Naombeni tricks and tips za kumtunza mke wangu

Hongera kwa kujali muonekano wa mkeo in a positive way.

1.Hakikisha pesa ya kusolve kero ndogo ndogo ipo.
2. Ale mlo kamili kwa kiasi.
3. Mazoezi.
4. Invest kwenye skin care products nzuri na afuatilize.
5. Usimpe stress
6. Awe positive about life asiwe na visirani visirani na vinyongo.
Kuhusu kuzaa anaweza kuzaa watoto wengi tu kadri awezavyo na asifubae kama mnafuatiliza hivyo hapo juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom