Mnyika: CHADEMA tumependekeza Katiba ya JMT ya 1977 ifanyiwe Marekebisho kuwezesha Uchaguzi Huru na wa Haki

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,029
142,090
Katibu mkuu wa CHADEMA mh John Mnyika amesema ili tuwe na Uchaguzi mkuu na Uchaguzi wa Serikali za mitaa ulio Huru na Haki ni Lazima vifungu 13 vya Katiba ya JMT ya 1977 vifanyiwe marekebisho.

Mnyika amesema walishapeleka Mapendekezo yao kwa Rais wa JMT na kwa Waziiri mkuu.

Mnyika alikuwa akiongea na Waandishi wa habari ofisini kwake Ufipa St.

Mungu wa Mbinguni Ibariki CHADEMA😀
 
Back
Top Bottom