Siku ikipita bila kuingia JF huwa unajisikiaje wewe?

Jg ni poa aseee...hainaga mori wala kwikwi...ni fulu yani...naje pande zako jombaa???tunapishana KISE....KISENGEREMA...nahisi tumekua busy asee...mamaa husny yuko njema?
Lol hata mi nipo nawaona kise...kisela
 
yani mi huwa nahsi nakosa update za mambo mengi, as now days nategemea hli jukwaa kuliko any other means of info. Jamii hoyeeeeee(kwa sauti ya kukwaruza kwaruza kama ya Malchela au Anna kilango)
 
Jg ni poa aseee...hainaga mori wala kwikwi...ni fulu yani...naje pande zako jombaa???tunapishana KISE....KISEN.G.E...nahisi tumekua busy asee...mamaa husny yuko njema?

Yupo njema sana, na probably mwisho wa mwezi huu ndiyo tukawa couples.
Wazee wa familia yangu wamenishauri tufunge ya kimyakimya, na hasa walipoona ile mivutano ya kamati.
Aidha imependekezwa kutoka Jf wataalikwa a certain members wasiozidi 30.
So 15 ladies with 15 gentles.
Piga garagaza ua wewe umo katika 10 out of 15 waliokwisha orodheshwa.
Further details nitakuletea.
 
Mi pia nimo.....
 
Pilau litakuwepo? Kama litakuwepo nitakula pilau na mrija.
 
Yupo njema sana, na probably mwisho wa mwezi huu ndiyo tukawa couples.
Wazee wa familia yangu wamenishauri tufunge ya kimyakimya, na hasa walipoona ile mivutano ya kamati.
Aidha imependekezwa kutoka Jf wataalikwa a certain members wasiozidi 30.
So 15 ladies with 15 gentles.
Piga garagaza ua wewe umo katika 10 out of 15 waliokwisha orodheshwa.
Further details nitakuletea.

ooh...!habari njema izo!umeimalizia vema siku yangu ya leo...nimefurahia pia uteuzi wenu,ujue ile kamati ilikua inatuchanganya kiukweli!..nita kuPM kukuelezea mchango wangu kwa harusi yako!..mana humu wachawi wengi wakiwakilishwa na ERICKY (Braza angu!)
 
Bagah mi mchawi??
Hujui hata harusi ya kimyakimya mi bd muhusika??
Hata rais akistaafu bd anaheshmika...oooh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom