Siku ikipita bila kuingia JF huwa unajisikiaje wewe?

sina uhakika braza mana nachek orodha hapa kanitumia Jg, sijakuona!..labda izo tano zilizobaki!.
ushindani umekua juu kwa kweli!

Hahahahahaaa hapo mnataka harusi isiwepo...yan varangati lake hamtaliweza coz lazma niingie...
 
Weeee....unamtakia nini shem wangu??/
Aisee look very...
Unashtuka nini wewe?! Na wewe pia unashauriwa kuvaa condom wakati wa kula chakula ili kuzuia bacteria kuingia mdomoni hasa wakati mnapokula pilau lenu!
 
Unashtuka nini wewe?! Na wewe pia unashauriwa kuvaa condom wakati wa kula chakula ili kuzuia bacteria kuingia mdomoni hasa wakati mnapokula pilau lenu!
Tunaambiwa eti...Kama unampenda utamlinda kwa kuvaa condom kila wakati....lol hadi ofcn...town..etc
 
Jg ni poa aseee...hainaga mori wala kwikwi...ni fulu yani...naje pande zako jombaa???tunapishana KISE....KISEN.G.E...nahisi tumekua busy asee...mamaa husny yuko njema?

Mammiy yuko poa labda nikuibie siri kidogo,
kufuatia ile mivutano ya kamati za Jf about function, wazee wa familia yangu walikua wanafatilia steps by stemps (kitu ambacho hata mie sikua najua)
Walikaa kikao cha dharura wakatoka na option kwamba function ifanyike kwa faragha mwisho wa mwezi April .
Na Jf itawakilishwa na Members wasiozidi 30.
15 ladies with 15 gentles.
Jina lako limo usisumbuke kuniuliza.
Pia according to security purpose ya kimyakimya palitokea tetesi ya jamaa flaniflani kutaka ku'arange plot ya kum'Harrison bwana Harusi siku ya sherehe.
 
Mkuu umekimbilia huku?
Wenzio tunakusubilia kule kwenye thread yako ya "ubikira"kumbe upo huku.
Haya upesi rudi ukamalizane nao ndio uje na huku.Umelikoroga na ulinywe sasa.
Ebooooo!!
hahahaaaaaaaaaa mbavu zangu
 
Mi pia nimo.....

B52 tena ! Ukose? Hakunaga!
Incase itokee unaumwa siku hiyo tuta'postpone mnuso,
o/wise meani' ya VIP haitakua na maana, ngoja kwanza nicheck na Shem wenu kani'call mida hii hajisikii vema.
 
Nahisi kuugua..

Nini tena Mammiy? Utanisababishia preasure na mausiku haya!
Hebu nambie dia nini mbaya ?
Mi nakumbuka mida ile nimekukuta jikoni ukaniambia harufu ya Vitunguu inaku'disturb, nikavihamisha Vitunguu vyote nikavipeleka stoo, en'hee saa hizi ? Au tukaongelee room ?
 
Sikumbuki kwa siku naingia mara ngapi jf. Yaani kila nikipata nafasi baada ya kazi hata kama ni dkk 5 tu nitahakikisha nazitumia hapa jf! Jf kwangu ni zaidi ya ulevi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom