Siku ikipita bila kuingia JF huwa unajisikiaje wewe?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Mimi siku ikipita bila kuchungulia yaliyojiri ndani ya hili jukwaa letu huwa nahisi kama nimekosa kitu muhimu sana ktk maisha yangu. Huwa najihisi mkiwa, mnyonge na nakosa furaha siku hiyo. Je hali huwa inakuwaje kwako ukilikosa hili jukwaa let say per day,week or month?.
 
mkuu umejuaje asee...toka jana ichi kikompyuta cha mkononi kilinigomea...
nilikua mgonjwa,nilihisi kuna kitu kimepungua bana!umeniwahi kidogo tu nilitaka kuja na uzi kama huo huo...
 
Mkuu, nilienda kijiji fulani ambacho huko hakuna network ndio nikaexperience haya machungu ya kulikosa hili jukwaa. E bana ee ni noma inauma sana we acha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom