Siku ikipita bila kuingia JF huwa unajisikiaje wewe?

mi nisipoingia humu inamaana ninakua busy hivyo kama niko busy wala muda wa kuwaza JF sina.
Naiwaza jf nikiwa niko na muda wa kuwepo hapa,nikiwa na mupenzi namuwaza mupenzi nikiwa shule nawaza masomo nikiwa job nawaza kazi nikiwa sehemu ya starehe nawaza starehe,nikiwa holiday saint tropez nawaza holiday,nikiwa na mashoga zangu nawaza umbea mbalimbali wanaonidokeza na mambo yetu mengine hivyo muda wa kuugua nikiwa siko jf bado sijaupata.

Nyie mnaougua hamna maisha mengine mbali ya maisha ya jamvini ?au mnajiendekeza tu.
 
Mkuu, nilienda kijiji fulani ambacho huko hakuna network ndio nikaexperience haya machungu ya kulikosa hili jukwaa. E bana ee ni noma inauma sana we acha tu.

unanitisha maana siku si ntaenda mikoani asee...si ntapata kaugonjwa ka-moyo!
 
Manaake kama sina kazi yeyote(nikohuru) sina pesa ya kifurushi huwa moyo unanikereketa,
Ina maana mkuu huwa unafulia vibaya sana? Nipe namba yako niwe nakutumia matrion ya pesa kwa m-pesa au tigo pesa sasa hivi!
 
mi nisipoingia humu inamaana ninakua busy hivyo kama niko busy wala muda wa kuwaza JF sina.
Naiwaza jf nikiwa niko na muda wa kuwepo hapa,nikiwa na mupenzi namuwaza mupenzi nikiwa shule nawaza masomo nikiwa job nawaza kazi nikiwa sehemu ya starehe nawaza starehe,nikiwa holiday saint tropez nawaza holiday,nikiwa na mashoga zangu nawaza umbea mbalimbali wanaonidokeza na mambo yetu mengine hivyo muda wa kuugua nikiwa siko jf bado sijaupata.

Nyie mnaougua hamna maisha mengine mbali ya maisha ya jamvini ?au mnajiendekeza tu.
Umesahau usagaji mkuu!
 
Kuna siku simu iligoma kuunganisha net, siku hiyo nilikuwa mnyonge sana. Usiku sikupata usingizi kabisa, asubuhi na mapema ya siku iliyofuata niliwahi Internet Cafe.
 
mi nisipoingia humu inamaana ninakua busy hivyo kama niko busy wala muda wa kuwaza JF sina.
Naiwaza jf nikiwa niko na muda wa kuwepo hapa,nikiwa na mupenzi namuwaza mupenzi nikiwa shule nawaza masomo nikiwa job nawaza kazi nikiwa sehemu ya starehe nawaza starehe,nikiwa holiday saint tropez nawaza holiday,nikiwa na mashoga zangu nawaza umbea mbalimbali wanaonidokeza na mambo yetu mengine hivyo muda wa kuugua nikiwa siko jf bado sijaupata.

Nyie mnaougua hamna maisha mengine mbali ya maisha ya jamvini ?au mnajiendekeza tu.

umetunukuu vibaya...hakuna aliyesema anawaza Jf tu...hayo yote uliotaja hata sisi tunayafanya CHEUSI...tunachokisema ni kuwa siku ikipita hatujaingia humu wengine tunahisi utofauti...
 
asante mkuu kwa ufafanuzi nimekuelewa.
 
Jogoo nililonalo ni la bata,nilikua na la kuku pia but siku 1 lilinizingua likawika saa 7 usiku nikaamua kulivisha ushanga mwekundu.
Sasa limebaki la bata tuu.
Hivi na la bata linawikaga???
Hilo ndio lizuri sasa pia ni lirefu. Nitumie na mimi hilo jogoo kwa m-pesa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom