Shibuda kufukuzwa CHADEMA

Kwangu mimi hii ni angalizo kwa CDM kuwa makini na wote wanaohamia kutoka CCM kwani sio wote watatufaa wengine wamekuja CDM kwa hasira ya kunyimwa nafasi ktk chama chao na wanatumia hasira kuja upinzani huku nyoyo na itikadi zao bado ziko Magambani..next time watu wa namna hii wapewe majukumu ya kujenga chama kabla ya kuwapa nafasi muhimu watatuvuruga kama viongozi wamo humu naomba awafanyie kazi maoni yetu.

Kwa kifupi Shibuda hatufai tumepanda safina moja na chatu atatumeza.
 
Demokrasia hipo hila hii ya Chibuda imepitiliza maana hata haiwezi kuingia akilini mambo anayoyasema. Jibu wanamageuzi M4C watumie muda kidogo tu kujadili swala hili na jibu liko wazi kama ambavyo jimbo hilo lilivyo wazi.

CHADEMA msipochukua hatua au maamuzi magumu basi umma wa watanzania hautawaamini tena kuwapa Dola maana jibu la huyu jamaa liko wazi. M4C msitumie muda mwingi na huyu mtu na kamati fanyeni formalities tu ili kila mmoja ajue Chibuda katendewa haki. Huyu mtu ni adui mkubwa wa mageuzi halisi na hafai kabisa na CHADEMA mwogopeni hiki ni kirus hatari sana.

Watanzania wa leo wameshaona Mwanga toka CHEDEMA , hata wale ambao sio wanachama wa CHADEMA kama mimi nimeshaona tuendako na matumaini yaliyoko mbele yetu. Katiba mpya na Uongozi mpya wenye dhamila ya dhati.

MUNGU IBARIKI CHADEMA ( M4C) MUNGU IBARIKI TANZANIA NA 2015 CCM IWE HITORIA KTK TAIFA LENYE UTAJIRI MKUBWA.
 
Napenda kutoa wito wa wana Chadema kwamba huyu mtu si wakuacha ndani ya Chama, Ubunge wa maswa usije kutufanya tukaonekana watumwa, hivi niiulize tuliwashughulikia madiwani wa Arusha kwa sababu ya tamaa zao na kuvunja misingi ya chama na ukiukwaji wa taratibu za chama. Leo hii hatuwezi kushindwa kumshuhulikia Shibuda mtu ambae wanamaswa wenyewe wanajua ni mchumia tumbo. Na mpaka sasa Arusha tumechukua madiwani wa ccm ni wana Chadema.

Napendekeza Shibuda kuvuliwa uwanachama kwani kuwachwa kwa huyu mtu anaweza kusababisha cancer kwenye chama nadhani wote tunajua huenda kuna kina shibuda wengine lakini wanasubiri muda muwafaka ili wavuruge malengo yetu ya 2015. dawa ni kusafisha sasa kwani sababu tunazo, na ukweli upo kwamba mtu huyu hatufai na watanzania wanaelewa
 
Aliposema mh:wenje kuwajamaa huyunimrohowanyama hakudanganya jambolakujadili ni kwamba hataposho anayopenda na kutetea badohaitoshi kununua nyaakala.nahisia anatatizola akiripia siyobule sasa inatosha arudi alikotoka
 
Hii kadhia ya Shibuda ni rahisi sana kumalizwa na wala hahitaji uongozi wa juu wa CHADEMA kunyanyua mkono. BAVICHA wamtangaze SHIBUDA kuwa ni enemy of the M4C. Basi. Kila mahali akienda watu wamwambie wewe ni enemy.

Mkuu FJM mimi binafsi sikuwa napendelea kufukuzwa kwa Shibuda tangu awali alipoonekana kwenda kinyume na matarajio ya chama, nilkiamini kwamba baada ya muda atajirekebisha kwakuwa alikuwa bado na uccm kwahiyo ingemchukua muda kidogo kuzoea mazingira mapya ya chadema (upinzani).

Lakini kwa hali ilivyo na kwa jinsi anavyoonekana kuendelea kukidhalilisha chama na kusababisha mtafaruku miongoni mwa wanachama na wananchi, sasa namimi kwa moyo mmoja ninaushauri uongozi wa Chadema umvue uanachama mara moja.

Aliyofanya yanatosha, na kwakuwa tunahitaji mshikamano zaidi huko tunakokwenda, kwa ajili ya maslahi ya chama na wananchi wanaokiamini chama chetu ni muhimu sana Shibuda akatimuliwa ili tuendelee kujipanga kukabiliana na ccm tukiwa huru. Shibuda amejidhihirisha pasi na shaka kwamba ni kirusi cha gamba ndani ya chadema, kufukuzwa kwake ndio unafuu kwa mustakabali wa chama.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: FJM
Huyu dawa yake piga chini mjinga kweli huyu jamaa kama aliona ccm inafaa kwa nini aliondoka kuja upinzani? Hakuna haja ya kumjadili ni kumtimua tu yeye c bora kuliko chama!
sikubaliani na shibuda ila napinga kufukuzwa//////mpuuzen////wekeni watu wa chini wamshughulikie kisiasa///viongozi wa kitaifa wa cdm wasijibishane naye////jimboni mwaketafuten watu compitent...waandaen//kuchukua jimbo///tambo za shibuda ni mizizi yake jimbon////mkienda naye papara kwa siasa za mihemko.///atawaacha majeruhi,,,,atavuruga chama//mnampa umaarufu////katumwa huyo//mtaona atatangaza hata bungen kugombea urais kupitia chadema/////kuwachanganya watu na kubadili upepo//////:spy:
 
tangu mwanzo CDM wamemlea sana huyu mtu, ngoja azidi kuwatesa.
zumbemkuu nadhani sasa inatosha hata wale tuliokuwa na uvumilivu kwake sasa tunasema imetosha.
Ni muhimu sana shibuda akarudishwa huko magambani alikotoka, kuliko kumuacha atumie majukwaa ya chadema kukitukana chama chetu.
 
Last edited by a moderator:
Chezea Shibuda Wewe,huyu Gamba Katumwa Kuja Kukivuruga CDM,so CDM wasipo kuwa makini inakula kwao

Haiwezi kula kwa mtu yeyote. Kwa jinsi alivyojichoresha na kuonekana wazi wazi kuwa tofauti na Makamanda umma umekuwa ukishangazwa na yeye hadi leo kuwemo CDM.' Ukichaa' wa Shibuda hauwezi kuvumiliwa na hata na Shetani. Dawa ya Shibuda na kuchinjiwa baharini.Nashangazwa na CDM kumuundia tume kila mara, thisi is wastage.

Haiingii akilini mtu mara kadhaa atofautiane na Chama chake tena kwenye mambo ya msingi kama itikadi, Sera na Katiba then avumiliwe. CDM itafanya kosa kubwa kama itampa Third Chance. Hakuna cha kupoteza.Kuwa naye Shibuda ni sawa na kutokuwa naye tuu.
 
Kichaa akiingia ndani nyumbani kwako na ukiona kumtoa itapelekea kupandisha kichaa chake na kusababisha kuanza kujeruhi watu walio karibu nae au hata kuharibu mali, dawa nzuri ni kumwacha akae pale peke yake bila kumsemesha na mwishowe ataondoka mwenyewe kimya kimya na kutokomea kwenye pango alikotoka.

Ila wakati akiwa ndani ni vyema kuwatahadharisha wote wakaao ndani ya nyumba hiyo pamoja na wageni kuwa kuna kichaa ndani ya nyumba hiyo. Hivyo inampasa kila moja awe mwangalifu asizungumze nae' La sivyo anaweza kuleta madhara makubwa.

Hivyo ndivyo alivyo Shibuda. Inabidi viongozi na wanachama wa Chadema wafahamu hivyo. Kichaa huyu atatoka tu na kuelekea kwenye pango lake alikozoea maana ndiko malazi yake yaliko.
 
KATUNI(701).jpg

Shibuda
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Shibuda amejidhihirisha pasi na shaka kwamba ni kirusi cha gamba ndani ya chadema, kufukuzwa kwake ndio unafuu kwa mustakabali wa chama.

Mtizamo wangu ni kwamba huyu bwana dawa yake ni kumuacha abweke kama mbwa mwitu. BAVICHA wamvue nguo kwa kumtangaza ni mamluki wa CCM na kilichomleta CDM ni uchu wa madaraka na sio kutumikia wananchi. Nakuhakikishia BAVICHA wakimtangaza atakosa pa kuficha uso.

Kama Heche anasoma hapa JF, namsihi sana amtangaze hadharani tena ikiwezekana jimboni kwake Shibuda kuwa huyu bwana amekaribishwa CDM ili aungane na wana-CDM kutetea wananchi lakini ameamua kutumiaa watu wake na badala yake amekuwa ni kibiraka wa chama cha mafisadi.

CDM wakisema wanamvua uanachama itakuwa sinema ile ile ya Kafulila na Hamad Rashid. Speaker ambaye pia ni mjumbe wa CC ya CCM ataibuka na kifungi chake kumuweka. Lakini dawa rahisi na very effective ni kumwaga mboga hadharani wananchi wahangaike naye. Very simple.
 
Mh,Shibuda ni zuzu,mwehu..CHADEMA hatutakubali kuendea kukaa na vicha sisi si hospital kusema tuna wodi ya vichaa ya kuendelea kumhifadhi shibuda.
hata hivyo Chadema ni sawa na daladala akishuka MTU wanapanda WATU,hatuna haja ya kufuga machizi,chibuda aliikuta chadema na ataiacha na mwisho ataikumbuka na kuilili,wanaomtuma wanamtafutia kifo cha kisia
 
Shibuda bab yang nimekuchoka please step down.upuuzi unaofanya una slow down the progress of change.cdm msukume shibuda maswa akachunge ng'ombe
 
Shibuda ni bomu litakalo lipuka bila target....... Wawe nalo makini......
 
KAMA NTAKOSEA MNIREKEBISHE.....

Kwa kuwa CHADEMA ni chama cha watanzania maskini, wakulima na walala hoi.

Na kwakuwa CHADEMA kinatetea na kulinda maslah ya watanzania.

Na kwakuwa CHADEMA kinajua gharama za uchaguz kwake na kwa nch. na kwa kuwa CHADEMA Kinajua athari za chaguz ndogo KIUCHUMI kwa nch yetu.

Na kwakuwa CHADEMA ni chama MAKINI.

Na kwakuwa shbuda si lolote bal mbu kwenye ngozi ya tembo hvyo ni mapendekezo yangu kwamba, AONYWE, APUUZIWE, AACHWE AENDELEE NA UBUNGE ILA ASIHUSISHWE MASWALA MUHMU YA CHAMA, yote haya ni kuonesha mapenz mema kwa wananchi na akili nyng zaid yake.

Ni mawazo
 
Sasa kama aliona CCM ifaa kwanini aliondoka,walimtosa kwa ajili ya mambo yake ya ukinyonga na tamaa ya madaraka,tafadhali fukuzeni huyo mtu haraka sana ili arudi CCM anakoona kufaa na wakimtosa huko basi 2015 awe mgombea binafsi wa uraisi
CCM hakuondoka alitumwa mahsusi kuja kuichafua CDM ndio maana unaona bado anahudhuria vikao vy cc na nec ya ccm kwenda kutoa ripoti,.anachokifanya Shibuda ni kutafuta kwa makusudi malumbano na migogoro ndani ya CDM ili CDM iondoe focus kwenye M4C na inaelekea kuna mapandikizi wengine ndani ya cdm wanasubiri mgogoro uanze wakipasue chama viongozi na wana cdm wote suala la shibuda lichukuliwe kwa tahadhari kubwa mno maana ni mtego!

Kwa akili ya kawaida inakujaje shibuda akasimame kwenye vikao vya ccm kuisema cdm si anatafuta ugomvi na migogoro ndani ya CDM??
 
Mfukuzeni muone! anamaono ya mbali sana. Hawezi kufungwa na minyororo ya ukabila. Nyinyi watu (hasa vijana) wa Mwanza, Shinyanga, Tabora, Mara na Rukwa, hebu jaribuni kuwa neutral (mawazo huru) mchambue hivi kweli cdm ni chama cha wanyonge wa nchi hii au mnatumiwa na hao wanaotaka kujitenga na kutangaza jamhuri yao. Ole wao wavivu wa kufikiri, watapiginia hata kitakachowaangamiza.
 
Back
Top Bottom