Siri nzito kuhusu kutoonekana kwa kiongozi wa UAMSHO Zanzibar

Cuf ni chama cha haki sawa kwa wote!!! sio chama cha kufitinisha watu!!!! hata kama Uamsho wote ni mashabiki wa CUF kuna ubaya gani? ni kinyume cha katiba? mbona wagalatia wote mlihimizwa Makanisani kuipigia kura Chadema uchaguzi wa 2010?
we umechanganyikiwa nini? wapi umeckia makanisani wanasema wapige kura chadema?? nyie ndo mliambiwa mmpigie kura kilaza...sasa yamewatokea puani...acha kuropoka tu...hukumbuki kuna hadi askofu mmoja alitamka kuwa RUBANI ni chaguo la mungu??
 
inaweza ikawa ni mpango wa UHAMSHO kufanya hivyo, lakini kwa lengo gani..
kwa lengo la kulinda usalama wa huyo kiongozi au kuendeleza harakati akiwa mafichoni...
haya mambo yanahitaji busara sana kuyapambanua....

jiuliza kwanza harakati hizi ni za Siasa au Dini na kwa maslahi yapi .... na kwanini wasitumie njia
zingine kudai haki zao.
 
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....[/

ONA AKILI ZAKO UNAWAZA VYAKULA TU UNAACHA KUSEMA VITABU ?ASA CHOKOLATE ITAKUFIKISHA WAPI WEWE.. MASUALA MADOGO YANAKUHUMIZA KICHWA UNAKAA KUYATAFAKARI THINK BIG AND RICH DADDY & POOR DADDY.

Usilo lijua ni sawa na usiku wa kiza
 
hakuna ubaya hata kama watanganyika,waunguja na wapemba wote wakiwa cuf...ubaya ni kuchoma maskani za ccm...kukatisha uhai wa ustaadh Said wakati naye ana haki ya kuishi kama wengine...

Walipochinjwa mamia ya wafuasi wa CUF mwaka 2001 hawakuwa na haki ya kuishi kama wengine?
 
we umechanganyikiwa nini? wapi umeckia makanisani wanasema wapige kura chadema?? nyie ndo mliambiwa mmpigie kura kilaza...sasa yamewatokea puani...acha kuropoka tu...hukumbuki kuna hadi askofu mmoja alitamka kuwa RUBANI ni chaguo la mungu??

Wewe ndio uliechanganyikiwa maana hata historia ina kupiga chenga!! Maaskofu na wachungaji walimtangaza Kikwete ni chaguo la Mungu uchaguzi mkuu wa 2005 lakini wa mwaka 2010 walimtangaza Slaa wa chadema kuwa ndio Chaguo lao!!! unataka ushahidi?
 
kwa hiyo huyo jk msiyemtaka alipigiwa kura na waislamu tu??mbona sasa mnaandamana na anawapiga marungu??au mnataka ponda awe raisi?
 
Vip Ally na Ali, mansur na mansoor.Reasoning zetu bwana ndo maana hawa wakristo huwa wanatuita sisi ni wa madrasa tu

" aa sister du nawe! basi ndio Al Salaam na As Salaam ..... au na wewe hadija na Khadija??"
 
Walipochinjwa mamia ya wafuasi wa CUF mwaka 2001 hawakuwa na haki ya kuishi kama wengine?
nani aliyekuambia kwamba hawakuwa na haki....huwezi kuhubiri haki sawa alafu unatoa uhai wa mwingine ni kinyume kabisa na kauli mbiu ya cuf......na waliofanya hivi ni wafuasi wa uamsho sio wa cuf au unataka kuniaminisha kwamba cuf na uamsho ni kitu kimoja huwezi kuvitengenisha
 
hivi ndo mnavo fundishwa kanisani kuzua uongo na uongo then uandikwe na kundikwa lendo kufanya dhulma
vurugu za zanzibar zimesababishwa na kutekwa nyara na dola...KWA KIONGOZI WA UISLAM fARID hADI
wanajaribu kukanusha lakini ni wao...
tuchukue mfano kadinali pengo atekwe nyara na dola hali itakuwa vipi hapa?
acheni dhulma nchii hii yetu sote, kila mmoja ana haki sawa na mwenzake
hakuna aliye bora kuliko mwenzake wakati wa kujiona kwamba sie tupo bora umepita
keemeni dhula nchi itakaa salama lakini kinyume chake yanayotokea lebanon, nigeria na kwengineko si ajabu yakatokea hapa
inakuwaje mtu anakojolea quran....makanisa na wafuasi wao hakuna anaejali wala kukemea? BALI WANAFURAHIA ?
yalipo chomwa makanisa masheikh walikemea na kulaani...
inaonekana hali hii inapendelewa na kuchochewa
juzi kuna mtoto ana soma school ya katoliki forodhani alikua likizo ni jirani alakuja nyumbani basi alikua akimweleza mtoto wangu kuwa wanaambiwa wasipake perfum fulani kwa sababu imeendikwa kiarabu !!! ati ina majini!!! HUYU YUPO FORM 6 NI MKUBWA KIUMRI.
yule mtoto wangu akamwambia waongo...basi huyo mtoto anasema mambo mengi tunayoambiwa kuhusu uislam ni uongo ..tunafundishwa mambo mengi ya uongo lakini mie naona tofauti na tabia nzuri za majirani zangu ambao ni waislam
kuna propaganda chafu na brain wash katika SCHOOL ZA CHEKECHEA NA PRIMARY AMBAPO WATOTO HULETEWA CHOKLATE NA KUAMBIWA ZINATOKA KWA YESU NA PIA HULETEWA KITU KIBOVU AMA CHAKULA KILICHOOZA NA KUAMBIWA AMELETA MUHAAMAD WA WAISLAM...HIII NDIO HALI HALISI ..NA NDIO KWA WALE WASIOFIKIRI HUYACHUKULIA NI KWELI...
LAKINI CHA KUFURAHISHA HUYU MTOTO JIRANI AMENIOMBA NIMNUNULIE QURAAN NA TAFSIRI YAKE NA VITABU KUHUSU UISLAM....BAADA KUONA ANADANGANYWA
ALIKUA ANAHOJI INAKUWAJE MASISTA WANAVAA HIJAB ? LAKINI WAISLAM WANAPOVAA WANAKEJELIWA ? AKAULIZA MBONA WALE MAPADRE WANAVAA KANZU KAMA WAISLAM ? LAKINI WAISLAM WAKIVAA WANAKEJELIWA ?
NAAMINI MWANGA WA UKWELI ATAUONA BILA YA KUSHAWISHIWA...

SASA WEWE NI KATIKA HAO WAONGO WALO FUNDISHWA NA KANISA HIVYO MATUNDA YAKE NI CHUKI KATI YA WANA DINI HIZI
NA SIDHANI KAMA KUNA KUELEWANA AMA KUAMINIANA TENA KATIKA NCHI HII
MPAKA WANAODHULUMU WAKUBALI KWELI TUMEDHULUMU....

ha ha haaaa....nani huyo anagawa chokoleti, Yesu? uuuuuuwiiii mbavu zangu....hiyo xul itakuwa na sera zake za ajabuajabu kama za Mohammed Trans...mie Yesu ninayemjua anafanya vitu vya maana na vikubwa mno in people's lives na sio habari za kijinga za kugawa chokoleti. xul gani hiyo kwanza? perfume kuandikwa kiarabu sio ishu, ishu ni kwamba zinginezo zina harufu kali mno so zina madhara kiafya. na hizo zenye harufu kali mno niliwahi kuelezwa ukienda maeneo yaliyo na ushirikina kwa sana, unapigwa mweleka while u r solo. sasa kwani hizo perfum zimetengenezwa na dini au wafanyabiashara?

alafu eti tunadanganywa, nani kakuhakikishia hilo?
...vitu vingine we really have to think deep about
 
Back
Top Bottom