na wake wa nne ni layman solution.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Siku hizi hakuna kutongoza amurula aka panty remover ndio siri ya mafanikio. First,second third tot mtu anauliza your place or my place?

Hahahhaaaaaaa! Boy YOU BAD!!!!!! I DIG!!! Your GAME is BAD A*SS!!!!!!!! Damn!
 
561260_263973067051215_1379112524_n.jpg
 
Hilo nalo neno mwenzangu, usije UKAPIGA SIMU ZA 8 USIKU, NIMEKUMISS SANA HONEY!! LOL! Kuna mtu simu yake ya magumashi inalala kwenye gari!!!

Acha tuu my dear... Yamenikuta hapo juzi juzi hapa nilipo sina hamu... Mawazo teeeeeele..!
 
hiyo ya kuwa na wake wa nne ni layman solution.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
I don't think so, we unadhani wanaume wote wanatosheka na mke mmoja unless wawe wanakasoro tu....We fikiria mwanaume gani anaweza kusubiri mke wake kukaa siku 40 baada ya kuzaa, au amepata period ya mda wa zaid ya siku nne kila mwezi asiende kudokoa nje :biggrin:
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

Unahitaji kuweka facts to cement your argument,.... otherwise....!
 
Bora uambiwe ukweli kuliko akudanganye ili mwisho wa siku likitokea la kukutokea ucjilaumu..
 
Wanne wenyewe hawatoshiii! Fikiria, wakwanza umemchukua mwenye KIJUNGU KIKUBWA, Wa pili KIPETITE, Wa tatu BONGE NYANYA, Wa nne CHEUPE DAWA. Hapo bado design kibao utakuwa huna, CHEUSI MANGALA, CHOTARA, KIFUPI NYUNDO. Dawa ni kushinda majaribu tuuu!

wewe ni cheusi mangala au kifupi nyundo lol
 
I don’t think so, we unadhani wanaume wote wanatosheka na mke mmoja unless wawe wanakasoro tu....We fikiria mwanaume gani anaweza kusubiri mke wake kukaa siku 40 baada ya kuzaa, au amepata period ya mda wa zaid ya siku nne kila mwezi asiende kudokoa nje :biggrin:

Unaweza ukawa na wake wanne na bado ukawa unatoka nje!, ukiwa na tamaa na hujawa committed utatoka nje tu. tamaa ndo inayosababisha watu watoke nje!
 
Back
Top Bottom