Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
utanifaa kabisa andaa gari na nyumba basiSitokuangusha! Nina umri zaidi ya miaka 40 na experience ya mmoja kwa miaka karibu 20. Nitakuwa napanda daraja tu!
utanifaa kabisa andaa gari na nyumba basiSitokuangusha! Nina umri zaidi ya miaka 40 na experience ya mmoja kwa miaka karibu 20. Nitakuwa napanda daraja tu!
utanifaa kabisa andaa gari na nyumba basi
nikiwa mke wa pili watanipiga.wauza utumbo na wewe wamekupiga danadana?
Kwani mwanamke huwa anamkataza mme wake kuongeza mke?
Kaoa au kaolewa?
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Mkuu kama unaweza kusoma hili graph (kuhusu sex drive ya wanaume na wanawake), zingatia kwenye maamuzi yako! (Note: x-axis, Age)Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Ushauri ni bure kama kwako ni lazima ulipwe pole!sasa unatuomba sisi ndio tumekuwa mke wako? Haya kaka oa tu hata kumi ila next time umuulize huyo mkeo sio sisi, au unataka michango?
Kuoa si kuongea tu nataka mke wa pili.vipi unaweza kuwahudimia wote wawili kumbuka ukosofu wa huduma unajizolea dhambi
Ndivyo mlivyoshauriana na shekhe wako?
utanifaa kabisa andaa gari na nyumba basi
Unasubiri nini?eep:
Unataka kujipunguzia furaha na siku za kuishi duniani? :nono::nono:
La ndugu yangu hujachelewa bado si umeshaona hapo juu candidate ndio kwanza wanatokeza na masharti yao.ongeza si unataka?ungekuwa unapenda hapo ningekushauri,kwakuwa unataka kukushauri hapo ni ngumu sana sababu nafsi yako inataka.