mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 185
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu
Kwa sisi Wazanzibari ambao kiswahili ndio wenye kukimiliki kuna tofauti baina ya Ally na Ali na Mansur na Mansoor! Na hata Kiarabu ambacho kiswahili kimezaliwa na Lugha hiyo basi kuna utofauti hata wa kimaana katika maneno yale... Funguka wewe usitufanye tukazidi kuthibitisha kama JF kila siku zikisonga mbele inazidi kujionesha rangi yake halisi ya kwamba ni PAROKIA la Kidini. Naona sasa mumekua wabunifu munatumia majina ya kiislamu kuuchafua uislamu! Wewe Haija???