Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

Dini gani inasema tuwapenda wote sawa sawa hebu nipe kitabu!

Uislamu unaruhusu uowe wanne na hakuna kitabu cha kikristo kinapinga kuoa mke zaidi ya mmoja, nilisha wambia hao ndugu zetu walete hoja zao wakakwepa.

Dini ya kislamu inasema tuowe wake wanne kama tuna uwezo hapa imekusudia, uwe na uwezo wa sex, uwezo wakuwatunza haikusema tuwapende sawa sawa wapi imesema hayo :biggrin:

Imeandikwa katika biblia kuwa mwanamke atawaacha wazazi wake na kuambatana na mumewe na wote wawili watakuwa si wawili tena bali mwili mmoja. Na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitenganishe. Umeona biblia haikusema wanawake bali mwanamke.
 
Huyo alitaka akufanyie mazoezi

Ishu sio alitaka kufanya nini na mie, ISHU HIZO SWAGAAA ZA KUTANGAZA UKOO WAKE, wakati lengo lake kuonja???? Inaitwa tahadhari kabla ya hatariii!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

kuoa mke zaidi ya mmoja sio dawa ya uaminifu!kama upo kwenye familia au mahusiano unawajibu wakujiheshimu kwani dunia ya sasa Imeharibika...je,unaujua mtandao wako!
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

Mwasherati ni mwasherati tu hata akioa wake 10. Je wanawake nao wasiporidhika na mitwango ya mwanaume, wameruhusiwa kuolewa na wanaume wangapi?
 
Imeandikwa katika biblia kuwa mwanamke atawaacha wazazi wake na kuambatana na mumewe na wote wawili watakuwa si wawili tena bali mwili mmoja. Na alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitenganishe. Umeona biblia haikusema wanawake bali mwanamke.
Hata wa islam wanamini kila mwanamke atafufuliwa na mme wake, lazima uwelewe hapo unaongelea kitu gani, kwa hio kama mbili inaweza kuwa moja sidhani nne hawezi kuwa moja pia :biggrin:
 
Hahaha facts gani unazo ongelea wewe, uliona wapi wanaume wakasema wana sex nje ya ndoa na wakati wana sex, uliona wapi mwanaume ambaye mwanaume maisha yake yote kabla ya kuoa hakufanya sex na baada ya ndoa akawacha kwenda nje kama wapo ni 1% tu....na hao lazima kuna sababu kubwa ndo zimewafanya wasifanye sex kabla ya ndoa ukweli ndo huo.

Wewe hapo kama una mke mmoja na huendi nje ya ndoa, ujuwe una matatizo ya kiume :biggrin:

We jamaa unafikiri kila mtu ni mzinzi eeh?

Yaelekea huna kazi nyingine zaidi ya ngono. Sasa acha nikwambie, wakati wewe uko bize na mke wa tatu, kunakuwa na kijana anatuliza mwasho wa mke wa kwanza. Mko wangapi?

Kwenye hii bize laif stail yetu, mke mmoja anatosha. Sasa waarabu waliokufundisha huo utamaduni wa kuoa wake 4 wao huwafungia ndani. Wewe unaoa wa4 wanazurura mitaani. Unajiaminisha kwa kuwa wanavaa mabaibui, kumbe hujui mule ndani hawana hata chupi, ili wakinyanyua tu, vijana wanapiga mshono, hamna haja ya kuvua.

Mnalea watoto wengi tu ambao si wenu, ndio maana familia moja watoto hulka zimeachana, kila mmoja na babaake.
 
Mwasherati ni mwasherati tu hata akioa wake 10. Je wanawake nao wasiporidhika na mitwango ya mwanaume, wameruhusiwa kuolewa na wanaume wangapi?
Hizi akili zenu zinashangaza kama mwanamke ataruhusiwa kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja, mtoto akizaliwa nani atakuwa baba yake.

Wewe usifananishe mzinifu na mtu ambaye anataka kuoa mke wa pili au wake wanne:biggrin:
 
We jamaa unafikiri kila mtu ni mzinzi eeh?

Yaelekea huna kazi nyingine zaidi ya ngono. Sasa acha nikwambie, wakati wewe uko bize na mke wa tatu, kunakuwa na kijana anatuliza mwasho wa mke wa kwanza. Mko wangapi?

Kwenye hii bize laif stail yetu, mke mmoja anatosha. Sasa waarabu waliokufundisha huo utamaduni wa kuoa wake 4 wao huwafungia ndani. Wewe unaoa wa4 wanazurura mitaani. Unajiaminisha kwa kuwa wanavaa mabaibui, kumbe hujui mule ndani hawana hata chupi, ili wakinyanyua tu, vijana wanapiga mshono, hamna haja ya kuvua.

Mnalea watoto wengi tu ambao si wenu, ndio maana familia moja watoto hulka zimeachana, kila mmoja na babaake.
Wewe unacho ongelea ni uzinzi, na kuoa mke mmoja haiwezi manisha mke wako haendi nje ya ndoa.

Afu wewe umeona warabu tu ndo wanao toka nje ya ndoa, hujaona wafrika wangapi wake za watu wanaliwa nje ya ndoa.

FYI tena wafrika ndo hatari wanagawa K kama pipi, na wengi wao wamezaa mashombe shombe :biggrin:
 
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!

Duh! una mambo mengi wewe!
 
I don’t think so, we unadhani wanaume wote wanatosheka na mke mmoja unless wawe wanakasoro tu....We fikiria mwanaume gani anaweza kusubiri mke wake kukaa siku 40 baada ya kuzaa, au amepata period ya mda wa zaid ya siku nne kila mwezi asiende kudokoa nje :biggrin:

kwahiyo wanaume ni sawa na mambuzi? Hayawezi kuvumilia? Hebu wanaume mkuje mjibu
 
Sisi hatujapata TUNAWAVALIA MASINGLE sio hao wanataka vyote wao!

najaribu kupima ulichokiandika "unawavalia ma single" hapo kwa tafsiri ya harakaharaka isiyo itaj Phd mtu atasema UNAJITONGOZESHA kwa mavaz yako,je ukivaa kiheshima hautatongozwa?ni mtazamo tu
 
wanaume waliooa wanajitangza hivyo wanajua wadada wa mjini wanawapenda wanahonga na hawabani bani na wanakuarifu mapema ili usiwabanebane, mpo kibiashara tu, na biashara ni utamu pekee
 
"Roho i radhi ila mwili ni dhaifu"
afuataye ya mwili atatenda yaliyo ya mwili afuataye ya roho atatenda yaliyo ya roho.over
 
Hizi akili zenu zinashangaza kama mwanamke ataruhusiwa kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja, mtoto akizaliwa nani atakuwa baba yake.

Wewe usifananishe mzinifu na mtu ambaye anataka kuoa mke wa pili au wake wanne:biggrin:

Sifananishi ila wewe ni mzinifu. UZINZI ni zao la nafsi ndio maana sisi wakristo tunaamini unaweza kuzini rohoni. Wewe umesema hivi:
uliona wapi mwanaume ambaye mwanaume maisha yake yote kabla ya kuoa hakufanya sex na baada ya ndoa akawacha kwenda nje kama wapo ni 1% tu....na hao lazima kuna sababu kubwa ndo zimewafanya wasifanye sex kabla ya ndoa ukweli ndo huo.

Wewe hapo kama una mke mmoja na huendi nje ya ndoa, ujuwe una matatizo ya kiume

Hii ina maana ulikuwa bingwa wa sex nje ya ndoa. Hapa kuna mawili; Ulikuwa ukifanya wake za waswahili wenzio waliooa wanawake wengi wakashindwa kuwatimizia haja au wabinti. Na kama ni wabinti, basi kwenye jamii yako hakukuwa na mwanamke aliyeolewa na bikira.
 
kwahiyo wanaume ni sawa na mambuzi? Hayawezi kuvumilia? Hebu wanaume mkuje mjibu

Yeye tu na hiyo imani yake. Bora hata mbuzi, ni nguruwe ndio wanapandana hovyo hata dume huweza kumpanda mwenzake kwa kuwa tu limesikia harufu ya ile kitu bila kujua haitoki kwa yule dume mwenzake
 
Back
Top Bottom