Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

Huwa nikiona uzi mzito kama huu alafu nikaangalia profile ya anaetoa huwa napata utata na maswali ya kujiuliza, pengine anaanzisha ID mpya kwa shughuli maalumu.

Join Date : 17th October 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0
 
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu

Wewe nawe usiwe unafikiria kwa kutumia kinyeo,tofautisha kati ya neno AL-SALAM na AS-SALAM ndo urudi na reasoning yako ya st mwana kwerekwe ungesoma madrasa kwa ubin wa haja ungejua tofaut kubwa iliyopo hapo!kujifanya mjuaji kumbe hamnazo!
 
Agreed. Na nimesoma eti vurugu za juzi za kuchoma baa na maduka vijana walikuwa wanakimbia na makreti ya bia !! That tells you a lot, yaani wanakimbia nazo kwenda kuzichimbia shimo au kuzimwaga matumboni mwao... !!! Serikali dhaifu ingetumia nguvu za vyombo vyake kama polisccm kama wanavyofanya against chadema, hawa wangeshapotezewa siku mingi sana...!! Sasa wanaula wa Chuya na kudhiirisha wazi duniani kuwa inji haina uongozi, mwenyewe yupo Oman kuuza madini na wanyama zaidi, na kuchukua advances zake !! Viongozi wengine kwa hali hii ya nchi ungesikia wamekatiza ziara za utalii na kurudi nyumbani haraka !!!!!!!
Uamsho ni kikundi cha uhamasishaji cha CUF kama ilivyo TOT kwa CCM, si unakumbuka TOT iliimba , wapinzani tuwalete tuwachane chane tuwatupe, ​ na hawakukemewa.
 
AL-SALAM? Jina lako tu limekuumbua! Ungekuwa umesalimika ungeandika AS-SALAAM!

Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu
Hadija the propaganda you're spreading are you getting paid or you're doing this for fun?

It's a pity our leaders have stooped so low to using such cheap propaganda from people like you

Don't get me wrong, I ain't ruling out the possibility that the UAMSHO cleric is in the hideout but it's still mere speculation
 
hakuna ubaya hata kama watanganyika,waunguja na wapemba wote wakiwa cuf...ubaya ni kuchoma maskani za ccm...kukatisha uhai wa ustaadh Said wakati naye ana haki ya kuishi kama wengine...

Kweli vita haina macho wamemuua mwislam mwenzao naona walifikiri ni mkristo.
 
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu
Hadija you're not a Muslim and we can't sit back and let you drag the muslim name through the mud.

We seem to be oblivious of the divide and rule tactic the CCM government is using
 
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu
mmkuu utakuta huyo ni mtu mzima na familia yake Anaiongoza kwiwkwikwwiwkwiwkwiwkwi
 
Huyo ndugu yako kwa hakika kama sio CCM mhafidhina ni Chadema!!! taarifa hizo ni za kichochezi! lengo kuu ni kutaka kuwagonganisha viongozi wa Uamsho na wafuasi wao!!! siasa za divide and rule!!! siasa za maji taka!!!!
Hivi mkuu unakasirika hapo ni kitu gani? Mbona jamaa kaongea vizuri tu! mimi mwenyewe ni Muslim lakini kinachotokea Sikpendi na siungi mkono!
 
Big Up wana uamsho!
ebu wanyooshen hao wamagamba wa huko visiwan adi muikomboe nchi yenu!
 
Huwa nikiona uzi mzito kama huu alafu nikaangalia profile ya anaetoa huwa napata utata na maswali ya kujiuliza, pengine anaanzisha ID mpya kwa shughuli maalumu.

Join Date : 17th October 2012
Posts : 5
Rep Power : 302
Likes Received0
Likes Given0

kalagha bao ulitakaje sasa?unadhani watu jamii hatujuani?identity yangu humu ni gold ila sikupenda kujulikana na ukweli ndio huo we angalia lini nimejoin na sio ujumbe ila ukweli ntauweka wazi nakamilisha tu leo watamwamishia wapi niwajuze kwa majina ya wote wana mtandao wa uamsho huku wakijafanya sio
 
Cuf ni chama cha haki sawa kwa wote!!! sio chama cha kufitinisha watu!!!! hata kama Uamsho wote ni mashabiki wa CUF kuna ubaya gani? ni kinyume cha katiba? mbona wagalatia wote mlihimizwa Makanisani kuipigia kura Chadema uchaguzi wa 2010?
Ukweli utatuweka huru, mimi ni mkristo na naipenda sana dini yangu, na hata muda huu nakwenda kusali, nataka niulize ni wapi ilitamkwa wakristo wamchague mkristo mwenzao? Kipindi chote cha uchaguzi ule mimi nilikuwa nahudhuria ibada sikuwahi kumsikia mchungaji, askofu au kiöngozi yeyote wa dini yetu akihimiza watu kumnyima kura kikwete eti kwa kuwa ni muislam! Mnataka kusema wakristo waliasi dini zao mpaka kikwete akashinda? Au mna mnamaana alichaguliwa na waislamu peke yake? Hivi nyinyi watu mbona mna tabia za kibaguzi namna hiyo?
 
Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka kwa ndugu yangu wa karibu anayeishi zanzibar ni kwamba tukio la kutoonekana kwa kiongozi huyo wanayedai katekwa ni kwamba ni mpango maalum wa viongozi wa kikundi hicho kuwa wamfiche ili wapate kisingizio cha kufanya uharibifu zanzibar..na kikao hicho kilifanyika huku kiongozi mmmoja aliyesimamishwa kazi na rais shein akiwemo.hivyo wana uamsho wa ndani zaidi wanajua kuhusu tukio hili na kiongozi wao yupo anaangalia yanayojili huko.sasa wana uamsho wanatumia nafasi hii ili waweze kufanya uvunjifu wa amani eti kudai muungano uvunjike...pia kuna mtu anaitwa anajulikana kwa majina kifupi h.g huyu mwanazuoni elimu haijamsaidia ni hatari habari zaidi ntawajuza ndio wanasaidia fedha kutoka kwa wafadhili ili zitumike kufanya uhaini zanziabar...ntawarudia baadae..nyumba aliyokuwa amewekwa pia kaamishwa baada ya kuisi watashtukiwa.nawasirisha

nawaletea list ya viongozi ambao ni wana UAMSHO huku wakijifanya kuchukia uamsho ila ndio supporters wakuu na wafadhili wakuu...
 
Hadija you're not a Muslim and we can't sit back and let you drag the muslim name through the mud.

We seem to be oblivious of the divide and rule tactic the CCM government is using

Most Muslims accept as a Muslim anyone who has publicly pronounced the Shahadah (declaration of faith) which states, "I testify that there is no god except for the God [Allah], and I testify that Muhammad is the Messenger of God." Their basic religious practices are enumerated in the Five Pillars of Islam, which, in addition to Shahadah, consist of daily prayers (salat), fasting during Ramadan (sawm), almsgiving (zakat), and the pilgrimage to Mecca (hajj) at least once in a lifetime.
who are you to judge them?
 
Jamani waislamu wenzangu MNATUMIWA bila kujijua, TUACHE UJINGA, TUAMKE; wana uamsho hawapiganii DINI wana lao. Ole wenu mtaibuka kuzimu baada ya kupinga mapanga wenzenu na ninyi kupata panga za kutosha then kifo KISHA mnawakuta wana uamsho ndio wenyeji wenu motoni ...; nyote kwa kushiriki matendo dhalimu kwishne - unaacha wanao wanateseka. Inalipa???
 
Back
Top Bottom