Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha