Siri yafichuka CHADEMA kuhusu Katiba ya nchi

Mimi huwa sisomi mada za huyu mtu maana huwa anaandika utafikiri anaota au katoka usingizini. Piece of c.,.,.,.
 
Huyu mtu atakuwa kapungukiwa na akili mbili bila ya shaka yoyote, halafu nahisi atakuwa aliwahi tibiwa mi rembe.
 
FaizaFoxy.
Mods wana mapenzi mabaya hii thread ilikuwa jukwaa la siasa wameitoa!

Hapa JF hiyo ndio kawaida, siasa wao waishambulie CCM wamshambulie Kikwete bila hoja. Lakini hii siasa "to the core" wanaiondoa. This is too much mods na uongozi wa JF, lakini tupo.
 
"Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza.."
 
Ukiwa umelala hata maada zako zitakuwa za kulala, mara unajisikia kichefuchefu!! Sijui magamba wamekupa nini hadi ukaamua kufumba macho hata usione mabaya ya Magamba au na wewe ni miongoni mwao?
 
We mleta mada hebu kaa tafakari kwa makini sana utagundua kuwa upeandika upumbavu. ukishindwa kuugundua upumbavu ulioandika niombe nitakufafanulia.
 
lakini pia kama Mh Raisi aliona kuwa haikuweko haja ya kuongeza yale yaliyotolewa na CDM basi asinge wapokea Ikulu, na hata kama aliwapokea basi angewaeleza ukweli tu kuwa nilazima ni usaini na mambo mengine yataendelea,lakini inavyoonekana ni kuwa CDM walihaidiwa kitu tofauti na kilichotokea,
Labda yaonekana kama alivyosema mtoa mada kuwa Maoni yale ni ya watu wachache kutoka vyumbani mwao,mimi nadhani CDM inawakilisha kundi la wanachama wake na ni wasemaji juu ya hao wanachama wao .

Tunachokiomba ni kuwa haya mambo yaishe bila kumwaga damu,kwani ni bora uyasikie yakitokea kwa wengine na sio hapa kwetu

Tuache malumbano ya kutafuta nani mshindi kati ya CCM na CDM la sivyo huu mzaha mzaha utatumbua usaha pindi wananchi wakichoka

eeh mungu tuepushe na hili balaa
 
Ukiwa umelala hata maada zako zitakuwa za kulala, mara unajisikia kichefuchefu!! Sijui magamba wamekupa nini hadi ukaamua kufumba macho hata usione mabaya ya Magamba au na wewe ni miongoni mwao?

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
 
hapana, wewe unachanganya ccm b na chadema, ccm b ndo walipeleka rasimu ya katiba
 
Soma vizuri:

quote_icon.png
By FaizaFoxy

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
 
kumbe!!! Walienda na kumkabidhi mh. Rais kwa vicheko.. Wakadhani rais ataachana na mawazo ya waliowengi.! Isitishe yalipigiwa kura! Na wabunge waliobaki bungeni binafsi mi naona jk alifanya kitendo cha kishujaa ku sign ile kitu!
kushika kalamu na kusaini ni ushujaa?? Labda nyumbani kwenu mtu akishika kalamu na kusaini anakuwa amefanya kitendo cha ushujaa, duh wewe sidhani km unajua maana ya ushujaa?? Uwe mara moja moja unapima pumba zako kabla ya kuzimwaga hadharani
 
Wanabodi...

Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..

Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.

Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..

Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..

Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..

Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.

Hakuna kitu chochote ulichokijadili hapa - ni pumba tupu!
 
"Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza.."

Hawawezi kujibu hii wataishia kutoa matusi tu Magwanda bana!
 
Viongozi wa Chadema kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Dr. Slaa..

Mnajifungia pale Kinondoni Makao Makuu ya Chadema siku mbili nzima..

Mnaandika na kupanga mnayotaka kisha mnakwenda nayo Ikulu, kisha mnasema mmetumwa na wananchi..

Watanzania wapenda amani hawajawatuma kwenda Ikulu, mmepeleka mawazo yenu..
 
Wanabodi...

Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..

Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.

Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..

Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..

Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..

Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.

SIDHANI kwamba ww utakuwa unaelewa hata jinsi yako,SWALA zito kama katiba ya nchi unaliweka katika ushabiki wa kivyama,kati ya mambo ambayo nilitegemea yawaunganishe waTZ wote wawaze kwa muelekeo mmoja ni hili SWALA LA MCHAKATO WA KATIBA,ni ajbu na kweli kuna watu kama mtoa mada hii na mwenzie FF wamechukulia swala la katiba kama la kushindanisha nani ni nani kati ya VYAMA VYA KISIASA.
Ni aibu japo sijui umri wenu,ni aibu mno tena mno kwa jinsia yeyote kuwaza kwa kutumia moyo kufikiri juu ya mchakato wa kupata katiba ya NCHI...Zinduka ndugu yangu,katiba ni kwa faida yetu wote anasiwepo mtu wa kumiliki mchakato wa kuiandaa bila kujali wajibu na majukumu yake ndani ya nchi hii.AMKA AMKA aanza kuwaza kwa kutumia KICHWA acha kuwaza kwa MOYO.
Ungekuwa wa maana ungekuwa unatoa maoni ambayo unayaona ya kipuuzi kama yapo yaliyotolewa na CHADEMA juu ya mchakato na si kuleta ushabiki usio na manufaa kwako mwenyewe.
 
Wanabodi...

Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..

Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.

Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..

Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..

Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..

Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.

Mbona sikupati Ritz hivi wewe ni mdau wa sisiemu/kafu au .....????????????
 
Back
Top Bottom