Double K
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 907
- 340
Kawaida tu hiyo, ndo maana kaka yako akiwepo hakusogelei
Hhaaaaaaaaaa jamani humu kama huna stress zinaisha jamani.
Kawaida tu hiyo, ndo maana kaka yako akiwepo hakusogelei
Miaka 27 bila shaka unasoma chuo. Sasa unatafuta nini kwa kakako kama siyo uchokozi huo? Kakae chuoni, kuna ndugu wengine ni wasumbufu kwelikweli, kwa kuwa tu kakako yupo karibu basi unataka vya dezo. Nenda kapange chumba karibu na chuoni kwako acheni kuwasumbua ndugu zenu na ninyi. Kakako anahitaji faragha na familia yake na si usumbufu wako hapo nyumbani kwake.
asante kwa taarifa.kumbe mke wangu kaanza tabia hiyo ee! sasa ntamshughulikia na wewe utatafuta chumba ya kupanga au nikurudishe kijijini.umejileta mwenyeweMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?

mlambe huyo anakutaka anaogopa kukuambia.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, sijaoa kwasababu bado nipo shule,ninaisha kwa kakaanga. Kila ninapopiga stori na shem hupenda kunisogelea nakufanya jitihada za angalau kunigusa, pia huja kochi jirani na nilipokaa. Hii ikoje jfs? Kawaida au?
Haaahaaaaa! Jamaa 'nyumri' zake zinapanda na kushuka kama thamani ya ngawira za bongo!!Dah una nyumri mbili wewe?
Hapa ulisema una miaka 24
Ayah!!!
Acha Kumpoteza Mwenzio!!
Ndo Nyie Baadaye Anakuja Na Thread "KAKA YANGU KANITIGO NA KUNIKATA UUME KISA MKEWE" !
Mnaanza Kumkebehi!
shemu anamtafutia kisa chakumuondoa subiria muvie atakutegea uko bafuni anakuja na kanga mja then unasikia uuuuuuuwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiianataka kunibaka eeeeeeeeeeeeeee uone kama kaka yako hakufukuzi kuliko ueke pilipili kwenye asaali yake ! chezea wanawake wewe!Huna adabu, jitu kubwa kama wewe bado uko kwa shemeji kakaako watafuta nini,,,watu wanaanza maisha na miaka20,hebu acha uzembe wewe toka katafuta kazi,,unamuweka shemeji yako majaribuni bure kwa kukaa hapo kwake,,,miaka yote hiyo kubwa dede,,,,kapange si una boom wewe...tumia akili