Siri yafichuka CHADEMA kuhusu Katiba ya nchi

Viongozi wa Chadema kina Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Dr. Slaa..

Mnajifungia pale Kinondoni Makao Makuu ya Chadema siku mbili nzima..

Mnaandika na kupanga mnayotaka kisha mnakwenda nayo Ikulu, kisha mnasema mmetumwa na wananchi..

Watanzania wapenda amani hawajawatuma kwenda Ikulu, mmepeleka mawazo yenu..

Du!We jamaa ni kiboko.Ivi wanakulipa sh ngapi kufanya hii kazi ya kupost JF?
 
Wanabodi...

Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..

Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.

Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..

Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..

Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..

Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.

[h=1]Brain Diseases[/h]



The brain is the control center of the body. It controls thoughts, memory, speech and movement. It regulates the function of many organs. When the brain is healthy, it works quickly and automatically. However, when problems occur, the results can be devastating.
 
Nahisi aliyeandika hii habali akufikilia vizuri kaandika bila kufanya tafiti,watanzania tujifunze tuache ushe ushabiki kwenye masuala muhimu ya kuikomboa nchi yetu ,haswa swala ili la katiba
 
Embu acha ujina wewe,Slaa alikweoda kwenye kesi yake Arusha.Ndo shda hyo ya kuofuatlia news,subir wajinga wenzio wa sokon wakudanganye hadi ujue!
Ritz,

Hoja hii hawaijibu kabisa. Watakuja na matusi na kumvaa mleta hoja.

Maoni mliyatoa wapi? Chumbani.

Kwa kuongezea tu, Slaa aliona haya kwenda Ikulu. Zitto aliiponda akasema "nnaumwa" ntie nendeni tu. Hapo sasa!
 
Embu acha ujinga wewe,Slaa alikwenda kwenye kesi yake Arusha.Ndo shda hyo ya kuofuatlia news,subir wajinga wenzio wa sokon wakudanganye hadi ujue!
Ritz,

Hoja hii hawaijibu kabisa. Watakuja na matusi na kumvaa mleta hoja.

Maoni mliyatoa wapi? Chumbani.

Kwa kuongezea tu, Slaa aliona haya kwenda Ikulu. Zitto aliiponda akasema "nnaumwa" ntie nendeni tu. Hapo sasa!
 
Haya ndiyo madhara ya usimba na yanga kwenye timu ya Taifa ,tutafika ?Tunajadili katiba mpya kwa misingi ya vyama tutafika ?Mchezaji asishangiliwe kwa misingi ya club yake akiwa timu ya taifa.
Hatuhitaji kujua nani kaleta hoja,tunahitaji kujua ni hoja gani imeletwa ili tuijadili,tupe content tuzijadili.
 
Sometimes napata shida sana kukubali falsafa ya wengi wape !udhaifu wa wengi wasiojua na wasio taka kujua,umekuwa faraja kwa viongozi kuliko kwa manufaa ya nchi na wananchi wenyewe.
 
Kweli bana walifanyia wapi mikutano na wananchi kukusanya hayo maoni, kama hawajajifungia chumbani na kuandika rasimu ya katiba wanayotaka
 
Huyu RitzOne akili yake kweli huwa haina akili hata kidogo; bure kabisa, hamna kitu mle kwenye lile li-fuvu la huyu mwenzetu!!!!!!!
 
Nahisi aliyeandika hii habali akufikilia vizuri kaandika bila kufanya tafiti,watanzania tujifunze tuache ushe ushabiki kwenye masuala muhimu ya kuikomboa nchi yetu ,haswa swala ili la katiba

Uandishi wa baadhi ya wachangiaji hapa JF ni vituko!!!
 
Hivi Ritz na FaizaFoxy lazima wafanane kimawazo? Na lazima mawazo yao yawe kinyume na kinachofanywa na CDM? Wanadhani kuiponda CDM kutaitetea CCM na JK? Hata katika mambo yasiyohitaji ushabiki watu wengine kama hao wanaibuka na fikra chakavu zenye ukurutu wa kiitikadi. Kwa mtindo huo, kama Watanzania, hatutaweza kusonga mbele maana rushwa huitwa takrima na wizi huitwa ujasiriamali. Tunaambiwa Tanzania ni ya tatu duniani kuwa waombaji lakini jambo hilo halimsikiitishi Ritz wala FaizaFoxy ndiyo maana wanaleta mzaha hata kwenye mambo ya msingi kama katiba.
 
Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

You are wrong we bibi kizee, kwani CCM walimshirikisha nani,wale watoto wa chekechea aliowaleta Tambwe Hiza? Kwa taarifa yako, CDM knowswhat we people need in order to prosper, si km huyu ritz anayekurupuka kuandikaupupu simply ana posho za miaka 50 ya uhuru. Nasikia alikuwa kwenye mkeshaMbagala Zakhem.
 
Back
Top Bottom