We mleta mada hebu kaa tafakari kwa makini sana utagundua kuwa upeandika upumbavu. ukishindwa kuugundua upumbavu ulioandika niombe nitakufafanulia.
Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..
Uandishi wa baadhi ya wachangiaji hapa JF ni vituko!!!
unamaanisha mashudu yanafaa kwa afya yako?mashudu
unamaanisha mashudu yanafaa kwa afya yako?mashudu
Tena inafaa kabisa iwekwe kule kwenye thread ya jokes/utani.FaizaFoxy.
Mods wana mapenzi mabaya hii thread ilikuwa jukwaa la siasa wameitoa!
You are wrong we bibi kizee, kwani CCM walimshirikisha nani,wale watoto wa chekechea aliowaleta Tambwe Hiza? Kwa taarifa yako, CDM knowswhat we people need in order to prosper, si km huyu ritz anayekurupuka kuandikaupupu simply ana posho za miaka 50 ya uhuru. Nasikia alikuwa kwenye mkeshaMbagala Zakhem.