Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

Unahitaji kuweka facts to cement your argument,.... otherwise....!
Hahaha facts gani unazo ongelea wewe, uliona wapi wanaume wakasema wana sex nje ya ndoa na wakati wana sex, uliona wapi mwanaume ambaye mwanaume maisha yake yote kabla ya kuoa hakufanya sex na baada ya ndoa akawacha kwenda nje kama wapo ni 1% tu....na hao lazima kuna sababu kubwa ndo zimewafanya wasifanye sex kabla ya ndoa ukweli ndo huo.

Wewe hapo kama una mke mmoja na huendi nje ya ndoa, ujuwe una matatizo ya kiume :biggrin:
 
Huyo kawa mkweli na kukwambia ukweli kuliko wale wanaodanganya ila kingine sijaona umuhimu wa kuoa wake wengi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unaweza ukawa na wake wanne na bado ukawa unatoka nje!, ukiwa na tamaa na hujawa committed utatoka nje tu. tamaa ndo inayosababisha watu watoke nje!
Si kweli mana ukisha kuwa na wake wanne unakuwa huna wakati wa kwenda nje ya ndoa, sababu lazima uwatimizie hao wanne mahitaji yao ya sex :biggrin:
 
wewe ni cheusi mangala au kifupi nyundo lol

Hahahaaaa! Mi JUNGUUU KUUU! LOL! Muddy Washington angezimia angeniona!!! design zake kabisa!! Wapo watu uonjwa wao cheusi mangala( black beauty)
 
married men wanaboa mitamaa kibao halafu akikutokea haimaanish kakupenda ila anataka kutest halafu ukute mkewe ana kitambi na maeneo ya down mumewe kashayalegeza,mie cwapi nafasi kabisaa bora nile bata na bachelors wenzangu
 
Hahaha facts gani unazo ongelea wewe, uliona wapi wanaume wakasema wana sex nje ya ndoa na wakati wana sex, uliona wapi mwanaume ambaye mwanaume maisha yake yote kabla ya kuoa hakufanya sex na baada ya ndoa akawacha kwenda nje kama wapo ni 1% tu....na hao lazima kuna sababu kubwa ndo zimewafanya wasifanye sex kabla ya ndoa ukweli ndo huo.
Wewe hapo kama una mke mmoja na huendi nje ya ndoa, ujuwe una matatizo ya kiume :biggrin:
Fazaa naona unajitetea ila MADRASA ulitegaga zamani, ngoja nikusaidie FACTS.

1. Miezi 9 bidada akiwa kashiba maharage na zile 40 baada ya kujifungua, je ni wangapi wana abstain???( Acha wale dini zinazowaruhusu kukandamiza hadi mwisho!!! na wasio na dini kabisaaaa)

ILA SIKUBALIANI NA WEWE FAZAA PIA!

1. Dini inakurusu tena ni suna! kuoa wake wanne endapo utwaweza kuwahudumia na kuwapenda wote sawaa! JE WAWEZA KUUGAWA MOYO WAKO MARA 4 SAWASAWA BILA KUMPENDELEA WALA KUMPUNJA MMOJA????
 
married men wanaboa mitamaa kibao halafu akikutokea haimaanish kakupenda ila anataka kutest halafu ukute mkewe ana kitambi na maeneo ya down mumewe kashayalegeza,mie cwapi nafasi kabisaa bora nile bata na bachelors wenzangu
Na wewe unadhani wanwanawake wote walio olewa wanashape mbaya au kama walizaa wanabadilika..mnajidanganya tu.

Kuna wengine huwezi kuamini wake za watu wanaonekana wadogo, kuliko nyie wala ma chips na kuku :biggrin:
 
Fazaa naona unajitetea ila MADRASA ulitegaga zamani, ngoja nikusaidie FACTS.

1. Miezi 9 bidada akiwa kashiba maharage na zile 40 baada ya kujifungua, je ni wangapi wana abstain???( Acha wale dini zinazowaruhusu kukandamiza hadi mwisho!!! na wasio na dini kabisaaaa)

ILA SIKUBALIANI NA WEWE FAZAA PIA!

1. Dini inakurusu tena ni suna! kuoa wake wanne endapo utwaweza kuwahudumia na kuwapenda wote sawaa! JE WAWEZA KUUGAWA MOYO WAKO MARA 4 SAWASAWA BILA KUMPENDELEA WALA KUMPUNJA MMOJA????
Dini gani inasema tuwapenda wote sawa sawa hebu nipe kitabu!

Uislamu unaruhusu uowe wanne na hakuna kitabu cha kikristo kinapinga kuoa mke zaidi ya mmoja, nilisha wambia hao ndugu zetu walete hoja zao wakakwepa.

Dini ya kislamu inasema tuowe wake wanne kama tuna uwezo hapa imekusudia, uwe na uwezo wa sex, uwezo wakuwatunza haikusema tuwapende sawa sawa wapi imesema hayo :biggrin:
 
lara 1

Nina Ticket Yako Ya Kumuona Rick Rosy So Kama VPTiririka Na MM kwa PM.

Hahahaaaaa! UMEJUAJE KWAMBA NI LAZIMA NIKAMUONE MTU MZIMA RICKROZZZEEEEE!!! Sasa hiyo ticket ungenipa kwa PM, Hapa ishakuwa sooo! Watu wataninaje nikikubali VYA BUREEE!
 
Dini gani inasema tuwapenda wote sawa sawa hebu nipe kitabu!

Uislamu unaruhusu uowe wanne na hakuna kitabu cha kikristo kinapinga kuoa mke zaidi ya mmoja, nilisha wambia hao ndugu zetu walete hoja zao wakakwepa.

Dini ya kislamu inasema tuowe wake wanne kama tuna uwezo hapa imekusudia, uwe na uwezo wa sex, uwezo wakuwatunza haikusema tuwapende sawa sawa wapi imesema hayo :biggrin:[/QUOTE

Kwa hiyo unataka kuniambia dini inakurusu umependa Bi Mdogo Zaidi ya wenzie? Au umpendelee Bi mkubwa sababu ndo kaanza kuolewa?
 
married men wanaboa mitamaa kibao halafu akikutokea haimaanish kakupenda ila anataka kutest halafu ukute mkewe ana kitambi na maeneo ya down mumewe kashayalegeza,mie cwapi nafasi kabisaa bora nile bata na bachelors wenzangu

Jiwe limerushwa GIZANI hilooo!
 
Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!

Hata mie naingia kwa gia hizi hizi...LOL
Chezea mama Ngina weye................ Itakula kwangu mazima.
 
Kwa hiyo unataka kuniambia dini inakurusu umependa Bi Mdogo Zaidi ya wenzie? Au umpendelee Bi mkubwa sababu ndo kaanza kuolewa?
Sijasema dini inasema hivyo na infact kitabu cha mungu Quran kinatushauri kama hatuwezi kuwapa uadilifu tukae na mke mmoja tu, lakini Quran haikusema tuwapende wote sawa sawa.

Afu mbona hata mimi na mke mmoja sababu na mfanyia heshima mke wangu sitaki kumkera lakini mpaa lini? na nipo kuwa sizini nje sio sababu sitaki natamni niende kuzini nje, lakini naona bora niongeze mke wa pili kuliko kuzini, lakini wife akikataa niongeze mke wapili itabid niende kisiri siri ni kale viuno vya chap chap nje ya ndoa, au niowe kisiri siri ukweli ndo huo :biggrin:
 
Wanne wenyewe hawatoshiii! Fikiria, wakwanza umemchukua mwenye KIJUNGU KIKUBWA, Wa pili KIPETITE, Wa tatu BONGE NYANYA, Wa nne CHEUPE DAWA. Hapo bado design kibao utakuwa huna, CHEUSI MANGALA, CHOTARA, KIFUPI NYUNDO. Dawa ni kushinda majaribu tuuu!

Mhhh...coming from lara 1...
ts consoling to know there is a sane side of u!
 
Last edited by a moderator:
Kuoa wanawake wengi si hoja hapa,hoja ni kuridhika na kile ulichonacho maana hata kama utaoa hao wanawake wanne ulioruhusiwa na kama hujaridhika bado utaendelea kumezea wengine.

Wanaume wengi siku hizi huingia katika ndoa bila kuwa na mapenzi ya dhati na wengi hujikuta wanalazimika kuoa tu kwa kuwa umri unakuwa umeenda au wanataka kuweka heshima katika jamii ndio maana ndoanyingi siku hizi zinasambaratika baada ya muda mfupi.

Yaani umeongea bonge la point

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mhhh...coming from lara 1...
ts consoling to know there is a sane side of u!

Hahahahaaaaaa! Eeee! Mbeee! Nnenge mlingafo monoko! Ngastuka na Machale Kunidesa ngikufa na umkimwifooo! Mburaaaa!
 
Back
Top Bottom