Wana JF ushauri wenu utakuwa nuru ya maisha yangu

nywelenyingi

Member
Apr 23, 2023
17
96
Habarini ndugu zangu, natumaini mu wazima wa afya.

Naomba kushare nanyi kilichonisukuma kuandika haya leo.ntajitahidi niwezavyo kufupisha story nisiwachoshe.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 naishi mwanza ,maisha yangu yamekuwa nusu amani nusu mawazo

DHORUBA ILIPOANZIA

Mwaka 2014 nilimchumbia binti flan wa mtaani kwetu ,baada ya miez kadhaa alinikubalia sambamba na kushiriki tendo la ndoa .

Baada ya tendo nilianza kufikiria inshu ya mimi kufanya mapenz bila kinga,ila nikajiaminisha kutoambukizwa kwa kigezo cha kwamba ndo mara yangu ya kwanza kushiriki.(hapa sikuwa na elim ya utambuzi juu ya suala la mahusiano)

Siku kadhaa mbele hofu ilizidi kutanda ndani ya moyo wangu sasa nikaona nimtafute yule binti nimuombe tukapime,jitihada zangu ziligonga mwamba baada ya kumuulizia na kisha kuambiwa amesafiri ameenda mkoani kwa shangazi yake.

Wiki moja ilivyokata mawazo yalizidi uwezo wangu wa akili ikapelekea kila aliyeniona ikamlazimu kuniuliza,jibu ilikuw "sina stress"

Ukiachana na mawazo kuwa mengi dalili za mwanzon za ukimwi nilianza kuzihisi mwilini mwangu kuanzia kikohozi,mafua,kuchoka sana plus usingizi wa kila wakati...,baada ya wiki nne nikaona nikapime magonjwa yote kujua kama tyr nimeukwaa,majibu yakaja negative,

Ilibidi nianze kuizoea hali,baada ya miez 3 nikapima tena majibu yakawa negative sasa nikawa najiuliza kitu gani naumwa na kwann dalili zimekuja baada ya kulala na yule binti??

2016 nilisafiri kwenda mkoa mwingine kutafuta maisha na hadi leo nipo huku ila wakuu zile dalili zote bado zipo na naweza nikawa najisikia vby ila nikimeza tablet kama paracetamol najisikia nafuu kabsa.kuna kipind niliwahi kupungua uzito kutoka 70 hadi 66

Leo 2023 ni miaka 9 tangu tukio litokee na sijashiriki tendo la ndoa na mtu yyte ila hamu ikinizidia huwa napiga punyeto tu maish yanasonga.

Ila kuanzia kipind kile cha miezi 3 ya kusubili sijapima tena na nimejitahid kwa namna yyte kutokupima maana itaniongezea stress kwasbb hata life halijaa poa.

Wataalamu wa afya walinambia ukipata maambukizi mwili unaweza kukaa na huo ugonjwa kwa miaka 10 bila ya dawa,sasa nasubili huo mwaka ulobaki ndo nipime tena nione

Huwa nawaza hizi dalili zote nilizonazo mbna zilianza baada tendo,na mbna nilipima mara mbili nikawa negative nikasubili tena miez 3 nikawa neg,huu ni mwaka wa 9

Natanguliza shukrani
 
Akili inaweza kufanya mwili ukaugua au ukapona.

Just imagine ukinywa maziwa yenye nzi na usiwaone hakuna kitakachokupata. Ila sasa kunywa maziwa then kutana na kipande cha nzi, utaanza kutapika, tumvo litauma na utaharisha.


Achana na Kujichukulia sheria mkononi
 
habarini ndugu zangu,natumaini mu wazima wa afya.


naomba kushare nanyi kilichonisukuma kuandika haya leo.ntajitahidi niwezavyo kufupisha story nisiwachoshe.


mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 naishi mwanza ,maisha yangu yamekuwa nusu amani nusu mawazo


DHORUBA ILIPOANZIA

mwaka 2014 nilimchumbia binti flan wa mtaani kwetu ,baada ya miez kadhaa alinikubalia sambamba na kushiriki tendo la ndoa .


baada ya tendo nilianza kufikiria inshu ya mimi kufanya mapenz bila kinga,ila nikajiaminisha kutoambukizwa kwa kigezo cha kwamba ndo mara yangu ya kwanza kushiriki.(hapa sikuwa na elim ya utambuzi juu ya suala la mahusiano)

siku kadhaa mbele hofu ilizidi kutanda ndani ya moyo wangu sasa nikaona nimtafute yule binti nimuombe tukapime,jitihada zangu ziligonga mwamba baada ya kumuulizia na kisha kuambiwa amesafiri ameenda mkoani kwa shangazi yake.

wiki moja ilivyokata mawazo yalizidi uwezo wangu wa akili ikapelekea kila aliyeniona ikamlazimu kuniuliza,jibu ilikuw "sina stress"

ukiachana na mawazo kuwa mengi dalili za mwanzon za ukimwi nilianza kuzihisi mwilini mwangu kuanzia kikohozi,mafua,kuchoka sana plus usingizi wa kila wakati...,baada ya wiki nne nikaona nikapime magonjwa yote kujua kama tyr nimeukwaa,majibu yakaja negative,



ilibidi nianze kuizoea hali,baada ya miez 3 nikapima tena majibu yakawa negative sasa nikawa najiuliza kitu gani naumwa na kwann dalili zimekuja baada ya kulala na yule binti??


2016 nilisafiri kwenda mkoa mwingine kutafuta maisha na hadi leo nipo huku ila wakuu zile dalili zote bado zipo na naweza nikawa najisikia vby ila nikimeza tablet kama paracetamol najisikia nafuu kabsa.kuna kipind niliwahi kupungua uzito kutoka 70 hadi 66


leo 2023 ni miaka 9 tangu tukio litokee na sijashiriki tendo la ndoa na mtu yyte ila hamu ikinizidia huwa napiga punyeto tu maish yanasonga.

,ila kuanzia kipind kile cha miezi 3 ya kusubili sijapima tena na nimejitahid kwa namna yyte kutokupima maana itaniongezea stress kwasbb hata life halijaa poa.


wataalamu wa afya walinambia ukipata maambukizi mwili unaweza kukaa na huo ugonjwa kwa miaka 10 bila ya dawa,sasa nasubili huo mwaka ulobaki ndo nipime tena nione


huwa nawaza hizi dalili zote nilizonazo mbna zilianza baada tendo,na mbna nilipima mara mbili nikawa negative nikasubili tena miez 3 nikawa neg,huu ni mwaka wa 9


natanguliza shukrani
Fear of the unknown.. Kinachokudhuru ni hofu uliyojijengea
 
Dah.... Dunia hii. Ulishapima hata baadaya miezi mitatu ukakutwa negative. Au unataka uambiwe unao?
Halafu acha uoga, miaka 9 yote unapiga nyeto, utakuwa na matatizo. Wenzako wakipiga malaya Jumamosi, wanajutia na kujiahidi kutonunua tena malaya, ila ikifika ijumaa ya wiki linalofuata, hofu na viapo vyote vinapotea.
 
Back
Top Bottom