The Stig
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 1,113
- 1,105
Aje yeyote uamuzi upo kwa wananchi
Angalizo: Uamuzi uko kwa Tume ya Uchaguzi
Aje yeyote uamuzi upo kwa wananchi
Jana nilikuwa usa river,wapiga kura wengi waliosikia kuwa mtoto wa marehemu mbunge Sumari, Sioi Sumari na mtoto wa mkuu wa zamani wa jeshi meja Sarakikya,willy sarakikya ni dalili za kuwadharau watu wengine wa jamii hiyo.wamesema ubunge wa meru si ufalme wa kurithishana kwa familia zilizoshiba wakati wowote.

hawa madogo wanaishi wapi? wanafikiri bado siasa za kurishishana zinaendelea tu.Jana nilikuwa usa river,wapiga kura wengi waliosikia kuwa mtoto wa marehemu mbunge Sumari, Sioi Sumari na mtoto wa mkuu wa zamani wa jeshi meja Sarakikya,willy sarakikya ni dalili za kuwadharau watu wengine wa jamii hiyo.wamesema ubunge wa meru si ufalme wa kurithishana kwa familia zilizoshiba wakati wowote.
Huyo Mtoto kaoa Mtoto wa Lowassa?
Hivi kweli baba yako kafa hata siku ngapi bado wewe umeshawahi kuchukua fomu?
Kwa hiyo amefurahia kufa kwa mzazi wake siyo?
Hilo sasa ni jimbo la CHADEMA, Chagueni CHADEMA CHAGUA MAENDELEO.
hoja mfu ni ipi kiongozi,
ninani asiyejua kuwa SOLOMONI SUMARI ni mkwe wa LOWASA?tunakumbuka uchaguzi mkuu JEREMIA SUMARI ambae ni baba wa SOLOMONI,alikua hoi anaumwa na aliye simamia na kufanya kampeni ni lowasa,kama aliweza kumfanyia kampeni mtu aliye hoi kitandani na kwamsaada wa kichakacha akashinda,atashindwa kuchakachua kwenye kura za maoni ilimradi mkwe apate??
Kwenye uchaguzi mdogo, huwa hakuna ule utaratibu wa kwenda kupiga kura za maoni kila kata kwa sababu ya ufinyu wa muda na pia gharama za uchaguzi.
Wanaopiga kura za maoni ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jimbo [sawa na jinsi Mchambuzi alivyosema vikao husika vitateua/pendekeza jina la mgombea]. Then litakwenda kwenye vikao vya wilaya na mkoa, finally mwenye mamlaka ya mwisho ya uteuzi ni CC ambayo hupitia madokezo/maelezo ya vikao vya chini ili kufanya maamuzi.
Hivi kweli baba yako kafa hata siku ngapi bado wewe umeshawahi kuchukua fomu?
Kwa hiyo amefurahia kufa kwa mzazi wake siyo?
Hilo sasa ni jimbo la CHADEMA, Chagueni CHADEMA CHAGUA MAENDELEO.
Ni haki yao kikatiba, tuwaache wana-Arumeru waamue wanaemtaka na hii ndo siasa. CDM iwetayari kupambana na yeyote Mpaka ipate ushindi.