FaizaFoxy.
Mods wana mapenzi mabaya hii thread ilikuwa jukwaa la siasa wameitoa!
shut your buccal cavity
Ukiwa umelala hata maada zako zitakuwa za kulala, mara unajisikia kichefuchefu!! Sijui magamba wamekupa nini hadi ukaamua kufumba macho hata usione mabaya ya Magamba au na wewe ni miongoni mwao?
Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
kushika kalamu na kusaini ni ushujaa?? Labda nyumbani kwenu mtu akishika kalamu na kusaini anakuwa amefanya kitendo cha ushujaa, duh wewe sidhani km unajua maana ya ushujaa?? Uwe mara moja moja unapima pumba zako kabla ya kuzimwaga hadharanikumbe!!! Walienda na kumkabidhi mh. Rais kwa vicheko.. Wakadhani rais ataachana na mawazo ya waliowengi.! Isitishe yalipigiwa kura! Na wabunge waliobaki bungeni binafsi mi naona jk alifanya kitendo cha kishujaa ku sign ile kitu!
Wanabodi...
Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..
Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.
Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..
Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..
Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..
Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..
Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.
"Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza.."