Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

Wewe unacho ongelea ni uzinzi, na kuoa mke mmoja haiwezi manisha mke wako haendi nje ya ndoa.

Afu wewe umeona warabu tu ndo wanao toka nje ya ndoa, hujaona wafrika wangapi wake za watu wanaliwa nje ya ndoa.

FYI tena wafrika ndo hatari wanagawa K kama pipi, na wengi wao wamezaa mashombe shombe :biggrin:

Acha akili za kukurupuka wewe, mimi sijasema waarabu wanatoka nje ya ndoa, nimesema wenzako waarabu wanaoa wake wengi lkn wanawafungia ndani ili wasibanguliwe. Kwa kifupi wale sio wake ila ni watumwa wa ngono. Maisha ya ndoa ni kuridhishana na sio mwanaume kuridhika na mwanamke abakie na hamu wkt mume yuko banda la pili.

Ni uduni tu wa mawazo, lkn mke mmoja anatosha. Na ni vile huwa hamnaga kazi, kazi yenu ndio hiyo, na ndio siri ya kuwa na watoto weeengi mkashindwa kuwasomesha halafu muanze kumtukana Nyerere na kanisa katoliki
 
kwahiyo wanaume ni sawa na mambuzi? Hayawezi kuvumilia? Hebu wanaume mkuje mjibu
Sikia na unisome vizuri hakuna mwanaume ambaye anaweza kuishi na mwanamke mmoja tu bila kwenda kuongeza mke wa pili au kuzini kama wapo ni wachache sana katika hii dunia labda ni 1% tu.

Hawa hapa wa JF siwanasema tu, afu ukweli siku zote unauma sidhani hawa wana weza kuona alicho ona mungu.

Nimewauliza wapi Bible imesema hauruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja, wameshindwa kunijibu sio leo tu toka kitambo nilisha wauliza sikupata jibu.

Wapi yesu kasema msiowe zaidi ya mke mmoja kwenye bibilia yao!

Mwanaume ambaye anaweza kuishi na mke wake bila kwenda nje ya ndoa au kuongeza mke wa pili, ni wale ambao wamebahatika sana na huwezi kuwapata hapa Jamiii forum kwenye chumba cha mahusiano, marafiki na mapenzi :biggrin:
 
Sifananishi ila wewe ni mzinifu. UZINZI ni zao la nafsi ndio maana sisi wakristo tunaamini unaweza kuzini rohoni. Wewe umesema hivi:.
Wacha kunisingizia mimi mzinifu wakati huna ushahidi, pili napo ongea ukweli haimanishi mimi mzinifu :biggrin:

Hii ina maana ulikuwa bingwa wa sex nje ya ndoa. Hapa kuna mawili; Ulikuwa ukifanya wake za waswahili wenzio waliooa wanawake wengi wakashindwa kuwatimizia haja au wabinti. Na kama ni wabinti, basi kwenye jamii yako hakukuwa na mwanamke aliyeolewa na bikira.
Wapi nimesema mimi nimezini nje ya ndoa?

We unapoona au kusikia wake za watu wanazini ndo ina mana wewe una zini nao?

Usiende kwenye family yangu huwezi hata siku moja kuifananisha family yangu na yako, bora unyamaze....kama umekosa point za kuongea na kujibu tunacho ongea kaa kimya:biggrin:
 
Acha akili za kukurupuka wewe, mimi sijasema waarabu wanatoka nje ya ndoa, nimesema wenzako waarabu wanaoa wake wengi lkn wanawafungia ndani ili wasibanguliwe. Kwa kifupi wale sio wake ila ni watumwa wa ngono. Maisha ya ndoa ni kuridhishana na sio mwanaume kuridhika na mwanamke abakie na hamu wkt mume yuko banda la pili.

Ni uduni tu wa mawazo, lkn mke mmoja anatosha. Na ni vile huwa hamnaga kazi, kazi yenu ndio hiyo, na ndio siri ya kuwa na watoto weeengi mkashindwa kuwasomesha halafu muanze kumtukana Nyerere na kanisa katoliki
Utaishia kuwaita unacho taka kuwaita, na nimeisha ona wengi wameolewa kama wake wa 2,3 na wanne na wamejituliza.

Na wewe unadhani wanawake wote wanapenda sex na kujaribu kila mwanaume....wanapo kubali kuwa second wife au third au fourth ujuwe sababu hawataki kuzini hovyo hovyo wanaona bora waolewe na mme wa mtu kuliko kutandaza K zao hovyo.
 
najaribu kupima ulichokiandika "unawavalia ma single" hapo kwa tafsiri ya harakaharaka isiyo itaj Phd mtu atasema UNAJITONGOZESHA kwa mavaz yako,je ukivaa kiheshima hautatongozwa?ni mtazamo tu

Unahamu Nikusemeeeeee! Nikikusema Utaliaaaaaaaaaaaaaa! Unahamu Nikuchambeeeeee! Nikikuchamba Utazimiaaaaaa!
 
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!

this is preciselythe reason y men will continue chakachuaring women simply becoz ladies hawataki kuambiwa ukweli.
sasa wewe jamaa kawa upfront abt being married ili ujue kabisa kuwa hapa ni starehe tuu. wewe unataka asikwambie kuwa yupo married i.e. akudanganye ndio uone raha. sasa sie tutaendelea kuwadanganya na kuchakachua K zenu coz its what u like.
 
Hahahaaaaa! Mazabzab inaonekana wewe ni mtumiaji wa hii tactic wa mda mrefu!!!!! Ishu ni kuweka ALL THE CARDS ON THE TABLE DAY 1!!!!!! Ilinistua kwakweli! Sasa if you love your wife as you claim why dont you go home to her????? Busy chasing girls???? Haileti LOGIC?
 
Sikia na unisome vizuri hakuna mwanaume ambaye anaweza kuishi na mwanamke mmoja tu bila kwenda kuongeza mke wa pili au kuzini kama wapo ni wachache sana katika hii dunia labda ni 1% tu.

Hawa hapa wa JF siwanasema tu, afu ukweli siku zote unauma sidhani hawa wana weza kuona alicho ona mungu.

Nimewauliza wapi Bible imesema hauruhusiwi kuoa zaidi ya mke mmoja, wameshindwa kunijibu sio leo tu toka kitambo nilisha wauliza sikupata jibu.

Wapi yesu kasema msiowe zaidi ya mke mmoja kwenye bibilia yao!

Mwanaume ambaye anaweza kuishi na mke wake bila kwenda nje ya ndoa au kuongeza mke wa pili, ni wale ambao wamebahatika sana na huwezi kuwapata hapa Jamiii forum kwenye chumba cha mahusiano, marafiki na mapenzi :biggrin:

Soma Mathayo 19:3-10. Sio kuoana rundo tu, hata talaka Yesu ameikemea akijua ni janja ya wanaume wakora kufanya ufuska kwa jina la ndoa.

Ni Yesu, sio yesu pls!

Soma tena 1Wakorintho 7:1-5

1 Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke.
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.
3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
4 Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
5 Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu

Huo mstari wa nne unasema, mume hana amri juu ya mwili wake bali mkewe; Sasa ikiwa mwili huo (wa mume) unatumika na mke mwingine saa ngapi huyo mke anapata haki yake iliyosemwa kwenye mstari wa 3?

Ndio maana nasema mwanamke aliye ktk ndoa ya mitala ni si mke bali mtumwa wa ngono. Si mke kwa msingi kwamba, hana haki juu ya mwili wa mumewe kwani unatumika na wanawake wengine wakati ule anapouhitaji.

Kwa mujibu wa dini yako, haki anayo mwanaume, labda tukubaliane hapo. If that is so, why don't buy sex toys instead of marrying many wives? Manake ni sex yoys ndizo hutumika kufanywa lkn zenyewe hazina hisia.
 
Hahahaaaaa! Mazabzab inaonekana wewe ni mtumiaji wa hii tactic wa mda mrefu!!!!! Ishu ni kuweka ALL THE CARDS ON THE TABLE DAY 1!!!!!! Ilinistua kwakweli! Sasa if you love your wife as you claim why dont you go home to her????? Busy chasing girls???? Haileti LOGIC?

its a trap lol
na wewe probably ulinasa pia lol
 
kubwa ni kuheshimu ahadi ulizo ahidi mbele za watu na mbele ya uso wake Mola maana siku hizi pete nasikitu yaani inatia aibu sana nina rafiki zangu wanaendesha ngono kama hawakufanya harusi au hata kama hawana wake na pete wanazo tena wanazitia mfuko wakiwa wanaendeleza ufusika kama huu. Mungu atujalie rehema wala si kukaa na wake wengi upendo kutoka mke mmoja kwenda mwingine hauwezi ukafanana
 
its a trap lol
na wewe probably ulinasa pia lol

The Boss Kaniombe Radhi Radio 1!!!!! Umenidhalilisha sanaaa!!!! Nani anase? Trap gani sas hiyoo! Kitu very simple! You love your wife and ME at par! The question is WHO DO YOU LOVE MORE AT THE MOMENT? Alielala nyumbani akijua upo ofisini, au mie Ninaejinywea vya bureee na kuponda kiwallet chako, kufa kwaja!!! LOL! Its all about HAVING YOUR MOMENT!!!! (Wake ya Wabongo msinitoe roho wajameni!!! my moment ni hours tuu, yenu ni till death do you apart! LOLEST!!!)
 
Hahahaaaaa! Mazabzab inaonekana wewe ni mtumiaji wa hii tactic wa mda mrefu!!!!! Ishu ni kuweka ALL THE CARDS ON THE TABLE DAY 1!!!!!! Ilinistua kwakweli! Sasa if you love your wife as you claim why dont you go home to her????? Busy chasing girls???? Haileti LOGIC?

hahahaah well idea is to make sure kuwa wewe unafanya informed decision plus why asubiri mpaka next day or a week to lay out all the information?
mind u he has a wife so yeye anapata K anytime anapotaka ur K is just for the fun of it so he really doesnt have much to lose. its abt having fun and nothing more.
 
bora anayesema kaoa kabisa kuliko anayeficha ficha.

Aaaaaaah! Kongosho unaniangusha na wewe! Khaaaaaa! Sasa ana ubora gani kudai AMPENDA SANA mkewe, huku jicho limemtoka kwa uchu wa kutaka kula vingine??? Kama anampenda mkewe amuwahi nyumbani!!!! Kweli mi sioni logic ya Kinafki, Kwako Lara 1 Kidude nakitaka sanaa, wala sifichi ila dnt get it twisted na My Wife nampenda sanaaa! WTF!!!!!!
 
we binti unapatikana maeneo gani? mimi huwa sijisifii kama huyo lawyer, njoo upate teknolojia mpya huku
 
Soma Mathayo 19:3-10. Sio kuoana rundo tu, hata talaka Yesu ameikemea akijua ni janja ya wanaume wakora kufanya ufuska kwa jina la ndoa.

Ni Yesu, sio yesu pls!
FYI hata usilamu unakataza talaka ndo mana ukifata sheria za Quran zinasema ukitaka kumpa mwanamke talaka ngojea kwanza apate siku zake, mana ukifata sheria umgojea mwanamke apate siku zake mpaa akoshe ndo umuwache ni vigumu sana mana lazima utakumbuka utamu wake :biggrin:

Divorce is allowed but there are Quranic verses which says that divorce is not advisable.

This divorce [in which the husband can revoke his decision in the Iddat period] is permitted twice only. (2:229)

Nauliza wakristo mnavitabu vingapi. afu yesu alikuja nacho hicho kitabu cha wakorintho.

1Wakorintho 7:1-5 Hichi kitabu kipya kingine cha uwongo mana yesu sidhani kama aliwashushia vitabu vingi :poa

hahahaah well idea is to make sure kuwa wewe unafanya informed decision plus why asubiri mpaka next day or a week to lay out all the information?
mind u he has a wife so yeye anapata K anytime anapotaka ur K is just for the fun of it so he really doesnt have much to lose. its abt having fun and nothing more.
Bado hamna logic ya kunafikia NAMPENDA SANA MY WIFE, IM PROUD OF HER!! WTF? I apperciate the honesty ila inaonesha HE IS CHEATTING WITH A SANE MIND !!!! I prefer IM MARRIED BT THINGS ARENT WORKING OUT AS I EXPECTED, SO I NEED SOME ONE TO RELAX WITH, EASE SOME STRESS blah! blah! blah! This is understandable!
 
Unahamu Nikusemeeeeee! Nikikusema Utaliaaaaaaaaaaaaaa! Unahamu Nikuchambeeeeee! Nikikuchamba Utazimiaaaaaa!

kipi nilichoandika kibaya? Utaje huo ubaya na unihukumu kama upo,ila ukwel siku zote haaumi kuliko uongo?kama umeandaa matus sina la kukurudishia.ila taja kosa katika hiyo reply yangu
 
we binti unapatikana maeneo gani? mimi huwa sijisifii kama huyo lawyer, njoo upate teknolojia mpya huku

Hahaaaaaaaa! Mkeo anayajua haya unnayoandika huku? LOL!
 
Utaishia kuwaita unacho taka kuwaita, na nimeisha ona wengi wameolewa kama wake wa 2,3 na wanne na wamejituliza.

Na wewe unadhani wanawake wote wanapenda sex na kujaribu kila mwanaume....wanapo kubali kuwa second wife au third au fourth ujuwe sababu hawataki kuzini hovyo hovyo wanaona bora waolewe na mme wa mtu kuliko kutandaza K zao hovyo.

Mwanamke anayejiamini haolewi mke wa pili.

Labda watulizwe na mazindiko au uduni wa maisha kwenye familia walizotoka.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom