Kwani Hayati Lowassa ni Mmeru au Mmasai?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,982
Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja

Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake

Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system

Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa

Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
 
Hatutapata Mwanasiasa Mtulivu kama Edward

Kapigwa madongo na katukanwa sana na watu wa pande zote za Siasa lakini alisalia kimya akipiga Siasa zake kimya kimya kwa mikakati na kudumisha umaarufu wake pamoja na kashfa zote zilizomuandama

Akina Lissu na Zitto wajifunze …Siasa sio uwezo wa kuongea tu
 
Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa lowasa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake wali hamia mondoli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyo yataja

Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijna wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae sioi sumari ambae pia alikuwa alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hvyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti ake

Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Tilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system

Anyway baada ya Hayati Lowasa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sintoka Tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa

Lowasa alikuwa ndio icone ya kasikazini na hatatokeaa Tena jeembe Kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umeporeza ushawishi wa kisiasa
R.I.P comrade ENL
 
Ole sendeka naye akashadidia kumsema mmasai mwenzake kuwa si mmasai bali ni mmeru ili tu akose kura eneo la umasaini. Lowassa ilikuwa azoe kura zote za wamasai
HV alikuja kuficha wapi sura yake

Kuna tabia moja kwa wamasai wasipendane kabsa imagine sendeka anamuaribia lowasa na kumuita mmeu wkt siyo kweli
 
Hatutapata Mwanasiasa Mtulivu kama Edward

Kapigwa madongo na katukanwa sana na watu wa pande zote za Siasa lakini alisalia kimya akipiga Siasa zake kimya kimya kwa mikakati na kudumisha umaarufu wake pamoja na kashfa zote zilizomuandama

Akina Lissu na Zitto wajifunze …Siasa sio uwezo wa kuongea tu
ukiona mtu yupo kimya ujue alikosea kwel , tusijitoe ufaham jaman , uongo aupingwi kwa kukaa kimya
 
kabil
Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja

Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake

Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system

Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa

Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
Umeambiwa ni masai, unachimbua asili ilkusaidie nini. We asili yako ni kabila gani. We umeona wapi wameru ni wafugaji. Acha ushambenga.
 
Ole sendeka naye akashadidia kumsema mmasai mwenzake kuwa si mmasai bali ni mmeru ili tu akose kura eneo la umasaini. Lowassa ilikuwa azoe kura zote za wamasai
Kuna kipindi fulni Hayati Lowassa alizushiwa kuwa siyo mmasai Wala nini. Ni mtu kutoka kabila la Wameru wanaopatika Arumeru Magharib yaani huko, USA, tengeru, Maji ya Chai, Ndoombo, Katiti, Bangata, Kwa pole, Shangarai, Denishi, Valeska na Kingori ndiko unasaba wa Lowassa unatokeaa. Ya Kwamba wazazi wake walihamia Monduli kutafuta malisho ya mifugo Yao kufatia ukame na migogoro ya ardhi ktk maeneo hayo niliyoyataja

Hata hvyo binti ake dada Pamela ameolewa na kijana wa aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha marehemu Jeremiah Sumari kijana aitwae Sioi Sumari ambae pia alipata kuwa mwanasheria na afisa wa bank ya standard chartered hivyo mzee akaozesha kwa kabila lake binti yake

Kijana huo aliingia mgogoro na jiwe ndipo jiwe akawatupa gerezani yeye na aliyewahi kuwa commissioner wa TRA ndugu Harry Kitilya ktk kesi ya uhujumu uchumi na kujipatia pesa au kuchota kupitia kampuni yao ya enterprises growth marketing system

Anyway baada ya Hayati Lowassa kuibiwa kura zake na kina jiwe na chama chake sijawai Wala sitokaa tena kwenda kupiga foleni kuchaguwa viongozi hata awe mwanangu sitoshiriki uchaguzi wowote nilikata tamaa na nimekata tamaaa

Lowassa alikuwa ndio icone ya Kasikazini na hatatokeaa tena jeembe kama yeye ktk ukanda huo ambako kwa Sasa umepoteza ushawishi wa kisiasa.
Baba Mmasai, mama Mmeru
 
Back
Top Bottom