Sitaki kutukanwa, nataka nishauriwe

Unataka kujipunguzia furaha na siku za kuishi duniani? :nono::nono:
 
Kwani mwanamke huwa anamkataza mme wake kuongeza mke?
Kaoa au kaolewa?

kwanza upokeaji wa hili jambo unatofautiana kati ya mmoja na mwingine.
pili hata kama ameolewa bado inapaswa kuelewana la sivyo kutumia ubabe kunaweza kuleta madhara makubwa ambayo yangeweza kuepukika.
 
Nataka kuongeza Mke wa Pili!
Mkuu kama unaweza kusoma hili graph (kuhusu sex drive ya wanaume na wanawake), zingatia kwenye maamuzi yako! (Note: x-axis, Age)
libido.jpg
 
Hakuna aja ya kuomba ruhsa toka kwa mke mkubwa. kawaida hakuna anaekubali. Pili hakuna aja ya kuangalia kipato chako maana huyo utakaeoa nae lazima aje na ubunifu wa kipato. We oa na kila kitu kitajipanga. Asili lazima itachukua nafasi.
 
sasa unatuomba sisi ndio tumekuwa mke wako? Haya kaka oa tu hata kumi ila next time umuulize huyo mkeo sio sisi, au unataka michango?
Ushauri ni bure kama kwako ni lazima ulipwe pole!
 
Kuoa si kuongea tu nataka mke wa pili.vipi unaweza kuwahudimia wote wawili kumbuka ukosofu wa huduma unajizolea dhambi

Ndio maana nimetaka kile ninachohisi nina uwezo nacho! Ikiwa naweza nyumba tatu ndogo itanishinda hii ya pili?
 
Wa kanza hakuridhishi? Kuwa makin ktk uchaguzi wako, usije kaa naye muda mfupi ukata kuoa watatu na pengine wa nne! Kila la kheri kaka!
 
ongeza si unataka?ungekuwa unapenda hapo ningekushauri,kwakuwa unataka kukushauri hapo ni ngumu sana sababu nafsi yako inataka.
La ndugu yangu hujachelewa bado si umeshaona hapo juu candidate ndio kwanza wanatokeza na masharti yao.
 
Back
Top Bottom