Staili mpya ya wanaume walioko kwenye ndoa kutongozea!!!! Mie hoi!!!!!

Yawezekana uko sahihi lakini si sana kwa mtazamo wangu!

Unaanza na mmoja, halafu ili kumfanya wa pili kuwa mke halali unapitia katika mchakato ule ule wa kwenda nje ya ndoa kwanza, na kumfanya mwingine awe mke wa tatu, ......, unapitia tena mchakato wa kwenda nje ya ndoa zile mbili au tatu za awali, au iwa inakuwaje??

QUOTE=fazaa;4760527]Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:[/QUOTE]
 
Yawezekana uko sahihi lakini si sana kwa mtazamo wangu!

Unaanza na mmoja, halafu ili kumfanya wa pili kuwa mke halali unapitia katika mchakato ule ule wa kwenda nje ya ndoa kwanza, na kumfanya mwingine awe mke wa tatu, ......, unapitia tena mchakato wa kwenda nje ya ndoa zile mbili au tatu za awali, au iwa inakuwaje??
Hapana ndugu kuna wengine wanaoa bila kupita mchakato wa kwenda nje ya ndoa.

Kumbuka kuna wanawake wengine wanakubakli kuolewa hata bila ya kuwatoa out, wanatazama msimamo wako kama wewe mwanaume ambaye anaona unaweza kuwatimizia haja zao wanakubali :poa
 
Mwanaume yoyote ambaya ataishia kuwa na mke mmoja, lazima ataenda nje ya ndoa tu...ndo mana tumeruhusiwa kuoa wake wanne :biggrin:

Siyo kigezo cha kutotoka ukiwa mtokaji hata ukioa kumi utatoka nje tu cha muhimu ni kujiheshimu na uvumilivu
 
muhimu kujihesahimu ata uwe na wake wangapi....nimeona watu wana wake wengi lakini mwisho wa siku vimada kibao....
 
Hehehe yaani umeniacha hoi....the story is on the otherway round... mimi kwa uzoefu wangu asilimia kubwa ya mabinti mnaokunywa bia za buku 3 mpaka buku 8 halafu ni wazururaji huwa mnatuwinda sana sisi tulio kwenye ndoa..mfano kwa wote wanaotembeleaga Level 8th , Pale Serena, Holiday Inn na Southern sun utashuhudia wanawake wengi wanaoenda pale ni wako single na wanatutoleaga sana mimacho sisi tuliooa...Lara pole sana ila nauakika jamaa alikupiga kibuti ndo maana umemind....

Hahahaaaa! Mimi na hao wanaokutoleeni mimacho tofautiiiii! Kwanza waume za watu sio style yangu! MIMI TRADE MARK YANGU NI SINGLE BOYS WENYE INHERITANCE MONEY YA KUTOSHA!!! LOL! Nyingi afu haina matumizi!!! HAPO NI CHOPPING, CHOPPING, CHOPPING AND MORE CHOPPING!!! UPO HAPO! Nyie wenye MAJUKUMU LUKUKI AWATAKE NANI!!!!? MIE? THUBUTUUUUUU! Mambo ya kukaa baa kudiscuss ADA YA MTOTO HAITOSHI, MKE WANGU AMEFILISI MTAJI WA DUKA! WAKWE WANAITAJI HELA YA KULIMA!!! NEVER!!!!! NISHASEMAGA NOOOOOOOOOO TO 2ND BEST KITAMBOOOOO! Hivo KUWEKA JITIHADA KUMFUMA MUME WA MTU NI IMPOSSIBLE!!( Too much work! So little Money!!!! I beeeeeeeg oooooh!) Huyu lawyer aliniona NUNDA, akataka kupimishana ubavu! I LIKED THE CHALLANGE ila kidude alikisikia tu bombani!!! Anipige Kibutiiii? Thubutuuuuuu! Ningemchukua mkewe angebaki STORY!! LOLEST!!! Embu ninyamaze wake za watu WASHANUNA!!!! LOL!
 
Mwanamke unabishana na ukweli wewe...mfano ukitokewa na yule mshua mwenye Aitivii...au yule mtoto wa mwongoza nji hiii...wacha bana.. mimi mwenyewe na vijisenti vyangu hivi ukiniona lazima unitolee mimacho nilivyo shine ..hahahha kubali ukweli tu siku hizi hamuwapendi masharobaro maana wengi wao ni wapiga mizinga...
 
Hahahaaa! Mi ndo nawapenda hao! Akili Kidogo Pesa Mingi, Basi Burudaniiiii! Waume za watu Pesa Kidogo, Mipango Mingi basi full combination ya STRESS TU!!! LOLEST!!! Huyo babu wa tv mbona OLD NEWS!!!! Wapo vijana wadogo ni NOMAAAAAAAAAA! Mfano WATOTO WA ZAKARY @ KARIAKOOO! (Nikibahatika hata mmoja ni natulia wallah!) Watoto wa Bakhresa!!!! (Hawa wana magari ni balaaaaa! Hadi Bugatti Veyron!!! Wanaendesha usiku tuuu!!!) Hata vitoto vya Mawaziri si haba! LOL! MIBABU NI OLD NEWS KABISAAA! WAUME ZA WATU TUMEWAACHIA WANAOINGIA TOWN LEO!!!!!
 
Hahahhaa...basi bwana nimenyoosha mikono. Hao vijana mbona wao hawaekagi kambi..wenyewe wanapiga na kuchap mwendo maana damu zao bado zinachemka....hawezi kukaa na kimada wa kumganda..... alafu watoto wa matajiri hawaongi masikini ndio wanaonga ili waonekane baabkubwa. Kwa hiyo angalia tena mikakati yako.
 
Weweweeee! Usilolijua litakusumbua!!! Wanahongaaa hao! Tena MADEMU WENGI MJINI HAPA WANAOENDESHA WAMETOKA DESIGN HIIII! WALE HELA UNACHOTA TU!!! HAWAWAZI! SEMA NDO MADEMU FULL KULOGANA! SURVIVOR OF THE FITTEST!!!
 
Aiseee.... nafikiri wewe ni zaidi ya tukujuavyo. Baaaasi. Ngoja nimalizie haka adakika ishiri ka OT nichape mwendo kwa mama watoto wangu.
 
Cha msingi hapo ni kuwa commited na mtu wako, kuhakikisha huingii kwenye mitandao ya ngono yenye kuleta magonjwa na kuhatarisha familia yako, penda familia yako, mjali mkeo, penda watoto usije ukaleta magonjwa nyumbani ukahatarisha ndoa , ndio mwanzo wa kuwa na watoto yatima na wa mitaani, pleaze kwa sisi tulio elimika tujaribu kuweka maadili sawa kwenye jamii zetu.
 
umasikini wa fikira zenye mtazamo wenye kuleta upeo wa kuona lipi lenye tija na halina tija ndio tatizo kwetu baadhi .
 
Hahahaaaa! Mimi na hao wanaokutoleeni mimacho tofautiiiii! Kwanza waume za watu sio style yangu! MIMI TRADE MARK YANGU NI SINGLE BOYS WENYE INHERITANCE MONEY YA KUTOSHA!!! LOL! Nyingi afu haina matumizi!!! HAPO NI CHOPPING, CHOPPING, CHOPPING AND MORE CHOPPING!!! UPO HAPO! Nyie wenye MAJUKUMU LUKUKI AWATAKE NANI!!!!? MIE? THUBUTUUUUUU! Mambo ya kukaa baa kudiscuss ADA YA MTOTO HAITOSHI, MKE WANGU AMEFILISI MTAJI WA DUKA! WAKWE WANAITAJI HELA YA KULIMA!!! NEVER!!!!! NISHASEMAGA NOOOOOOOOOO TO 2ND BEST KITAMBOOOOO! Hivo KUWEKA JITIHADA KUMFUMA MUME WA MTU NI IMPOSSIBLE!!( Too much work! So little Money!!!! I beeeeeeeg oooooh!) Huyu lawyer aliniona NUNDA, akataka kupimishana ubavu! I LIKED THE CHALLANGE ila kidude alikisikia tu bombani!!! Anipige Kibutiiii? Thubutuuuuuu! Ningemchukua mkewe angebaki STORY!! LOLEST!!! Embu ninyamaze wake za watu WASHANUNA!!!! LOL!

Uzuri,RAMBO bado zipo.
 
Peoplessssssssssssssssssss! Niajeeeeeeeeeeeeeeee! (Wakubwa zangu Shikamooni!)

Jamani ukustaaajabu ya Musa utayaona ya hawa waume wa wenzetu!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwenzenu mara kibao katika starehe zangu sehemu tofauti nimekutana na hii NEW SPECIES ya KUTONGOZA ya married couple!

Baada ya salamu mtu anaanza kutupa nyavu

Mr. X :" Nilikuwa pale nikakuona, sasa nipo interested tufahamiane! Mimi bwana naitwa Mr. X, im a lawyer by the way!
"

Lara 1: " Im Lara, Ni mzururaji tu hapa town, sina kazi ya kueleweka ila nakunywa bier level zenu huku bia 3000 na sinywi kwa mawazo!!! Nashukuru kukufahamu"

Mr. X :" What a chammer! I think you should know IM MARRIED for 3 YEARS, AND WE HAVE A SON! HE IS 2 YRS, NAIPENDA SANA FAMILIA YANGU, IM SO PROUD OF THEM!!!

Lara 1: " WTF!!!!!!!(Kimoyomoyo) Mmmmmmmmh! Good fo you! (bonge ya plastic smile!!!)

Mr. X : " I dont want to beat around bushes I FIND YOU VERY ATTRACTIVE AND I WANT IN!!!!!! IF YOU GIVE ME A CHANCE I WILL MAKE YOU MY QUEEN!!!!"

Lara 1: ( Whata happened to i love my WIFE N SON????? BLOODY F!!!!)Kimoyomoyo!! " I dont do married guys!!! Oooooops!!!!

YALIYOENDELEA HAYAWAHUSU ILA LAWYER ALITUMIA HADI VIFUNGU VYA KATIBA NA BIBLE KUPANGUA HOJA!!! Ila coz alikuwa ananunua shots za TAKILA double double, mjadala ulikuwa interesting!

Hoja yangu!!!!! Kwanini mtu UTANGAZE KUWA UNA MKE NA MTOTO NA PETE UMEVAA ILIHALI UNATOLEA MACHO VINGINE!!!! ILE DIZAINI YA KUVUA PETE IMEISHIA WAPIIIII! NDO FASHENI AU??????? AU NDO TAHADHARI MAPEMA ILI BINTI ASIEXPECT TOO MUCH!!!!AJUE ATACHOKIPATA!!!! LOLEST!!!!
lara 1.
I am sorry for my Delayed Response but Nevertherless, Ntachangia tu.
Kwanza kabisa let me let you know that am married, Kuhusu kuvua pete nowdays hilo hatuna Kabisaaaaaaa, na kwa Taarifa yako Hizi pete zetu zime prove kuwa ni Bonge la "Mtama", hope umenisoma fresh, Kuhusu Style ya Kutongozea a.k.a Kuzoza tulio wengi hatunaga hiyo kitu, Hatusemagi kabisa sijui Oooh, nakupenda,i just want to make you my Queen, BIG NO, what we do ni kutengeneza Mazingira, nyie wenyewe mnaingia kingi na mwisho wa siku mnaelekea Kibra ready for "Slaughtering".
Namna gani tunatengeneza Mazingira, ok kwa leo ngoja ni reserve hilo, ila "Usithubutu" Kukutwa na Married Man with this Motto, Mamamamamamamammama......
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa! Nashukuru kwa kutia neno katika hii thread! Married or not married, hakuna standard za kutongoza, Hio ni design ya lawyer na huwez jua imemfaa mara ngapi!! Mwenyewe ilinistusha!!!! LOL! Sasa mazingira unatengeneza na demu una uhakika wa kumuona tena, may be mpo wote kazini, ila wa bar, unaweza usimuone tena!!! LOL! Ndo maana akataka CONCLUSION kama possibility ipo, ama stori tuuuu! Yeye mbaba mi mdada, sasa akataka ajue are WE ON THE SAME PAGE!!! Nisije kuona nimepata KAKA WA HIARI!! LOL! All in all the lines dont matter!!! HONGERA KWA KUOA! LOL!
 
Siyo kigezo cha kutotoka ukiwa mtokaji hata ukioa kumi utatoka nje tu cha muhimu ni kujiheshimu na uvumilivu
Unajua siku zote ukitazama sana alicho amrisha mungu kina mana yake...unajua mtu yoyote ukimuweka kwenye box vigumu sana kutoka nje, ndo mana tukawekea wake wanne maximum.

Tazama box lina angle ngapi afu utajua wake wanne sio mchezo kuwatimiza haja zao sex, mpaa uende nje ya ndoa :biggrin:
 
muhimu kujihesahimu ata uwe na wake wangapi....nimeona watu wana wake wengi lakini mwisho wa siku vimada kibao....
Nilisha sema toka mwanzo mtu akiwa na wake wanne, nakaenda nje ya ndoa...huyo anakasoro ya kiakili, yani hayuko sawa :biggrin:
 
Back
Top Bottom